Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Nikiweka jina langu hapa mtaenda kuangalia points zangu halafu mtanicheka, kwa sasa ninacheza kwenye 1100 hadi 1200.
Wewe kama kweli ni mwalimu (muuza copy) unayejiamini tuambie ID yako tukushughulikie ingawa tuna point chache
me point zangu zinacheza 1390 mpaka 1500, ningekuua Sina fear ningekuua na point hata 2000 ila michezo burudani, nacheza hata na mtu mwenye point chini ya 1200
 
Kuna mtu nlkuwa nacheza naye nkifkiria sekunde 30 Tu naambiwa mda umeisha ameshinda...nikitaka kumfunga analeft halafu sipewi ushindi Na point hakatwi.
 
yeye alishinda alikuwa anachukua point, inawezekana aliweka non rated
 
NNi
Kwa sasa, YouTubers wa Kitanzania niliowaona wanaotoa tutorials za drafti ni watatu i.e Dula Magoli, Paulo draughts na Draft King, wana copy za kijanja hatari, nimezifuatilia na kuzikariri kwa umakini ila bado nafungwa kiboya.
Channels zao hizi hapa, kaangalie copy zao, zitakua ni kama za kwako tu.

1: https://m.youtube.com/channel/UCV5EQGe8tiYBojUpkmz2bZg

2: https://m.youtube.com/channel/UCKc2Fuh0hn7aIYRWSkOTLeQ

3: https://m.youtube.com/channel/UCDAwGX2rSlsCUvozqITlCp

Ukiniuzia hizo copies una uhakika nitabadilika?, copies zako hazina utofauti na YouTube channels za akina Dula Magoli, Paulo Draughts na Draft King, nimeangalia copy za kibabe za hao jamaa lakini bado naambulia kichapo. Nina wasiwasi hata nikiangalia copy zako mambo yatakua yaleyale
Nimeziangalia izo copy lakini nimegundua zipo shallow in deep, hazijaanza na msingi wa draft, kwa mtu ambae hajui atafungwa tu
 
me point zangu zinacheza 1390 mpaka 1500, ningekuua Sina fear ningekuua na point hata 2000 ila michezo burudani, nacheza hata na mtu mwenye point chini ya 1200
PlayOK hamna wa kumchukulia poa, hata mwenye point ndogo anaweza akakuchakaza. Nawakalishaga masela kibao wenye point 1350 kwenda juu.
 
NNi

Nimeziangalia izo copy lakini nimegundua zipo shallow in deep, hazijaanza na msingi wa draft, kwa mtu ambae hajui atafungwa tu
Duh!
Kwa maana hiyo mchezaji wa kawaida, yaani intermediate level player ukichukua hizi copies unachukua matango pori na kujiumiza kichwa?.
Kidogo naanza kukuelewa uliposema HAZIJAANZA NA MSINGI WA DRAFT, msingi wa drafti ndiyo upi huo?
 
Eti msingi wa draft, hizo ni lugha za kibiashara mkuu.
 
wewe tura pamoja na miguu yako ya kumezeshwa lakini statistics zinaonyesha nimekupiga goli 28, sare 3 na umepata goli mbili tu, . Kaangalie
 
Duh!
Kwa maana hiyo mchezaji wa kawaida, yaani intermediate level player ukichukua hizi copies unachukua matango pori na kujiumiza kichwa?.
Kidogo naanza kukuelewa uliposema HAZIJAANZA NA MSINGI WA DRAFT, msingi wa drafti ndiyo upi huo?
kule hamna copy ndugu ,ni michezo ambayo inatokana na philosophical idea ya mchezaji ambae aliona wakati inacheza ,
 
Back
Top Bottom