Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Sijaridhika na kiwango nilichonacho cha kubahatisha, najiona bado sijajua kabisa japo nipo kwenye level ya wastani. Ingawa sijui lakini mara kibao nakukung'uta dariusrr

Tatizo mnaficha ID zenu, fungukeni ili tukipambana tujue.

Kama ni tura ni tura tu, hata usipotaja ID yako unabaki tura tu.
 
Tutusa, Kuna jamaa nilimpiga goli baya, katika mchezo ambao anautegemea , kwamba utampa ushindi, ulipoisha tu 🏃🏃🏃 alitimua
 
Najua najua hayo mwenzenu huyo
 
Back
Top Bottom