Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 642
- 375
Kuwa mcheshi kunategemeana sana na idadi ya watu waliopo kwenye circle yako
Una ushahidi wowote wa kisayansi au ni maoni/hisia zako?
Ushahidi wa gaming addiction upo mkuu cheki huyo youtube kuna kitu kinaitwa gaminga addiction na ni tatizo kubwa mno kwenye nchi za ulaya kiasi kwamba kuna rehabs kabisa, Hawa watoto wa ist wapo exposed sana nagames na kuna mtu nadhani alikuwa staff pale ist alitoa maoni jinsi games zinavyoharibu watoto pale.
Sijui aina ya maisha na jamii inayokuzunguka. Lakini michezo hiyo ni vitu vya kawaida miongoni mwa jamii fulani, sidhani kama hiyo michezo imesababisha madhara kwa kiwango hicho unachotaka kuonyesha. Neno kubwa mno ni linganifu, ni kwa kiasi gani limesababisha shida ulaya?
Siwezi kulea mtoto kizungu yaani kitoto kipo 15 kinaniletea eti boyfriend wake no, no, no. Situmii sana mdomo kwenye matatizo serious huwa natia mboko.
Nachelea kusema hata malezi ya kizungu unayosema, sidhani kama unaweza kusema ni malezi ya namna gani. Hata viboko ni sehemu ya kumpa furaha mtoto?