sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #101
shusha nondo mkuu, karibuna muda mrefu kukutana na mtu makini hivi ,hebu nisanitize mikono afu ntachangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shusha nondo mkuu, karibuna muda mrefu kukutana na mtu makini hivi ,hebu nisanitize mikono afu ntachangia
Thread closedYuko sahihi kabisa. Huenda we ndo unakiwango kidogo cha fikra
Malezi ya mtoa mada ni ya lower class na middle class, yanamsaidia mwanae kukopi na huko huko middle class kwake na lower class kwake.
Mwanangu wa baadae eti nije kumuexpose muda wote sijui kwa bibi kwa mjomba kwa shangazi kwa watoto wa mtaa nisiojua malezi yao wala akili zao ni Noo kubwa, maana najua influence kubwa kwa mtoto kutoka kwa watu anaohusiana nao, wanamtendea vipi?! Anapitia experince zipi?! Ni za muhimu au ni garbage za kuja kumuathiri kiakili huko mbele!!
Watu maskini na wa kati ndo huwa na muda sana na ujinga mwingi wa kujua jua watu na marafiki wasio na tija maana hawana individual identity ila identity ya mtaa mara ooh kijijini kwetu mara ooh wilayani kwetu, wanataka wamjue kila mtu na wamzoee kila mtu maana hawajitegemei
Upper class hawana marafiki ila wanaconnection. Wanakutana na watu wa class yao tu, hayo yote sijui social skills wanafundishwa na proffessional mentor na wanasocialize within their class na ndio wanalead uchumi na hata nchi pia.Na wengi wapo mentally strong kutoka na exposure kubwa ya watu wa hali ya juu na Dunia kwa ujumla.Na wala hawawafungii watoto bali wana limit na mipaka, wanawapa watoto wao nafasi ya kuwa exposed kwa watu wa class yao marafiki wa class yao,na kwenda sehemu za class zao na hivyo wewe wa kawaida sio rahisi kuwaona, hawaendi endi tu eti kwa jirani, eti mtaani eti kisa tu ni kwa jirani au ni mtaani, hawahusiani na watu wasiowajua kiundani.
Kuwafungia ndani ya geti watoto anakokumaanisha mtoa mada labda ni yale maget kali yale middle class family na lower class family. Unakuta nyumba ipo katikati ya tandale lakini yenyewe tu ndo nzuri na inageti kwa hiyo wazazi wanaoishi humo watakua na akili za kitandaletandale zile hawalei chochote ila wanasema wanalea, zile mtoto anaamka anavaa anaenda shule anakula analala kesho yake mzunguko unaendelea hivyo hivyo, yaani mzazi hana muda na mtoto wala hana muda wa kuinteract na mtoto, akimpeleka tuition ni zile tuition za kemia historia jiographia, yaani anasoma ya darasani tu. Mtoto hampeleki hata tour ndani ya nchi/nje ya nchi kumfundisha vitu vya muhimu au kumsajili kwenye madarasa ya muhimu. Huyo anafuga halei, matokeo yake ndo anafikiri sasa kumfungulia mtoto ni kumfungulia kwenda kucheza na watoto wa mtaani eti ndo watamfundisha na kumfanya awe mjanja.
Hongera kuwa mmoja wa wazazi wachache wenye kujua siri hii. Wazazi wengi tumeiga malezi ya ulaya...na kusahau kuwa ubunifu, uvumilivu, mahusiano, na kujitambua havigundishwi darasani na hata vikifundishwa havina tija bila kufanyia mazoezi. Watoto wengi wa english medium..zao ni katooni na kizungu. Anaongea vizuri ila hana ubunifu wala mahusiano mazuri na wenzie. Watoto kama wako..anajifunza mengi anaposhirikiana na vijana wa mtaani kwa bibi..mbali na kupiga sarakasi..ila kuhusiana na wenzie..kuwa mvumilivu pale anapokwazana na wenzio.TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa mitaani huko anakoendaga sio uswazi, ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua na mazingira ya huko nayajua mno.
2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au very social tangu nianze utaratibu huu wa malezi, bali nafurahi kwa sababu anakua katika hali ya tabia njema huku akiwa na moyo wa kujifunza.
3. Kuna wengi wamekuja na mawazo yao kwamba nimsomeshe mtoto shule za milioni 40 ili ajifunze mengi zaidi, Nashukuru kwa mawazo yenu huo uwezo sina, nawatakia kila la kheri mje muwapeleke watoto wenu hizo shule
TURUDI KWENYE MAADA
Nilistuka mapema sana juu ya madhara ya kusomesha watoto hizi private, unakuta mtoto anatoka saa 10 jioni, akitoka hapo ni tuition, akitoka hapo ni homework na wengi hawatoki nje ni geti kali ni ndani tu hii inahirbu sana maisha ya mtoto.
Pia Malezi ya siku hizi pia yamechangia mno kuwafanya watoto wawe mazube maana watoto ni kuwafuga kama kuku ndani ya mageti (geti kali) huku wazazi wengi wakijidanganya kwamba wanapata furaha kamili kwa katuni na kunanunulia games.
Nakumbuka zamani tukitoka shule tulikua hatukai ndani ucheza games au kuangalia katuni, Tulikua na vikundi vya watoto mitaani tunacheza mpira, kuogelea na hata kujifunza kuto onewa hovyo hovyo, dada zetu walicheza rede, kupika, n.k Hii michezo na maisha haya yalifanya tujue kuishi na jamii tofauti na siku hizi unakuta litoto linachojua na games, katuni na what is water. ukimpeleka huyu mtoto nje kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonewa na hata kuwa mpweke asiwe na marafiki maana hajui ku interact na watu (Hili tatizo ni kubwa ulaya).
Binafsi mtoto wangu wa kiume namsomesha english medium hizi, mara ya kwanza shule niliyompeleka walikua darasani 18 tu na wanatoka saa kumi, kwa huu uchache nakumbuka alikuwa ana rafiki moja tu na muda mwingi ulikuwa ni kusoma hadi saa kumi.
nikaona huu upuuzi sasa, shule ndio ni muhimu ila sio kila kitu kwa mtoto wangu kuna maisha mengi mno anayopaswa kujifunza, Nikamwamishia shule ambayo wapo 48 darasani na wanatoka saa saba na nusu ila tu darasa la saba tu ndio wanatoka saa tisa. Yeye yupo darasa la tatu shuleni huwa yumo kumi bora na hii inatosha kwangu siamini sana mambo ya kuwa wa kwanza.
akitoka shuleni anakula, anafua nguo zake, Zamani nilikuwa nimempiga geti kali ila baada ya hapo nikaanzisha utaratibu anapelekwa nje kidogo ya mjini kwa bibi yake ambako kawa na marafiki wanaocheza nae, kuogelea nae, kuwinda nae, n.k Pia kajufunza kuchinja kuku na kusonga ugali wake.
Siku hizi kawa muongeaji mno nlivyomwanzishia huu utaratibu, Kawa mjanja, Shuleni kwao kageuka kuwa aina ile ya mwanafuzni darasani ambae kila mwanafunzi anataka kuwa rafiki yake na nadhani hii ni kwasababu huwa anawapa stori ama kuwafundisha wenzake vitu alivyofundishwa au alivyofanya huko kwa bibi yake,
Shule aliyopo ni yeye peke yake anaweza kuruka zile sarakasi za nyuma basi wenzake wanamkubali sana,
Nimeitwa shuleni kwa kesi za utundu utundu huu wa wavulana kama kupiga kelele na kutania wasichana, Binafsi ndivyo navyotaka awe mchangamfu na nikiri tu nilifurahi hizi kesi japo nilimkanya kwa shingo upande , Sitaki mtoto azubae zubae
Sijamlipia school bus kwa maksudi kabisa japo nina uwezo, nilishangaa aliponiambia wenzake pia shuleni wanapenda sana wawe wanatembea kama yeye pamoja na wenzake wawili ambao hawajalipiwa school bus 🙂🙂
Michezo ambayo kuku wa kisasa wanaofungiwa ndani ambayo hawataijua
-Kutengeneza manati, kuwinda ndege porini ,shabaha na raha ya kula ulichowinda
-Kuunda magari ya waya au udongo
-Kujifunza kupigana (kuku wa kisasa wanajua kupigana kwenye game)
-Kidali poo
-Kibabababa na kimamamama
-kombolela
-Kushona makambakamba vidoleni na kuyachezesha kwa mitindo mbalimbali
-kujifunza kugawana - ukija na kimbama,kisheti,gimbi au muwa marafiki zako lazima wapate.
-Mchezo wa kuzungusha betri kwa mijeredi
-Kupuliza kimhwepelo
-kukimbiza malingi ya baiskeli
-mpira wa chandimu
-Mchezo wa goroli
Elimu ni muhimu ndio ila mwenyewe nina degree ya uhasibu na CPA nimeajiriwa vizuri tu japo nilikuwa na uwezo wa kawaida tu shuleni ila huku kazini nafanya kazi vizuri tu na kuna wenzangu waliokuwa wanakua wa kwanza darasani hadi leo wamehitimu hawana kazi. Malezi sio kumfungia mtoto na kumbana sana ukiamini ndio njia ya kumlinda , LA HASHA!! kuna siku atakua mkubwa na ataishi maisha yake anaweza kupata changamoto kibao ambazo hakupata nafasi za kukabiliana nazo utotoni.
Hio elimu ya darasani tunato wengi tu na wengine tumefika vyuo vikuu, ni elimu ambayo inatusaidia kuajiriwa tu, ndio maana kuna wanaofoji vyeti na wanafanya kazi bila kugundulika.Hongera kuwa mmoja wa wazazi wachache wenye kujua siri hii. Wazazi wengi tumeiga malezi ya ulaya...na kusahau kuwa ubunifu, uvumilivu, mahusiano, na kujitambua havigundishwi darasani na hata vikifundishwa havina tija bila kufanyia mazoezi. Watoto wengi wa english medium..zao ni katooni na kizungu. Anaongea vizuri ila hana ubunifu wala mahusiano mazuri na wenzie. Watoto kama wako..anajifunza mengi anaposhirikiana na vijana wa mtaani kwa bibi..mbali na kupiga sarakasi..ila kuhusiana na wenzie..kuwa mvumilivu pale anapokwazana na wenzio.
Mimi ningekuwa raisi..ningefumua huu mgumo wa maisha..na kulaImisha shule zote za private na public kufanya masomo ya michezo na sayaskimu..angalau watoto wachangamke!
sawa endelea kujifungiaga ndaniWewe umeandika false. Mimi naishi uswahilini najua tabia za huku. Nimeamua kujitenga na hii jamii kwani inaharibu hasa watoto.
Mimi najifungia ndani sio mtundu sio mcheshi na ni mpole kupitiliza.
Na nimesoma shule ya watukutu na hakuna aliyejaribu kuleta utani Wala kunionea na wananiogopa sababu najitambua na kujiamini. Wajinga wote wananiogopa na kuniheshimu shule na mtaani.
Watu wa mitaani hawana adabu hawana heshima. Matusi na ngono ndicho wanachofikiria muda wote.
Watoto wa age yangu wana uwezo mdogo sana wa maono na maoni wala hawana uwezo wa kufikiria.
Wao wanawake na ngono ndo mawazo yao.
Hawajui nini kinaendelea nchini wala future plans yaani ni vilaza.
Watoto wadogo wa miaka 5n6 wanafikiria ngono pia na kutukanana matusi ya mama. Na shule nako hivyohivyo. Na wewe sikulaumu sababu ni zao la hao watu.
Wazazi wao na mtaa mzima kutukana ku....Nina ni kawaida. Wivu uchoyo chuki matusi kama unayotukana wewe na majungu ndo maisha yao.
Na wewe sikulaumu sababu ni zao la hiyo jamii. Ndo maana badala ya kujibu hoja unashusha matusi.
Hizo perspective zako baki nazo kufa nazo mwenyewe. Wewe umenizidi umri lakini ni mjinga.
Hao wanaokubaliana na wewe wote ndo zao la hizo jamii mbovu za kiafrica. Ndo hawa wanasoma ili wapate ajira. Hii inachochea umasikini Africa. Huruma.
Prove wewe ulikuwa haudeki...sipendi sana mitoto inayodeka,
Pumba hizi unadhani wote wanasoma ili waajiriwe....Hio elimu ya darasani tunato wengi tu na wengine tumefika vyuo vikuu, ni elimu ambayo inatusaidia kuajiriwa tu, ndio maana kuna wanaofoji vyeti na wanafanya kazi bila kugundulika.
Wengi humu wanadhani simwi mtoto vizuri lakini wanasahau anaeacha asili ni mjinga, Siwezi kumlea mtoto wa kiume kimayai mayai eti nimlipie school bus utafkiri ni kilema ama yeye sio kama wenzake weliojazana shule za kata wanaotembea kwa miguu bila matatizo.
Siwezi kumzuia asicheze nje maana hii dunia ni ya watu, watu hawakwepeki, inabidi ajifunze social skills ku interact na wenzie, kuna vitu kama kukaribisha wenzako unapokula, kugawana na wenzako chakula,n.k kajifunza huko.
pia ujanja ujanja nao ni muhimu, mambo ya kuonewa sina stress nayo tena, mtoto wa kiume ukipigwa rudishia sio kuja kwangu unalia "baba nimepigwa", kuna kesi nillitwa shuleni huko mtoto wa darasa la juu yake walipigana, mimi nikaona ndivyo inavyotakiwa sio kuitwa huko shuleni kwamba anaonewa.
Pia maisha ni connection. hii inabidi mtoto awe na marafiki pande nyingi nyingi huku mimi nikiwa na analyze.
Mkuu jitahidi kujifunza kucheza na ujumbe uliofichika kwenye maneno.mwanae anaruka salakasi za kinyume nyume!
hivi ukiruka salakasi za kinyume nyume ni moja ya social skills??
mwanae sasahiv amepata vikesi viwili vitatu huko shuleni
kumbe kupata vikesi viwili vitatu ni moja ya social skills?!
nimeipenda avatar yako MkuuMkuu jitahidi kujifunza kucheza na ujumbe uliofichika kwenye maneno.
Hahaha we jamaa umenichekesha sana,umeanza mbio kwenye mashindano kabla hamjaruhusiwaMkuu jitahidi kujifunza kucheza na ujumbe uliofichika kwenye maneno.
Mkuu naamini haya mambo ya social skills inabidi yawe kwa vitendo zaidi na ukiangalia kwa karibu sana watu wengi ambao hata wameishia darasa la nne wana social skills kubwa sana kwa sababu muda mwingi wanachangamana na jamii
Mtoto hata kama anafundishwa social skills kama yupo geti,akitoka shuleni anacheza games, hapo hamna kitu.
Mkuu huko ka bibi yake nakompeleka kuna stories mpaka basi, Nimeweka wazi kabisa huko shuleni anakosoma kama muongeaji sana kwasababu ana kabati la stories humo kichwani tofauti na wenzake wengi ambao kichwani kuna games na katuni tu.
Huyu bibi sidhani kuna tatizo, Kuna siku chalii alikuwa anadokoa jikoni naona bibi alimuongezea elimu ya vitengo kwa kumtia viboko vya mpera 🙂 🙂
Mkuu hayo ndo maisha.
Mfundishe kuheshimu watu wakubwa na wadogo asiwe na matusi.
Mfundishe kujitambua na kuwa muwazi kwako.
Mfundishe kuwa ipo siku hamtakuwa wote.
Mfuindishe kuwa yeyr kama yeye yupo hapa ili aje kuwa mtu wa pekee hivyo anatakiwa achague ana ndoto gani tokea hapo alipo.
Mfundishe kuwa maisha yanaanza anapojitambua na sio anapoajiriwa.
Mtengenezee mindset nzuri tokea utoto atakuja kuwa bonge la genius.
Hakikisha unafanya jae mijadala na kubishana nae kwa hoja ili awe na uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mimi nafanya hayo kwa mdogo wangu sasahivi yuko kidato cha pili yuko vizuri anajuia anafanya nini ana time management nzuri,ana commitment nzuri huwezi amini kama ni kijana ambae anapitia kubaleghe.
Nilishamuambiaga kuwa dogo unapitia wakati wa kubaleghe,wakati mgumu sana kwenu nyie watoto ila tambua wakati huu ni wakati wa kujifunza subra na uvumilivu na kujishusha kwa sababu ni wakati ambao uinajiona wewe ndo wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
NzuriTUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan, anakoendaga ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini.
2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au very social tangu nianze utaratibu huu wa malezi, bali nafurahi kwa sababu anakua katika hali ya tabia njema huku akiwa na moyo wa kujifunza.
3. Kuna wengi wamekuja na mawazo yao kwamba nimsomeshe mtoto shule za milioni 40 ili ajifunze mengi zaidi, Nashukuru kwa mawazo yenu huo uwezo sina, nawatakia kila la kheri mje muwapeleke watoto wenu hizo shule
TURUDI KWENYE MAADA
Nilistuka mapema sana juu ya madhara ya kusomesha watoto hizi private, unakuta mtoto anatoka saa 10 jioni, akitoka hapo ni tuition, akitoka hapo ni homework na wengi hawatoki nje ni geti kali ni ndani tu hii inahirbu sana maisha ya mtoto.
Pia Malezi ya siku hizi pia yamechangia mno kuwafanya watoto wawe wamezubaa maana watoto wengi wanafugwa kama kuku ndani ya mageti (geti kali) huku wazazi wengi wakijidanganya kwamba wanapata furaha kamili kwa katuni na kunanunulia games.
Nakumbuka zamani tukitoka shule tulikua hatukai ndani kucheza games au kuangalia katuni, Tulikua na vikundi vya watoto mitaani tunacheza mpira, kuogelea na hata kujifunza kuto onewa hovyo hovyo, dada zetu walicheza rede, kupika, n.k
Hii michezo na maisha haya yalifanya tujue kuishi na jamii tofauti na siku hizi unakuta mtoto ana maarifa ya kucheza games, katuni na kukariri tu vya darasani. ukimpeleka huyu mtoto nje kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonewa na hata kuwa mpweke asiwe na marafiki maana hana elimu ya watu
Binafsi mtoto wangu wa kiume namsomesha english medium hizi, mara ya kwanza shule niliyompeleka walikua darasani 18 tu na wanatoka saa kumi, kwa huu uchache nakumbuka alikuwa ana rafiki moja tu na muda mwingi ulikuwa ni kusoma hadi saa kumi, wakitoka huja na school bus
nikaona huu upuuzi sasa, shule ndio ni muhimu ila sio kila kitu kwa mtoto wangu kuna maisha mengi mno anayopaswa kujifunza, Nikamwamishia shule ambayo wapo 48 darasani na wanatoka saa saba na nusu ila tu darasa la saba tu ndio wanatoka saa tisa. Yeye yupo darasa la tatu shuleni huwa yumo kumi bora na hii inatosha kwangu siamini sana mambo ya kuwa wa kwanza bali naamini matokeo yanayoridhisha
akitoka shuleni anakula, anafua nguo zake, Zamani hii kazi haikumhusu, nilimpiga geti kali
Nikaanzisha utaratibu kukiacha kidume huru nampeleka nje kidogo ya mjini kwa bibi yake ambako huhumuika na wenzake, mara nyingi huendA kuogelea nae, kuwinda nae, n.k Pia kajufunza kuchinja kuku na kusonga ugali wake.
Siku hizi kawa muongeaji mno nlivyomwanzishia huu utaratibu, Kawa mjanja, Shuleni kwao kageuka kuwa aina ile ya mwanafuzni darasani ambae kila mwanafunzi anataka kuwa rafiki yake na nadhani hii ni kwasababu huwa anawapa stori ama kuwafundisha wenzake vitu alivyofundishwa au alivyofanya huko kwa bibi yake,
Shule aliyopo ni yeye peke yake anaweza kuruka zile sarakasi za nyuma basi wenzake wanamkubali sana,
Nimeitwa shuleni kwa kesi za utundu utundu huu wa wavulana kama kupiga kelele na kutania wasichana, Binafsi ndivyo navyotaka awe mchangamfu na nikiri tu nilifurahi hizi kesi japo nilimkanya kwa shingo upande , Sitaki mtoto azubae zubae
Sijamlipia school bus kwa maksudi kabisa japo nina uwezo, nilishangaa aliponiambia wenzake pia shuleni wanapenda sana wawe wanatembea kama yeye pamoja na wenzake wawili ambao hawajalipiwa school bus 🙂🙂
Michezo ambayo kuku wa kisasa wanaofungiwa ndani ambayo hawataijua
-Kutengeneza manati , kuwinda ndege porini , kombolela, Kidali poo, ufinyanzi n.k (michezo ya kitamaduni kwa mvulana wa kiafrika)
-Kujifunza kukabiliana na hatari, kuna kesi nliitwa shuleni yeye na rafiki yake walimchangia mwenzao muonezi wa darasa la juu, nisingefurahi kama ningeitwa anaonewa kupigwa
-kujifunza kugawana / kukarivisha - ukija na chajula ni vyema kujua pia marafiki zako wananjaam kuna watoto hawahuagi kukaribisha
-Kupuliza kimhwepelo
-kukimbiza kuku
-mpira wa chandimu
Elimu ya darasani ni muhimu sikatai, binafsi ndio imenipa ajira, lakini vijana wengi wapo mtaani wanalalamika wamesoma na hawana ajira na hakuna cha zaidi wanachoweza, hapa ndipo elimu za ziada zinapokuwa muhimu
Malezi sio kumfungia mtoto na kumbana sana ukiamini ndio njia ya kumlinda , LA HASHA!!