Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

wewe utakuwa bonge moja la handsome
ila sisi wenye sura ngumu, bila pesa, utelezi wa bure utakaopata ni wa Vaseline pekee
Mbona kinyonge hivyo kaka? Jiamini kaka.! Jiamini! Usiwe mnyonge na desperate kiasi hicho.
 
Ni kweli maskini walio wengi huwa na tabia za uchawi na ushirikina.

Mwanaume lazima urogwe na nduguzo .

Anajua iwapo ukimwacha hatapata pa kwenda na kupata kujikimu mahitaji yake ya msingi hivyo anaamini katika kukuroga tu.
Siyo hivyo tu. Insecurity yake inaweza kupelekea hata kukuua kabisa.
 
Chai
 
Sema tu huna hela[emoji38][emoji38] mwanamke kapuku[emoji38][emoji38]
 
Kwanza kama Huna pesa Achana na wanawake, sahau story za kuoa.
Tafuta maisha then fikiria kumiliki mtu utakayemudu kumlisha na kamvisha, hata heshima utaipata vizuri tu.
Kwa hiyo kama hana hela apige punyeto??!
 
Source ya story yako? Siyo chai kweli?
 
Hatujasema ni kwa asilimia 100%
Ila asilimia kubwa mwanamke hakupi heshima kama Huna chochote, kiasili sisi tuna ubinafsi ndani yetu.
Ni wewe ndiyo mwenye ubinafsi bhana... wa kwetu mbona hawana.![emoji38]
 
 
Hii inafanya kizazi chasiku hizi vijana wasijiongeze na kufikiria kulelewa tu na wanawake,utakuta kijana anafanya kazi lakin anaomba omba hela kwa mwanamke kisa mwanamke anahela kumzid
 
Miimi sura lazma nizingatie,,,, siwez kuoa mwanamke ana sura kama analia eti kisa tu ana high intellect. Hapana hapana yaan kama ni suala la intellect basi watoto watarithi intellect yangu lakn sura watarithi kwa mamao.
 
Kw andiko hilo juu
Mwanamke awezi lingana na mwanaume hata mwisho wa dahari ufike
 
Na nadhani mtoa mada kikubwa kamaanisha mwanamke aweanajitegemea Kwa vitu bahadhi siyo Kila kitu apate Kwa mwanaume na sio siku akitoa pesa basi inahesabika deni sharti lilipwe
 
Wew unajielewa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mkubwa muhuni kweli, hiyo mimi naikataa kabisa. Tafuteni pesa zenu, mlitaka wenyewe 50 50. Kwanza majukumu yenu mmeyatelekeza mkawapa housegirls na bado huko mnasema mnaenda kutafuta pesa zinakuwa hazina mchango kwa ustawi wa familia. Tafuteni pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…