- Thread starter
- #41
Mie natumia ya Halotel, lakini unfortunate haina unlimited, naunga badno kadri ya ninavyoweza
airtel na vodacom wana unlimited.. zina spidi nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie natumia ya Halotel, lakini unfortunate haina unlimited, naunga badno kadri ya ninavyoweza
ni portable router?airtel na vodacom wana unlimited.. zina spidi nzuri sana
😂😂😂kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.
Nimecheka mpaka nimepaliwa na "lebo nyeusi" hapa.kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.
hapo mnaweza kukuta week inakatika mzungumzi ikumbukwe verbal interaction ni msingi wa kujenga familia bora yenye umoja na mshikadano.
sasa data unlimited kila mtu na smartphoni huyu anakula huku yuko na smartphone yule chumbani kajifungia anaperuzi sites za ngono ajilipue, yule yuko chooni anakuny.a huku yuko na simu kila mtu anakua busy na simu.
Mtoto akipatwa na jambo chakwanza ni kupost status mzazi anakuja kuona "hee kumbe umepatwa na tatizo" mtoto yuko karibu na simu kuliko wazazi, mke anaburudishwa na wanaume mitandaoni mume anasaka utelezi mda wote mtandaoni hakuna mwenye muda na mwenzake data si unlimited bwana.
ni portable router?
Na ukienda baa ya jirani veepee. Hiyo bundle bado inatumika?Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet.
View attachment 2826359
we unatumia airtel gani sie wengne tulilipa 20000 tunapata gb 22 smeUkilipa 20,000/- unapata 9.5GB kwa mwezi Airtel kwa matumizi ya kawaida ni nzuri pia unakuwa na mobility tofauti na hiyo unlimited ambayo ni fixed hapo nyumbani.
ni portable router?
Na ukienda baa ya jirani veepee. Hiyo bundle bado inatumika?
Mimi nimenunua ile Mini Wi-Fi ya airtel ya 50,000 ili niwe naweka bando ya 30,000 monthly lakini imenizingua inagoma kuunga kifurushi cha internet wakati laini ina pesa..Mimi nyumbani natumia zuku nalipia elfu 70 kwa mwezi.
Pia nina airtel unlimited naitumia kwenye biashara zangu mbali na nyumbani hiyo nailipia laki na 15 kwa mwezi sababu ya 5g
Si unakibeba?Bei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.
Voda wanavyo na unakibeba ukienda home...Kampuni gani mkuu maana nina mwaka wa 2 nliomba fiber to home ya ttcl sijafungiwa hadi leo
[emoji28]Afu mkirudi hom wote mtakuwa bize na simu (si mnakiu?)
Hapana ipo vzr sana sisi tumechanga eneo la kazi 70k kwa mwezi ina speedHii unlimited hawakubani speed so inakiwa too slow?
Fiber ni kwa maeneo ta mijini tuElfu 70 kwa mwezi. Wanafunga fiber nyumbani
20 mbps halafu umeunga na watu , hawakusumbui kwenye speed?Nimeunga fiber unlimited kwa mwezi ni 59000 na kasi yake ni 20mbps sijajutiaa kwa kwelii.nimeunga majirani zangu kumi...so inajiendesha yenyewe na faida juu..nishasahau vingamuzi na maumivu ya bundle.company inaitwa netsolutionView attachment 2826925