Kuna huyo na kuna Tlaatlaah anaetumia emoj ya monkey na Tlaatlaah anaetumia emoji ya kichwa cha mtu mzungu hao ni watu wawili tofauti na hizo ndiyo signature zao za kupokelea posho kama utambuzi kwa boss waoNjia nyingine ni kuacha ku react na ku comment kwenye ujinga wao
Mtu kama Lucas Mwashambwa unabishana nae nini ? Unawezaje kumuelimisha?
Shukuru uko kwenye kundi la wale CHAWA wachache walau wanajitambua kwa mbali na ambao ninajitahidi kuvumilia uchawa wao. Ukiingia kwenye kundi la watukana matusi au wale CHAWA waliojitoa kabisa ufahamu; nitakuongeza mara moja kwenye ignore list yangu.Tafuta hela utengeneze app yako binafsi ya kutumia na mnaoendana nao kifikra.
Kwangu wamesalia wawili tuMimi nimeshawafanyia "upendo" wa ignoring siku nyiii giii!
Chukua hatua.Usiwaonee huruma.Kwangu wamesalia wawili tu
Na zozote mpyampya zenye aidha mawazo yaleyale au kuingia kinafiki kujibu nyuzi na kuwaendea members pm.
Kwa hiyo wakishaona maoni kinzani wanyamaze na kutulia bila kujibu,kufichua uongo,nia ovu na maujinga mengine kwa mtazamo wako?Kwa hiyo hamtaki kuona maoni kinzani na mnayofikiria? Hili la kuamini uki support serikali ni shida na ukisupport upinzani ni upo sahii and the opposite ni jipu kama jipu jingine...
Lazima kila pande ivumilie mwenzake. Namna CDM anavyiponda CCM na pia CCM wana haki ya kusifia vya kwao na kuponda CDM...
Mimi nimeignore wote niliowabaini.Nipo nasubiri yeyote mpya atayejitokeza ili nimuunge kwa wenzake chap!Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie
Kama unataka kulinda hadhi ya jukwaa letu na unataka tubaki na mijadala yenye afya kuhusu nchi yetu, fanya maamuzi haya leo. Kila ukiona akaunti yenye sifa hizi, usipoteze sekunde yako kuwajibu—bofya Ignore, kisha pita hivi!
Wakikosa watu wa kuwabishia na kuwapa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Yule mjinga mwashamba yeye ni CHADEMA asubuhi Hadi usiku Hana mada zingine na wala huwezi kuwaona kwenye majukwaa mengine... CCM ni wapumbavu sanaaZoezi zuri na lenye manufaa sana Yani huwezi kuta post inazungumzia act chaumma nld nra chausta nk nk wao ni chadema chadema washenzi
Wewe ni takataka Tu"Attention (Kusikilizwa) na Engagement (Kujibiwa). "Digital Burial" (Kuwazika Kidijitali). Uhaba wa Maisha ya Kijamii (Single-Topic Focus)"...
Kwani kulikuwa kuna ulazima gani wa wewe kutafsiri haya maneno kwa tafsiri mbovu kwenye mabano? Halafu kama mnashindwa kuheshimu haki ya wanaCCM kutoa maoni yao kwa nini mnapigania haki hiyohiyo kwa upande wenu? Hamuoni mko kinyume na mnachopigania?
Ifike wakati mfanye mnachosema. Msitake wote tuwe wa itikadi moja.
Wanatakiwa washindane kwa hoja sio kublock au kuignore usione.Kwa hiyo wakishaona maoni kinzani wanyamaze na kutulia bila kujibu,kufichua uongo,nia ovu na maujinga mengine kwa mtazamo wako?
Mimi nilikuwa na mawazo tofauti. Kwasababu ninyi hampendi changamoto yoyote ya kupingwa, basi JF wafungue majukwaa tofauti ya wa Chadema na ya wanaoipinga Chadema. Yaani uki lodge in, JF ikuulize, unataka upande wa Chadema ambako HAKUNA kupinga chochote kuhusu Chadema au unataka kwenda upande wenye mawazo huru?Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosopa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Miaka mingi sana nilishagapiga ban hizo acaunt za hao Malaya wa siasa.Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kuka jukwaa letu na unataka tubaki na mijadala yenye afya kuhusu nchi yetu, fanya maamuzi haya leo. Kila ukiona akaunti yenye sifa hizi, usipoteze sekunde yako kuwajibu—bofya Ignore, kisha pita hivi!
Wakikosa watu wa kuwabishia na kuwapa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Nitumie namba yako PM nikuonyeshe huo utakataka wanguWewe ni takataka Tu
Tate Mkuu ukiniongeza kwenye ignore list huoni utakosa madini muhimu ninayotupia humu? Itakuwa hasara kubwa kwako. Ila kama umeamua kukosa hii dozi ya elimu ninayotoa humu GO AHEAD.