Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Hivi mods na jamii check yao wanafanya kazi gani 😂
Tutafika tuu!Mbona mmechelewa sana
Mwashambwa na tlahtlah Vipi?Poleni kwa usunbufu mnao upata kwa hao Matapeli wanaolipwa na Chama Kudhinda kwenye migandao ya kijamii.
Mimi binafsi niliwa Ignore wote.
Hakuna aliyepona.
Labda mtu aje na Account mpya.
Wachache sana ninaozingatia koments zaoo..
Lumumba buku saba. Nape alaaniwe popote alipo kwa kutuletea huu upuuzi.Bila shaka Mmeishiwa hoja na pumzi kabisa. Mimi Ni Jeshi la mtu Mmoja mwenye nguvu na uwezo wa kupambana kikomandoo na kihodari .
Mlizoea kufanya upotoshaji humu jukwaani kwa maslahi yenu Binafsi . Sasa Mwisho wenu Umewadia .
Hakuna Jiwe litabakia bila kugeuzwa
Sasa nyie mnafikra gani huru?Tafuta hela utengeneze app yako binafsi ya kutumia na mnaoendana nao kifikra.
umenikosea heshima sana bwa mdogo...yaani umejiunga 2025 leo hii unanitag kwenye mada ya ajabu hivi?
😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna huyo na kuna Tlaatlaah anaetumia emoj ya monkey na Tlaatlaah anaetumia emoji ya kichwa cha mtu mzungu hao ni watu wawili tofauti na hizo ndiyo signature zao za kupokelea posho kama utambuzi kwa boss wao
... nani na nani? 😅 ... ukimuignore mtu hakumuondolei uwezo wa kuona nyuzi zako na ku'comment' na hivyo ni wewe utakuwa umejinyima nafasi ya kujibu upupu wake na hivyo kumpa ushundi wa kishindo!Kwangu wamesalia wawili tu
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chukua hatua.Usiwaonee huruma.
... mkuki kwa nguruwe ......! ... SUMS UP IT ALL!Mimi nilikuwa na mawazo tofauti. Kwasababu ninyi hampendi changamoto yoyote ya kupingwa, basi JF wafungue majukwaa tofauti ya wa Chadema na ya wanaoipinga Chadema. Yaani uki lodge in, JF ikuulize, unataka upande wa Chadema ambako HAKUNA kupinga chochote kuhusu Chadema au unataka kwenda upande wenye mawazo huru?
Kwa kufanya hivyo tutaishi vizuri tu humu JF!
Sasa hao wawili unawasubirisha nn?Kwangu wamesalia wawili tu
UTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!Sasa ho wawili unawasubirisha nn?
Nyie wnyw ndo mnawapa nguvu hao watu afu tena nyie nyie mnakuja kulialia humu ety tuwaignore 😂