SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwani enzi na enzi waliomba misaada yenu kazi wivu maana wanapendwa na wazungu wanafadhiliwa nakupewa maisha mazuri nyie hadi mfikie huko labda mitishamba wivu haijengiWataishi vipi binaadam na wanyama halafu yafanywe maendeleo ya binadam mbugani?
Hawataki shule!
Hawataki hospitali?
Hawataki kilimo?
Hawataki kuongezeka?
Hawataki maduka?
Hawataki viwanja vya michezo?
Wamejazwa ujinga hao?
Ngorongoro ni urithi wa dunia, inatakiwa ibaki na wanyama tu.
Wamasai waingie, wsfanye matambikoyao na kutoka.
Wasituletee ujinga.