SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwani enzi na enzi waliomba misaada yenu kazi wivu maana wanapendwa na wazungu wanafadhiliwa nakupewa maisha mazuri nyie hadi mfikie huko labda mitishamba wivu haijengiWataishi vipi binaadam na wanyama halafu yafanywe maendeleo ya binadam mbugani?
Hawataki shule!
Hawataki hospitali?
Hawataki kilimo?
Hawataki kuongezeka?
Hawataki maduka?
Hawataki viwanja vya michezo?
Wamejazwa ujinga hao?
Ngorongoro ni urithi wa dunia, inatakiwa ibaki na wanyama tu.
Wamasai waingie, wsfanye matambikoyao na kutoka.
Wasituletee ujinga.
HahahaaaAtasemq wamasai wamebubujikwa kwa machizi ya furaha kupelekwa uhamishoni Handeni
#Justice for Maasai-land .
Wanyama na waarabu.
Atasemq wamasai wamebubujikwa kwa machizi ya furaha kupelekwa uhamishoni Handeni
Kwani enzi na enzi waliomba misaada yenu kazi wivu maana wanapendwa na wazungu wanafadhiliwa nakupewa maisha mazuri nyie hadi mfikie huko labda mitishamba wivu haijengi
Wamasi wako smart sana kichwani sema waliamua tu kuchagua maisha ya kuishi mbuganiWamefunga Barabara za kwenye mbuga ya Ngorongoro na kuzuia watalii kupita
Siku zote walikuwa hawaongezeki etiIdadi yao, mifugo yao, makazi yao na shughuli zao zinaongezeka kwa kasi sana. Hivyo kuiweka mbuga katika mazingira ya hatari ya kutoweka.
Yeah time is the best answer lo
Siku zote walikuwa hawaongezeki eti
Kama wewe yaani.Mnalishwa uongo.
Wajinga ndiyo waliwao.