Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
🤓🤓🤓🤓Nakulia timing, sasa hivi nitajitahidi game 5 nitoe sare 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤓🤓🤓🤓Nakulia timing, sasa hivi nitajitahidi game 5 nitoe sare 4.
Watu kama hao nimekutana nao wengi tu, mmojawapo ni achienggKupanda kiwango, hicho ndiyo kiti cha maana. Kuna watu lengo ni points hadi wanazitafuta kwa uhuni. Anaweka time ndogo halafu anacheza fastafasta. Hata ukimbana anahakikisha unaishiwa muda. Hapa anakufunga kwa wewe kuzidisha muda.
Ukiniuzia hizo copies una uhakika nitabadilika?, copies zako hazina utofauti na YouTube channels za akina Dula Magoli, Paulo Draughts na Draft King, nimeangalia copy za kibabe za hao jamaa lakini bado naambulia kichapo. Nina wasiwasi hata nikiangalia copy zako mambo yatakua yaleyalewatu wabovu kama nyie nawahitaji niwauzie mbinu, ili uongezee kiwango
copy Gani mzee umezicheki huko you tube , Mana draft ni zaidi ya copy ,unaweza kuta mtu anakupa copy without extra skill for dealing with difficult situation , ila kufahamu copy ni muhimu sana.Ukiniuzia hizo copies una uhakika nitabadilika?, copies zako hazina utofauti na YouTube channels za akina Dula Magoli, Paulo Draughts na Draft King, nimeangalia copy za kibabe za hao jamaa lakini bado naambulia kichapo. Nina wasiwasi hata nikiangalia copy zako mambo yatakua yaleyale

copy Gani mzee umezicheki huko you tube , Mana draft ni zaidi ya copy ,unaweza kuta mtu anakupa copy without extra skill for dealing with difficult situation , ila kufahamu copy ni muhimu sana.
Kwa sasa, YouTubers wa Kitanzania niliowaona wanaotoa tutorials za drafti ni watatu i.e Dula Magoli, Paulo draughts na Draft King, wana copy za kijanja hatari, nimezifuatilia na kuzikariri kwa umakini ila bado nafungwa kiboya.copy Gani mzee umezicheki huko you tube , Mana draft ni zaidi ya copy ,unaweza kuta mtu anakupa copy without extra skill for dealing with difficult situation , ila kufahamu copy ni muhimu sana.
ok fresh Kwa kushere hapa, me ndawafatilia copy zao, ili nione udhaifu wao.Kwa sasa, YouTubers wa Kitanzania niliowaona wanaotoa tutorials za drafti ni watatu i.e Dula Magoli, Paulo draughts na Draft King, wana copy za kijanja hatari, nimezifuatilia na kuzikariri kwa umakini ila bado nafungwa kiboya.
Channels zao hizi hapa, kaangalie copy zao, zitakua ni kama za kwako tu.
1: https://m.youtube.com/channel/UCV5EQGe8tiYBojUpkmz2bZg
2: https://m.youtube.com/channel/UCKc2Fuh0hn7aIYRWSkOTLeQ
3: https://m.youtube.com/channel/UCDAwGX2rSlsCUvozqITlCpQ
Fanya hivyo, pitia kwa umakini then tuambie kwanini wanaokariri copy zao bado wanafungwaok fresh Kwa kushere hapa, me ndawafatilia copy zao, ili nione udhaifu wao.
Darius huyu zedudu anatumia jina gani?Nakulia timing, sasa hivi nitajitahidi game 5 nitoe sare 4.
🤣🤣🤣🤣 me ni mtu hatari sana yani, muulize Darius ananijua dozi yangu, kila Mbinu anayokuja nayo namtunguaDarius huyu zedudu anatumia jina gani?
Una point ngapi?, au wewe ndiyo mdudu17?🤣🤣🤣🤣 me ni mtu hatari sana yani, muulize Darius ananijua dozi yangu, kila Mbinu anayokuja nayo namtungua
point zangu nyingi sanaUna point ngapi?, au wewe ndiyo mdudu17?
unatumia jina Gani nikukagueUna point ngapi?, au wewe ndiyo mdudu17?
Ngoja ntakukagua usiku.🤣🤣🤣🤣 me ni mtu hatari sana yani, muulize Darius ananijua dozi yangu, kila Mbinu anayokuja nayo namtungua
Mdudu ni muhuni, anashindia time. Saahizi sichezi game chini ya dk 15. Natumia kompyuta, game zinakuwa zinaload slow hivyo nakuwa natumia time kubwa. Wasio wanamichezo kama huyo mdudu wanatumia advantage.Una point ngapi?, au wewe ndiyo mdudu17?
Nikiweka jina langu hapa mtaenda kuangalia points zangu halafu mtanicheka, kwa sasa ninacheza kwenye 1100 hadi 1200.unatumia jina Gani nikukague
mda standard wa kucheza draft ni dakika Saba mpaka 15, kuwa makini tu, Kuna watu walikuwa wanaweka dakika moja lakini , tuliwagonga ivyo ivyo mpaka wakaacha kuweka dakika mojaMdudu ni muhuni, anashindia time. Saahizi sichezi game chini ya dk 15. Natumia kompyuta, game zinakuwa zinaload slow hivyo nakuwa natumia time kubwa. Wasio wanamichezo kama huyo mdudu wanatumia advantage.
Tumia simu, kwa simu game ya dakika 5 ni nyingi sana kama unafikiria kwa wastani. Wahuni ni wale wanaoset chini ya dakika 5Mdudu ni muhuni, anashindia time. Saahizi sichezi game chini ya dk 15. Natumia kompyuta, game zinakuwa zinaload slow hivyo nakuwa natumia time kubwa. Wasio wanamichezo kama huyo mdudu wanatumia advantage.
Hivi hawacjamaa wana app?Tumia simu, kwa simu game ya dakika 5 ni nyingi sana kama unafikiria kwa wastani. Wahuni ni wale wanaoset chini ya dakika 5