Hizo copy ziko wapi mkuuKijana wewe ni tura inatakiwa Nikuuzie copy tu, haiwezekani ukawa na point 1014, Yani umepigwa mpaka umeshuka daraja ,. Nimekuona point zako ulipokuwa unaangalia mechi yangu mida flani, we kimabao bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
We kibonde ukiwa sawa nishtue nichukue pointskama kuna anayejiweza aje playok nimkague. id phrasalverbs
Dalmax hana ukali huo.Sijakupata hapa mkuu..sema hua napiga naye sana 100% sijawahi mpiga zaidi ya kutoa droo.
Siku nikimtandika nitaleta mrejesho.
#MaendeleoHayanaChama View attachment 2186762
id yangu playok ni muashi. point huwa zinacheza 1390 hadi 1490We tura unaweza kunifunga Mimi kweli, unapoint ngapi kwanza
Kama unamfahamu kasikio basi umebarikiwa kukutana na mabingwa ambao wana kino wanadai hawajui drafti. Huyo mwamba anavuka boda kutafuta mabingwa wenzie sasa ogopa mtu anachoma nauli yake tena kwa kuvuka mipaka halafu unamwita sio bingwa?Hahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Umeongea kiume sana.[emoji109][emoji109][emoji109]Tatizo sio kuanza ni kumaliza
kuna ule mwingine pamabano la sisco na mkulima kama vile ndio wadau wengi walikuwa kuleuzi umepoa
Still una copy za draft na ni sh ngapi?Phrasal Verbs unashingapi nikutumie izo copy wasap au inbox.
Nakupa maelezo fuu mafunzi ya video
Sent using Jamii Forums mobile app
basi ipo as default maana hata mimi nimeshangaa eti nacheza na mdau gemu bado mbichi nakuta naambiwa nime loose
Tupe hiz copy mzeeHiyo ya kwenye picha ya pili ndiyo ina nguvu zaidi. Inaitwa single corner. Hiyo ya picha ta kwanza inaitwa double corner kama sikosei. Kuna njia saba za kuanza hila hizo mbili ndiyo kali.
Weka video kakaNitaelezea hiyo ya double corner. Nanyi mtauliza maswali msipoelewa ila muwe makini sana.
Mara nyingi huanza namna hii.
View attachment 1840846