MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

Naunga mkono hoja, hawa misukule wamekuja kufuata attention,tuwanyime hiyo attention wakiwa ignored watajikuta wapo pekee yao na hakuna anae wafuatilia. Whomever anaewalipa atakuwa anapoteza pesa zake tu.
 
Lumumba buku saba. Nape alaaniwe popote alipo kwa kutuletea huu upuuzi.
 
Kuna huyo na kuna Tlaatlaah anaetumia emoj ya monkey na Tlaatlaah anaetumia emoji ya kichwa cha mtu mzungu hao ni watu wawili tofauti na hizo ndiyo signature zao za kupokelea posho kama utambuzi kwa boss wao
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Binadamu ambaye kwa hulka yake binafsi, kulipwa au sababu nyingine yoyote ameamua kutumia muda wake kufanya kazi wanayofanya hao watu ni wakumuonea huruma tu.
 
... mkuki kwa nguruwe ......! ... SUMS UP IT ALL!
 
Nyie nyie wenyewe ndo mabingwa wa kucomment kwenye uzi zao, afu nyie nyie tena mnataka kuwaignore πŸ˜‚

Uzi zao kibao zimejaa comment zenu ety mkijidanganya kwa kuwatukana au kuwaambia ukweli watabadilika πŸ˜‚

Haya, nipo.
 
Sasa ho wawili unawasubirisha nn?
Nyie wnyw ndo mnawapa nguvu hao watu afu tena nyie nyie mnakuja kulialia humu ety tuwaignore πŸ˜‚
UTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!
VINGINEVYO MTAUA MAANA NA NIA YA KUANZISHA JUKWAA HILI LA MAONI HURU!
NB: Wanaoposti picha za kinyesi wanatutapisha maana wengine huwa tunapitia JF hata wakati wa msosi, maana ndo free time zenyewe, TUNAOMBA WAPIGWE BAN WAJIFUNZE USTAARABU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…