Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Karibuni wateja niwape copy na Mbinu mbalimbali, achana na wenye wivu, wakati kila siku nawagonga online , akiwemo Darius ,mabata ,scar na wengine wengi, ila mabata alijitetea kwamba awezi kukariri copy, unakalili kwanza then unaelewa
 
Draft gani zuri linaloendana na bongo
online Kuna Sehemu wameweka Tanzania draft ndo tunalocheza bongo, halina mambo mengi , hamna kula chuma na mbele, copy zake ndo zimewekwa hapa, ila hayo mengine ni french tunaita,
 
Karibuni wateja niwape copy na Mbinu mbalimbali, achana na wenye wivu, wakati kila siku nawagonga online , akiwemo Darius ,mabata ,scar na wengine wengi, ila mabata alijitetea kwamba awezi kukariri copy, unakalili kwanza then unaelewa
Unatumia username ipi?
 
online Kuna Sehemu wameweka Tanzania draft ndo tunalocheza bongo, halina mambo mengi , hamna kula chuma na mbele, copy zake ndo zimewekwa hapa, ila hayo mengine ni french tunaita,

Mimi tatizo hata nikielekezwa nitasahau, ningetaka copy ningekaa na Bedui fasta tu ananipa za kutosha, sema nitasahau au mtu akibadilika napotea.

Hiki kiwango changu cha kumfunga mabata kinatosha.
 
Back
Top Bottom