Mm Sio chadema wala sio ccm, ila mambo ya ignore n ushamba na kuogopa ushindani wa akili.UTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!
VINGINEVYO MTAUA MAANA NA NIA YA KUANZISHA JUKWAA HILI LA MAONI HURU!
In AFRICA, DEMOCRACY IS A FOREIGN PRACTICE.... nani na nani? 😅 ... ukimuignore mtu hakumuondolei uwezo wa kuona nyuzi zako na ku'comment' na hivyo ni wewe utakuwa umejinyima nafasi ya kujibu upupu wake na hivyo kumpa ushundi wa kishindo!
LIKE CHARITY, DEMOCRACY STARTS AT HOME!
Wanaoshindwa kuhimili kupangua hoja za kipumbavu , siku wakiwa na mamlaka na wakachukizwa na wenye hoja za kipumbavu watashindwa kuwateka na kuwapoteza kama inavyofanya CCM?Ignore ya JF ni ya kipumbavu, unamuignore mtu ila bado unaona contents zake, sasa umuhimu wa kuignore uko wapi.
Wengine tupo hapa tokea kitambo hicho. So usiwe misled na hii ID. Nakujua toka mko na wakina Lizaboni enzi ukiitwa jingalaoumenikosea heshima sana bwa mdogo...yaani umejiunga 2025 leo hii unanitag kwenye mada ya ajabu hivi?
DuuhNikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukoso
Wito Wangu:
Kama unataka kulinda hadhi ya jukwaa letu na unataka tubaki na mijadala yenye afya kuhusu nchi yetu, fanya maamuzi haya leo. Kila ukiona akaunti yenye sifa hizi, usipoteze sekunde yako kuwajibu—bofya Ignore, kisha pita hivi!
Wakikosa watu wa kuwabishia na kuwapa kiki, mradi wao utakufa wenyewe na mabosi wao wataona hawana faida tena. Sisi ndio wenye jukwaa hili, tulilinde!
Kumbe Jingalao bado yupo humu.Wengine tupo hapa tokea kitambo hicho. So usiwe misled na hii ID. Nakujua toka mko na wakina Lizaboni enzi ukiitwa jingalao
Cjakuelewa mkuu, em weka vzr kiwepesi h commentWanaoshindwa kuhimili kupangua hoja za kipumbavu , siku wakiwa na mamlaka na wakachukizwa na wenye hoja za kipumbavu watashindwa kuwateka na kuwapoteza kama inavyofanya CCM?
Namaanisha hawa wenzetu wasioweza kuhimili hoja za wakina Lucas, siku wakiwa na mamlaka wakakutana na wanaokosoa tawala zao watashindwa kuwaweka kizuizini wanaowakosoa kama inavyofanya Ccm?Cjakuelewa mkuu, em weka vzr kiwepesi h comment
Yah nmekuelewa, hawa chadema nao watafanya hv hv kama wanavyofanya ccm Sasa hv.Namaanisha hawa wenzetu wasioweza kuhimili hoja za wakina Lucas, siku wakiwa na mamlaka wakakutana na wanaokosoa tawala zao watashindwa kuwaweka kizuizini wanaowakosoa kama inavyofanya Ccm?
Mimi naamini mfumo wa Demokrasia hapa Afrika tuna force tu.Yah nmekuelewa, hawa chadema nao watafanya hv hv kama wanavyofanya ccm Sasa hv.
Wakikosolewa tuu Lazima usikie mtu kashatekwa Huko.
Demokrasia ya Kiafrika ni ya kindezi, viongozi wanajiona mungu watuMimi naamini mfumo wa Demokrasia hapa Afrika tuna force tu.
Ndio maana issue ya kukosoana iki raise mara zote lazima utasikia milio kwenye upande unaokosolewa. Sasa sijui tunaelewa nini kuhusu Uhuru wa Kujieleza.
Kuna mzee wangu mmoja yeye anapenda ku share habari mbaya za serikali ziwe za kweli au za uongo. Cha ajabu akiulizwa credibility ya hizo taarifa anaishia kutoa povu na wakati utasikia anasema unamvunjia heshima wakati anajivunjia heshima mwenyewe kwa ku share taarifa za uongo.
Nakupongeza sana, Kwa kutoa angalizo hili muhimu. Mimi binafsi nilikuwa sijui. Ila tutashughulika nao jumlajumla.Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hnde!
Wewe kama mimi mtu akinitukanq nampa maneno yake halafu namtupa kwenye trash bin.
Ila Maxence Melo tunaomba ongezeni power ya ignore function. Ili ninayemu ignore asione account yangu na content zangu kabisa.
Kumbuka kaulimbiu (motto) rasmi ya JamiiForums ni "Where We Dare To Talk Openly.Kweli mkuu! Mtu ume ignore, bado anaku tag! Hawa jamaa wa JF sijui namna gani aisee!
Kumbuka kaulimbiu (motto) rasmi ya JamiiForums ni "Where We Dare To Talk Openly.
wakifanya hayo mnayotaka wafanye itabidi wabadili na motto wao.
Humu JF Kuna wale Ledijeidii aliwaimba kuwa wanaume kama mabintiUTAWALA JF, futilieni mbali 'IGNORE KNOB' tuendelee KUNYUKANA! Anaetukana apigwe BAN!
VINGINEVYO MTAUA MAANA NA NIA YA KUANZISHA JUKWAA HILI LA MAONI HURU!
NB: Wanaoposti picha za kinyesi wanatutapisha maana wengine huwa tunapitia JF hata wakati wa msosi, maana ndo free time zenyewe, TUNAOMBA WAPIGWE BAN WAJIFUNZE USTAARABU!