MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

UTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!
VINGINEVYO MTAUA MAANA NA NIA YA KUANZISHA JUKWAA HILI LA MAONI HURU!
Mm Sio chadema wala sio ccm, ila mambo ya ignore n ushamba na kuogopa ushindani wa akili.

Kama mtu hupendi mada zake mbona simple tuu unaacha kumfatilia, hawa hawa wanaotaka hao watu wapigwe ignore Ndo hao hao wanajaza comment kwenye hizo hizo uzi wasizozitaka.
Sasa hapo mwenye matatizo ya akili ni nani kama sio hao wanaweka comment.
 
1784150614318.png
...... ALIYENI'IGNORE'! 🤣
 
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukoso

Wito Wangu:
Kama unataka kulinda hadhi ya jukwaa letu na unataka tubaki na mijadala yenye afya kuhusu nchi yetu, fanya maamuzi haya leo. Kila ukiona akaunti yenye sifa hizi, usipoteze sekunde yako kuwajibu—bofya Ignore, kisha pita hivi!
Wakikosa watu wa kuwabishia na kuwapa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Duuh
 
Wanaoshindwa kuhimili kupangua hoja za kipumbavu , siku wakiwa na mamlaka na wakachukizwa na wenye hoja za kipumbavu watashindwa kuwateka na kuwapoteza kama inavyofanya CCM?
Cjakuelewa mkuu, em weka vzr kiwepesi h comment
 
Namaanisha hawa wenzetu wasioweza kuhimili hoja za wakina Lucas, siku wakiwa na mamlaka wakakutana na wanaokosoa tawala zao watashindwa kuwaweka kizuizini wanaowakosoa kama inavyofanya Ccm?
Yah nmekuelewa, hawa chadema nao watafanya hv hv kama wanavyofanya ccm Sasa hv.

Wakikosolewa tuu Lazima usikie mtu kashatekwa Huko.
 
Yah nmekuelewa, hawa chadema nao watafanya hv hv kama wanavyofanya ccm Sasa hv.

Wakikosolewa tuu Lazima usikie mtu kashatekwa Huko.
Mimi naamini mfumo wa Demokrasia hapa Afrika tuna force tu.
Ndio maana issue ya kukosoana iki raise mara zote lazima utasikia milio kwenye upande unaokosolewa. Sasa sijui tunaelewa nini kuhusu Uhuru wa Kujieleza.
Kuna mzee wangu mmoja yeye anapenda ku share habari mbaya za serikali ziwe za kweli au za uongo. Cha ajabu akiulizwa credibility ya hizo taarifa anaishia kutoa povu na wakati utasikia anasema unamvunjia heshima wakati anajivunjia heshima mwenyewe kwa ku share taarifa za uongo.
 
Demokrasia ya Kiafrika ni ya kindezi, viongozi wanajiona mungu watu
 
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hnde!
Nakupongeza sana, Kwa kutoa angalizo hili muhimu. Mimi binafsi nilikuwa sijui. Ila tutashughulika nao jumlajumla.
 
Kweli mkuu! Mtu ume ignore, bado anaku tag! Hawa jamaa wa JF sijui namna gani aisee!
Kumbuka kaulimbiu (motto) rasmi ya JamiiForums ni "Where We Dare To Talk Openly.

wakifanya hayo mnayotaka wafanye itabidi wabadili na motto wao.
 
Kumbuka kaulimbiu (motto) rasmi ya JamiiForums ni "Where We Dare To Talk Openly.

wakifanya hayo mnayotaka wafanye itabidi wabadili na motto wao.

Wazuie ignore kama ni hivyo; kitufe hicho hakina maana kama una ignore mtu na bado anaweza kukuchungulia acc na kufanya tagging! Uki ignore mtu maana yake umelinda uhuru na faraga yake na yako.
 
UTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!
VINGINEVYO MTAUA MAANA NA NIA YA KUANZISHA JUKWAA HILI LA MAONI HURU!
NB: Wanaoposti picha za kinyesi wanatutapisha maana wengine huwa tunapitia JF hata wakati wa msosi, maana ndo free time zenyewe, TUNAOMBA WAPIGWE BAN WAJIFUNZE USTAARABU!
Humu JF Kuna wale Ledijeidii aliwaimba kuwa wanaume kama mabinti
Wako lonyalonya hawapendi tahruki wanataka kulelewa kama wamama hata kwenye mitandao
kuweka watu ignore list ina maana wewe ni snowflake yaani una vinasaba vya udada
Huu upumbavu wa ignore hata reddit hakuna
 
Back
Top Bottom