Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Part 2:
Nilikuwa Samaki Samaki pale Mlimani City.

Napiga maji, ghafla nikaona Chuma kikali sijapata kuona aisee ubaya alikuwa na Boyfriend/Mume wake.

Basi nikamlia timing wakati wa kwenda Washroom nimfate huko huko (Mazingira ya pale kwa upande wa Washroom kuna Distance kubwa).

Basi kweli bhana Manzi akajipindua kuelekea Washroom na mimi nikaunga Tela, tulivyokunja kona tu ya kuingia corridor la choooni nikamshtua, akasimama nikamwomba namba akasema yeye ameisahau kama vipi nimpe yangu, basi akanipa simu yake nimuandikie Namba yangu..

Kumbe nyuma Bwana ake anakuja na yeye tyr kashanipa simu yake ndio niandike namba nashangaa Manzi kageuka chap kakimbilia choo cha wanawake. Mie nikawa nimesimama tu sielewi nini kinaendelea ila kwa kuwa nimesoma CUBA sikugeuka ila nikapiga jicho kwenye kioo (Reflection) nikaona mjuba anakuja ila bahati nzuri na yeye alikuwa anatembea huku anachat so hakuona tukio la mbele.

Sasa simu ninayo ya yule Manzi namrudishiaje??.. 🤣

Na jamaa kumbe alikuja kumsubir kule kule kwenye Corridor la Washroom ili arudi naye.

Mie nikajipindua Choo cha kiume kama Kawaida nikazuga zuga pale, Dem akatoka akanipa ishara ya nitulie huko huko.

Basi jamaa akarudi naye Mpaka walipokuwa wamekaa. Mie nikatoka baadae kurudi ktk meza yangu, nikamuita mhudumu mmoja hivi (Best yangu) nikamwambia nenda pale idondoshe hii simu miguuni (Mapajani) kwa yule Dada pale then uje kuna Zawadi yako hapa..

Mhudumu hakusita, alifanya hivyo na yule Dada aliiokota simu yake then.. tukaendelea kuwasiliana pale pale...

Huyu aliniletea shida sana.. mpaka nikawa naishi kama Mwizi.
🤣🤣🤣We lazima ni Mngoni,yaani ukarudisha simu?angekuwa mangi hapo angejiondokea fresh na simu yake na demu angeshindwa kusema 🤣🤣
 
Part 2:
Nilikuwa Samaki Samaki pale Mlimani City.

Napiga maji, ghafla nikaona Chuma kikali sijapata kuona aisee ubaya alikuwa na Boyfriend/Mume wake.

Basi nikamlia timing wakati wa kwenda Washroom nimfate huko huko (Mazingira ya pale kwa upande wa Washroom kuna Distance kubwa).

Basi kweli bhana Manzi akajipindua kuelekea Washroom na mimi nikaunga Tela, tulivyokunja kona tu ya kuingia corridor la choooni nikamshtua, akasimama nikamwomba namba akasema yeye ameisahau kama vipi nimpe yangu, basi akanipa simu yake nimuandikie Namba yangu..

Kumbe nyuma Bwana ake anakuja na yeye tyr kashanipa simu yake ndio niandike namba nashangaa Manzi kageuka chap kakimbilia choo cha wanawake. Mie nikawa nimesimama tu sielewi nini kinaendelea ila kwa kuwa nimesoma CUBA sikugeuka ila nikapiga jicho kwenye kioo (Reflection) nikaona mjuba anakuja ila bahati nzuri na yeye alikuwa anatembea huku anachat so hakuona tukio la mbele.

Sasa simu ninayo ya yule Manzi namrudishiaje??.. [emoji1787]

Na jamaa kumbe alikuja kumsubir kule kule kwenye Corridor la Washroom ili arudi naye.

Mie nikajipindua Choo cha kiume kama Kawaida nikazuga zuga pale, Dem akatoka akanipa ishara ya nitulie huko huko.

Basi jamaa akarudi naye Mpaka walipokuwa wamekaa. Mie nikatoka baadae kurudi ktk meza yangu, nikamuita mhudumu mmoja hivi (Best yangu) nikamwambia nenda pale idondoshe hii simu miguuni (Mapajani) kwa yule Dada pale then uje kuna Zawadi yako hapa..

Mhudumu hakusita, alifanya hivyo na yule Dada aliiokota simu yake then.. tukaendelea kuwasiliana pale pale...

Huyu aliniletea shida sana.. mpaka nikawa naishi kama Mwizi.
dahh.. wazee wa Cuba hatari sana
 
Mimi ni mvivu sana wa kupambania namba achilia mbali kutongoza.

Naweza kuchukua namba na nisimtafute. Saivi huwa naachaga tu wala sileti mazoea ya kijinga kwenye daladala au popote tu. Tule story kila mtu apite hivi.
Yeah mie mwenyew kuna muda nakuwa hivyo, but kuna aina ya Wanawake kumuacha apite hivi hivi roho inauma sana...
 
Kweli kabisa nyama hazifanani. Huwezi kufananisha Nyama ya mbogo na mbuzi, kitimoto na swala, bata na njiwa haiwezeka ni kila nyama ina ladha yake tofauti labda zinafanan a jina TU.
Pia naongezea nyama inaweza kuwa ya Mbuzi ila upikaji ukawa tofauti..

Kuna ROAST
Kuna MCHEMSHO
Kuna KUKAANGA
Kuna KUCHOMA
Kuna FOIL
Kuna MAKANGE
Hizi zote zina UTAMU wake spesheli..
 
Umefeli sana yaani!....ningekuwa Mimi ningeondoka huku ananiona,,,🤣🤣
🤣🤣 ila kuna vitu vya Kuiba sio SIMU.. ningejishushia heshima sana alafu pale kuna CCTV alafu kuna Wahudumu wananijua...
 
Hiyo ya ten,nlikua kwny daladala dom hiyo,natoka town naenda mipango sa kuna mzee mmoja wa kitanga(mzee kijana) tukakaa sit moja ,tukajikuta tunatia story pale ,akanilipia nauli ,anavoshuka(alishuka kabla yng)kaniachia cha ten,nkapokea eeh kuna kijana alinkodolea macho cjui wivu,kuiangalia pesa ina namba zake , ,kwel wanaume mna buni mbwinu ..[emoji16]mzee kijana anapenda dogodogo [emoji16]
 
Part 2:
Nilikuwa Samaki Samaki pale Mlimani City.

Napiga maji, ghafla nikaona Chuma kikali sijapata kuona aisee ubaya alikuwa na Boyfriend/Mume wake.

Basi nikamlia timing wakati wa kwenda Washroom nimfate huko huko (Mazingira ya pale kwa upande wa Washroom kuna Distance kubwa).

Basi kweli bhana Manzi akajipindua kuelekea Washroom na mimi nikaunga Tela, tulivyokunja kona tu ya kuingia corridor la choooni nikamshtua, akasimama nikamwomba namba akasema yeye ameisahau kama vipi nimpe yangu, basi akanipa simu yake nimuandikie Namba yangu..

Kumbe nyuma Bwana ake anakuja na yeye tyr kashanipa simu yake ndio niandike namba nashangaa Manzi kageuka chap kakimbilia choo cha wanawake. Mie nikawa nimesimama tu sielewi nini kinaendelea ila kwa kuwa nimesoma CUBA sikugeuka ila nikapiga jicho kwenye kioo (Reflection) nikaona mjuba anakuja ila bahati nzuri na yeye alikuwa anatembea huku anachat so hakuona tukio la mbele.

Sasa simu ninayo ya yule Manzi namrudishiaje??.. [emoji1787]

Na jamaa kumbe alikuja kumsubir kule kule kwenye Corridor la Washroom ili arudi naye.

Mie nikajipindua Choo cha kiume kama Kawaida nikazuga zuga pale, Dem akatoka akanipa ishara ya nitulie huko huko.

Basi jamaa akarudi naye Mpaka walipokuwa wamekaa. Mie nikatoka baadae kurudi ktk meza yangu, nikamuita mhudumu mmoja hivi (Best yangu) nikamwambia nenda pale idondoshe hii simu miguuni (Mapajani) kwa yule Dada pale then uje kuna Zawadi yako hapa..

Mhudumu hakusita, alifanya hivyo na yule Dada aliiokota simu yake then.. tukaendelea kuwasiliana pale pale...

Huyu aliniletea shida sana.. mpaka nikawa naishi kama Mwizi.
"Huyu aliniletea shida sana.. mpaka nikawa naishi kama Mwizi"

Nimependa kila mwisho wa story unafanya conclusion mwenywe
 
Hiyo ya ten,nlikua kwny daladala dom hiyo,natoka town naenda mipango sa kuna mzee mmoja wa kitanga(mzee kijana) tukakaa sit moja ,tukajikuta tunatia story pale ,akanilipia nauli ,anavoshuka(alishuka kabla yng)kaniachia cha ten,nkapokea eeh kuna kijana alinkodolea macho cjui wivu,kuiangalia pesa ina namba zake , ,kwel wanaume mna buni mbwinu ..[emoji16]mzee kijana anapenda dogodogo [emoji16]
Hahah ulimtafuta?
 
Wazee wa kupambania Kombe..
Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI?

Umafia:

Part 1>
Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia nje bado vituo viwili nishuke.

Kuchek katika wallet business card binafsi zimeisha zimebaki za Ofisini (Michoresho) nikaona hii hapana kuitoa.

Nikajipapasa huku na kule bahati nzuri nilibahatisha kipande cha TICKET ya Bus la mkoani, na katika ile ticket kuna namba yangu ya SIMU, sikujiuliza mara mbili wakati nashuka nikamshtua yule mrembo kwa kumgusa begani then ile ticket nikaipitisha kwa chini kama vile alikuwa kaiangusha then nikamkazia machoni huku nikimuonyesha ishara ya NIPIGIE. Mie nikashuka zangu huyo Home nikatulia.

Zikapita kama siku 5 kimya, nikaona hapa Mkeka umechanika.. siku ya 6 jioni nipo viti virefu nashangaa namba ngeni kupokea ni yule Manzi.. akajitambulisha pale.. then the rest is history..😋

Kuna wengine wanatumia mpaka Hela kuandika namba (Karatasi hakuna).. mtu anachukua noti ya elf 10 anachora namba yake anamkabidhi mrembo..
Tunaotumia Utamaduni ( Ndumba ) kufanikiwa kuwapata na Kuwabandua hawa Viumbe Watamu tunachangia wapi?
 
Back
Top Bottom