Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Nipo kwenye basi from Mbeya to Dar. Hii safari haikupangiliwa in advance so nilikurupushwa tu. Kupigania siti nikaambulia siti ya pili kutoka mwisho upande wa kulia. Abiria niliyekaa naye kidume mwenzangu. Ila kumbe yeye akaja kushukia Moro. Kufika Mikese wakapanda abiria wawili mdada na mkaka. Kwa haraka nikaona wale ni mtu na mume wake au wachumba. Sasa mdada akaja kukaa nilipo, jamaa akaambulia siti ya mbele (usawa ule ule). Walipopanda konda akaja kuchukua nauli walibishana sana nauli inapelea. wakajikamua kamua sana kwa mbinde konda akarudi huku anafoka foka kwa kuambulia nauli pungufu.

Binti mrembo sana white anang'aa bila make up, nywele kachana tuu (kuku wa kienyeji ila safi hatari). Mguu a bia umbo namba 8, Mtoto alinivuruga haswa. Baadaye nilielewa ni mtu na mchumba wake. Picha ilianza nikawa nachezea simu janja yangu kila nikiwa eneo lenye mtandao nafungua internet najisomea habari, mara whatssap. Kuna zile breaking news kwenye social media nikachomekea story flani na yeye akanza kuchangia mada hata abiria wa siti jirani nao ikawa story story. wakati mwingine nafungua gallery naanza kuangalia videoz za kicheshi cheshi zile za kuchekesha nikaona na yeye anapiga chabo haswa niukawa namsogezea aangalie vzuri. Kwa jinsi nilivyomsoma binti hana simu janja ana kiswaswadu. Kucheki jamaa kwa mbele ni kama anasinzia.

Kuna muda binti akapigiwa simu na mtu (nahisi ndugu yake) kwenye maongezi yao akamjibu huyo mtu kuwa yeye hana dakika wala sms. Nikajiwazia huyu mwanaume naye jipu, anakaaje na mtoto mkali vile ashindwe kumnunulia vocha? Alivyokata simu nikamwandikia sms "si vizuri kusafiri njiani huna hata vocha, ukipata tatizo unatoaje taarifa nyumbani?" nikamwonyeshea aisome. akaicheki akaniangalia akaachia tabasamu, akachukua simu yangu akanijibu "sina hela sasa, hapa nauli tu tumebangaiza kweli". Akanirudishia simu nikafuta zile sms, nikamwambia andika namba nikununulie vocha kwenye m pesa". Akajibu "M pesa nadaiwa songesha". Nikauliza sh ngapi, akasema 5k. nikasemawee weka namba. Hapo tunachat tumejifanya kama tunasinzia hivi tumeegamia siti kwa mbele.

Akatii maelekezo nikarusha 15k. alipoiona ile sms hakuamini macho yake nikaona tabasamu lenye mng'ao flani amazing. nikamwambia nunua kifurushi, mawasiliano muhimu njiani, akafanya hivyo. Kesho yake wala sikumtafuta ila yeye alinitafuta mwenyewe kunishukuru. Ule mzigo niliukula siku ya pili yake. Kumbe kwao ni Moro, nimekula mzigo mara kibao hadi nimetekewa na penzi la yule mtoto. sometimes napanga safari kumbe nashukia Moro kwanza kabla ya kuendelea.
Hii imekaa kiutamu sana
 
Wazee wa kupambania Kombe..
Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI?

Umafia:

Part 1>
Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia nje bado vituo viwili nishuke.

Kuchek katika wallet business card binafsi zimeisha zimebaki za Ofisini (Michoresho) nikaona hii hapana kuitoa.

Nikajipapasa huku na kule bahati nzuri nilibahatisha kipande cha TICKET ya Bus la mkoani, na katika ile ticket kuna namba yangu ya SIMU, sikujiuliza mara mbili wakati nashuka nikamshtua yule mrembo kwa kumgusa begani then ile ticket nikaipitisha kwa chini kama vile alikuwa kaiangusha then nikamkazia machoni huku nikimuonyesha ishara ya NIPIGIE. Mie nikashuka zangu huyo Home nikatulia.

Zikapita kama siku 5 kimya, nikaona hapa Mkeka umechanika.. siku ya 6 jioni nipo viti virefu nashangaa namba ngeni kupokea ni yule Manzi.. akajitambulisha pale.. then the rest is history..[emoji39]

Kuna wengine wanatumia mpaka Hela kuandika namba (Karatasi hakuna).. mtu anachukua noti ya elf 10 anachora namba yake anamkabidhi mrembo..
Kuna mwingine kwenye daladala kaingia akaona siti amekaa mrembo peke yake naye akaliunga, safari ikaendelea na stori za hapa na pale. Jamaa akakaribia kushuka akamwambia samahan dada naomba nisaidie kutupa hii simu nje dema akashtuka akamuuliza kwa nn. Jamaa akasrms haina maana kuendelea kuwa na simu isiyo na namba zako. Demakacheka tu huku jamaa akimpa simu dema akatoa namba
The rest was a story
 
Nipo kwenye basi from Mbeya to Dar. Hii safari haikupangiliwa in advance so nilikurupushwa tu. Kupigania siti nikaambulia siti ya pili kutoka mwisho upande wa kulia. Abiria niliyekaa naye kidume mwenzangu. Ila kumbe yeye akaja kushukia Moro. Kufika Mikese wakapanda abiria wawili mdada na mkaka. Kwa haraka nikaona wale ni mtu na mume wake au wachumba. Sasa mdada akaja kukaa nilipo, jamaa akaambulia siti ya mbele (usawa ule ule). Walipopanda konda akaja kuchukua nauli walibishana sana nauli inapelea. wakajikamua kamua sana kwa mbinde konda akarudi huku anafoka foka kwa kuambulia nauli pungufu.

Binti mrembo sana white anang'aa bila make up, nywele kachana tuu (kuku wa kienyeji ila safi hatari). Mguu a bia umbo namba 8, Mtoto alinivuruga haswa. Baadaye nilielewa ni mtu na mchumba wake. Picha ilianza nikawa nachezea simu janja yangu kila nikiwa eneo lenye mtandao nafungua internet najisomea habari, mara whatssap. Kuna zile breaking news kwenye social media nikachomekea story flani na yeye akanza kuchangia mada hata abiria wa siti jirani nao ikawa story story. wakati mwingine nafungua gallery naanza kuangalia videoz za kicheshi cheshi zile za kuchekesha nikaona na yeye anapiga chabo haswa niukawa namsogezea aangalie vzuri. Kwa jinsi nilivyomsoma binti hana simu janja ana kiswaswadu. Kucheki jamaa kwa mbele ni kama anasinzia.

Kuna muda binti akapigiwa simu na mtu (nahisi ndugu yake) kwenye maongezi yao akamjibu huyo mtu kuwa yeye hana dakika wala sms. Nikajiwazia huyu mwanaume naye jipu, anakaaje na mtoto mkali vile ashindwe kumnunulia vocha? Alivyokata simu nikamwandikia sms "si vizuri kusafiri njiani huna hata vocha, ukipata tatizo unatoaje taarifa nyumbani?" nikamwonyeshea aisome. akaicheki akaniangalia akaachia tabasamu, akachukua simu yangu akanijibu "sina hela sasa, hapa nauli tu tumebangaiza kweli". Akanirudishia simu nikafuta zile sms, nikamwambia andika namba nikununulie vocha kwenye m pesa". Akajibu "M pesa nadaiwa songesha". Nikauliza sh ngapi, akasema 5k. nikasemawee weka namba. Hapo tunachat tumejifanya kama tunasinzia hivi tumeegamia siti kwa mbele.

Akatii maelekezo nikarusha 15k. alipoiona ile sms hakuamini macho yake nikaona tabasamu lenye mng'ao flani amazing. nikamwambia nunua kifurushi, mawasiliano muhimu njiani, akafanya hivyo. Kesho yake wala sikumtafuta ila yeye alinitafuta mwenyewe kunishukuru. Ule mzigo niliukula siku ya pili yake. Kumbe kwao ni Moro, nimekula mzigo mara kibao hadi nimetekewa na penzi la yule mtoto. sometimes napanga safari kumbe nashukia Moro kwanza kabla ya kuendelea.
Safiii.... umetuwakilisha vyema.
Hivi viumbe wakilia lia we tatua shida zao mara moja.. hutotumia nguvu kamwe.
 
Hizi mbinu zingetumika na kwenye kutafuta Hela nchi hii tungekuwa matajiri😃
Mbinu mbona zipo si unaona jinsi watu wanavyoweka MAKAMPUNI yao ya kibiashara ndani ya taasisi za umma na kujipigia hela..
 
Kuna mwingine kwenye daladala kaingia akaona siti amekaa mrembo peke yake naye akaliunga, safari ikaendelea na stori za hapa na pale. Jamaa akakaribia kushuka akamwambia samahan dada naomba nisaidie kutupa hii simu nje dema akashtuka akamuuliza kwa nn. Jamaa akasrms haina maana kuendelea kuwa na simu isiyo na namba zako. Demakacheka tu huku jamaa akimpa simu dema akatoa namba
The rest was a story
Tactics..😂
 
Wazee wa kupambania Kombe..
Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI?

Umafia:

Part 1>
Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje?
Ni pale malaya MJINGA anapohangaika na malaya WAJANJA.
 
Part 2:
Nilikuwa Samaki Samaki pale Mlimani City.

Napiga maji, ghafla nikaona Chuma kikali sijapata kuona aisee ubaya alikuwa na Boyfriend/Mume wake.

Basi nikamlia timing wakati wa kwenda Washroom nimfate huko huko (Mazingira ya pale kwa upande wa Washroom kuna Distance kubwa).

Basi kweli bhana Manzi akajipindua kuelekea Washroom na mimi nikaunga Tela, tulivyokunja kona tu ya kuingia corridor la choooni nikamshtua, akasimama nikamwomba namba akasema yeye ameisahau kama vipi nimpe yangu, basi akanipa simu yake nimuandikie Namba yangu..

Kumbe nyuma Bwana ake anakuja na yeye tyr kashanipa simu yake ndio niandike namba nashangaa Manzi kageuka chap kakimbilia choo cha wanawake. Mie nikawa nimesimama tu sielewi nini kinaendelea ila kwa kuwa nimesoma CUBA sikugeuka ila nikapiga jicho kwenye kioo (Reflection) nikaona mjuba anakuja ila bahati nzuri na yeye alikuwa anatembea huku anachat so hakuona tukio la mbele.

Sasa simu ninayo ya yule Manzi namrudishiaje??.. 🤣

Na jamaa kumbe alikuja kumsubir kule kule kwenye Corridor la Washroom ili arudi naye.

Mie nikajipindua Choo cha kiume kama Kawaida nikazuga zuga pale, Dem akatoka akanipa ishara ya nitulie huko huko.

Basi jamaa akarudi naye Mpaka walipokuwa wamekaa. Mie nikatoka baadae kurudi ktk meza yangu, nikamuita mhudumu mmoja hivi (Best yangu) nikamwambia nenda pale idondoshe hii simu miguuni (Mapajani) kwa yule Dada pale then uje kuna Zawadi yako hapa..

Mhudumu hakusita, alifanya hivyo na yule Dada aliiokota simu yake then.. tukaendelea kuwasiliana pale pale...

Huyu aliniletea shida sana.. mpaka nikawa naishi kama Mwizi.
Story ile ya PART 2:
Naona kuna wadau wameomba niendelezee nini kilikuja nitokea baadae.
MIRA01 mawardat Statics

Tuliwasiliana na yule Manzi mara kwa mara, nikaja kugundua ni Mke wa mtu na yupo katika Ndoa changa yenye visa vingi. Ambavyo baadhi aliniweka wazi na vingine hakuniambia nilikuja kujua tu baada ya kufanya tafiti zangu.

Kuna siku tulipanga tuonane maeneo ya Mjini Kkoo, yeye alitokea kazini maana alikuwa anafanya katika moja ya hii mitandao ya Simu, basi bhana mida ya jioni tulivu nakumbuka ilikuwa Ijumaa tulikutana Kkoo katika petrol station iliyopo karibu na mtaa wa kongo.

Alinipick tukakubaliana pale sio sehem nzuri ya kuongea hivyo tuingie atleast City Mall. Nikashangaa tumefika Mnazi mmoja akatafuta parking akaipaki ile gari akashuka na mie nikashuka akaniambia "Tuchukue Bajaji or tutembee?" sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini ila nikamwambia tuchukue bajaji, nikasimamisha pale tukapanda na kusogea mpaka City Mall.

Kuingia mpaka ndani, kuna restaurant moja ipo floor ya 3 kwa wale wahindi tukakaa pale zikaanza story za hapa na pale.

Nilimuuliza swali dogo tu "Kwanini umeacha gari Mnazi mmoja wakati huku pia kuna parking"? alicheka tu hakunijibu kitu. Mie sikumuuliza tena tukawa tunaongea tu ishu zingine ghafla simu yake ikaita na muda huo tumeagiza Chakula tunasubiri.

Alisogea pembeni akaongea kama Dakika 2 na kurudi akiwa kabadirika sura kias. Nikamuuliza nini shida? Akaniambia amepigiwa simu ya dharula anahitajika kurudi ofisini haraka sana.

Mie sikuwa na usemi, akakusanya pochi yake, akatoweka pale.

Sasa mie nipo tu sielewi zikaja plate mbili za msosi, nikaomba moja ifungwe as take home package. Nyingine nikaipiga pale pale, nikalipa Bill kwa kadi ikawa inasumbua.
Sasa nikajaribu kuchek simu yangu nione kama meseji imerudi au vipi, kumbe simu nayo niliacha katika ile gari ya yule Manzi. (Kiswaswadu) sasa nipo na simu kubwa kumchek simu hapokei, napiga ya kwangu iliita mara moja ikawa haiiti tena.

Basi nikaclear kwa cash ile Bill, nikajipindua kutafuta Daladala Mnazi mmoja nirudi Tabata.

Siku ilipita bila kuwasiliana nae tena, kesho yake nikawa napiga simu yangu inaita tu haipokelewi. Ya yule Dada nayo inaita haipokelewi. Nikapata wasiwasi inakuaje hii?

Basi nikaendelea na shughuli zangu za kila siku.. Jioni ya siku ya 4 tangia tuachane nae kule town, akanitumia text (XXX We need to talk). Sikujibu text nilimpigia hakupokea akawa anasema tuchat yupo ktk kikao.

Mie akili ikanicheza huyu sio kawaida yake.. ikaja text ya kuomba appointment kinondoni maeneo ya Biafra, usiku saa 2. Nikamuuliza swali kuhusu simu yangu akasema ninayo ila imecrack kioo hivyo hawezi kupokea namba ambayo hajui nani anapiga asije nigombanisha au kuniharibia mambo yangu. Ila tuchat tu nisipige simu.

Basi sawa, kuna Mwanangu mmoja nilimpanga situation ilivyo, akaniambia hiyo haipo sawa kuna viashiria sio vya kawaida. (Jamaa anaamini sana ushirikina) akawa ananijaza huwenda huyo manzi ni Jini. Mie nikaona ananizingua tu tukaagana pale huyo nikadaka Daladala mpaka Kinondoni nikatafuta kona moja nikatulia. (Nilifika mapema zaidi mida ya saa 12).

Nikapiga ile simu ya yule Manzi hapokei. Ikaja text ambayo kwa ule mwandiko nikaona kabisa hii mbona sauti ya kiume kabisa. Maana alinicommand nisiwe kama mtoto mdogo ananiambia kitu sisikiii na mambo kama hayo. Mie nikamrudishia text kwamba yeye ndio mtoto kwanini hataki kupokea simu? Kuna nini kinaendelea? Hakunijibu mpaka saa 1 na nusu akaniambia umefika? Nikamjibu bado nakaribia after 20 minutes ntakuwa hapo.

Nia yangu nione tukio zima anakujaje? And this time sikutaka kabisa kuwa front front.

Baada ya dk kadhaa almost kama 10, niliona ile gari imesimama karibu na zile costa zinazopaki pale, wakashuka watu wawili mmoja alisimama upande ule mwingine akasogea upande wa pili.

Alafu ile gari ikapaki pembeni kidogo.

Akashuka yule Manzi akasimama mbele ya gari yake.

Mie muda huo nausoma tu mchezo. Safari hii ndio akanipigia simu nipo wapi ? Nikamuuliza text ya mwisho umeisoma kweli mbn unaniuliza swali hilo hilo na uligoma tuongee kwa simu? Akawa anababaika.

Nikamwambia nakaribia nisubiri.

Sasa kichwani nikapata ukakasi ni nini exactly kinaendelea pale, nilichofanya nilisogea upande wa pili nikawa nawatazama horizontally, nikazima simu.

Ilipita kama nusu saa hivi akashuka mtu mwingine wa tatu ambaye yeye alishukia upande wa Dereva (Ndie aliyekuwa anaendesha ile gari) nikaona wanajibishana pale wale wengine wakasogea wakaamua wapande kwenye gari waondoke.

Na mimi nikabadiri njia nikazunguka huko mbali nikaamsha.

Nafika home kuwasha simu, nakutana na Text kibao za upo wapi etc. Sikujibu.

Nikawa sina Amani ni nini kinaendelea ukizingatia hata Mzigo sijala.

Ile simu yangu walitafuta txt wakapata ya jamaa yangu mmoja wa kazini, wakaona huyu atawafaa kunikutanisha nao. Maana walimpigia kwa namba nyingine then wakamuomba awaelekeze napoishi ili wanione mimi ndugu yao sijui na vitu kama hivyo. Jamaa nae hakuwaza mara mbili akawaelekeza kweli.

Itaendelea..
 
😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Mambo ya Kutoka na mademu za watu kuna Muda unalqzimika kuishi kwa machale sana mithili ya Jambazi Godogodo
 
Ahahah umenikumbusha siku moja nafanya CAT venue ni NAH, paper limeenda la multiple choices na kufill blanks,nikawa nimemaliza. Pembeni yangu columns kama 4 alikuwa amekaa cheupe mmoja, ikawa ngumu kuomba namba.

Nikacheki sina extra sheet ya kuandka namba ila nina buku mfukon, nikatoa na kuandika namba na jumbe "nakupenda".

Nikakusanya paper navorud nikarudi na columns aliyokuwa amekaa, nikampa chap bila mwalimu kuona ,akabaki anashangaa na watu wa pembeni mie kibati.

Hakunicheki, ile buku hadi leo inaniuma hasa nikiwa nimefulia.
Kuja kufatilia ni manzi wa mwana mmoja mbavu afu Mimi siwezan nae nikaaga mashindano.
 
Pole kwa huo mtihani mkuu .... ni funzo kwako na kwetu pia
Ukiendeleza ni-tag .
 
Ahahah umenikumbusha siku moja nafanya CAT venue ni NAH, paper limeenda la multiple choices na kufill blanks,nikawa nimemaliza. Pembeni yangu columns kama 4 alikuwa amekaa cheupe mmoja, ikawa ngumu kuomba namba.

Nikacheki sina extra sheet ya kuandka namba ila nina buku mfukon, nikatoa na kuandika namba na jumbe "nakupenda".

Nikakusanya paper navorud nikarudi na columns aliyokuwa amekaa, nikampa chap bila mwalimu kuona ,akabaki anashangaa na watu wa pembeni mie kibati.

Hakunicheki, ile buku hadi leo inaniuma hasa nikiwa nimefulia.
Kuja kufatilia ni manzi wa mwana mmoja mbavu afu Mimi siwezan nae nikaaga mashindano.
Hahahaha... ungeweka shuka la Mmsai (10,000) uone kama hajakuchek
 
Back
Top Bottom