Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

Wataishi vipi binaadam na wanyama halafu yafanywe maendeleo ya binadam mbugani?

Hawataki shule!

Hawataki hospitali?

Hawataki kilimo?

Hawataki kuongezeka?

Hawataki maduka?

Hawataki viwanja vya michezo?

Wamejazwa ujinga hao?

Ngorongoro ni urithi wa dunia, inatakiwa ibaki na wanyama tu.

Wamasai waingie, wsfanye matambikoyao na kutoka.

Wasituletee ujinga.
Kwani enzi na enzi waliomba misaada yenu kazi wivu maana wanapendwa na wazungu wanafadhiliwa nakupewa maisha mazuri nyie hadi mfikie huko labda mitishamba wivu haijengi
 
You can't kill a weed without removing it's root.
Time will tell, very soon✌️
 
Wanyama na waarabu.

Kuna eneo la kreta halina uhusiano na waarabu. Eneo alilouziwa muarabu na mzee ruksa ni Loliondo. Eneo ambalo zamani waandishi wa habari kama akina Katabalo waliliandika sana. Kadhia hiyo iliitwa Loliongo Gate. Sijui kama nyie Gen-Z mnalifahamu hilo.
 
Atasemq wamasai wamebubujikwa kwa machizi ya furaha kupelekwa uhamishoni Handeni

Hilo ni kweli kwa maana kule Tanga wanapewa na kumilikishwa ardhi. Tofauti na kule mbugani ambako sheria inawazuia kumiliki ardhi.
 
Kwani enzi na enzi waliomba misaada yenu kazi wivu maana wanapendwa na wazungu wanafadhiliwa nakupewa maisha mazuri nyie hadi mfikie huko labda mitishamba wivu haijengi

Idadi yao, mifugo yao, makazi yao na shughuli zao zinaongezeka kwa kasi sana. Hivyo kuiweka mbuga katika mazingira ya hatari ya kutoweka.
 
Kitendo Cha kuwafukuza hovyo wa Masai ulitosha kuanzisha maandamano kuing'oa hii serikali dhalimu
 
Back
Top Bottom