Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Nimecheka mpaka nimepaliwa na "lebo nyeusi" hapa.
Umeandika ukweli ambao mimi binafsi nimeuzoea.
 
Na ukienda baa ya jirani veepee. Hiyo bundle bado inatumika?
 
Mimi nyumbani natumia zuku nalipia elfu 70 kwa mwezi.

Pia nina airtel unlimited naitumia kwenye biashara zangu mbali na nyumbani hiyo nailipia laki na 15 kwa mwezi sababu ya 5g
Mimi nimenunua ile Mini Wi-Fi ya airtel ya 50,000 ili niwe naweka bando ya 30,000 monthly lakini imenizingua inagoma kuunga kifurushi cha internet wakati laini ina pesa..
 
Ttcl 50000 na kuendelea per month, mitandao ya simu gharama kubwa mno, 3000 unapewa 1.4GB na hazikawii kumalizika, ni bora ttcl, tena mkiwa wengi manyumbani mtajikuta mnachangia kila kichwa 10000 per month
 
Nimeunga fiber unlimited kwa mwezi ni 59000 na kasi yake ni 20mbps sijajutiaa kwa kwelii.nimeunga majirani zangu kumi...so inajiendesha yenyewe na faida juu..nishasahau vingamuzi na maumivu ya bundle.company inaitwa netsolution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…