Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Nikudondosha simu chini ya kiti na kujifanya unaitafuta unaomba Mlengwa simu yake mara Moja uibip kama umeibiwa,baada ya sekunde mbili unajisikia chini ya kiti wote Kwa pamoja wanaitikia haaaa kumbe uliangusha....Imeisha hiyo
[emoji23]aisee watu mna mahesabu ya mbali sana... Ko wewe ndio ulijifanya kudondosha simu au ni uncle ndio alicheza huo mchezo[emoji23]
 
Pole, endelea.
 
Sema inakuuma tu hajakuchek,jamaa kuwa mbovu ndiyo kampenda hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23]aisee watu mna mahesabu ya mbali sana... Ko wewe ndio ulijifanya kudondosha simu au ni uncle ndio alicheza huo mchezo[emoji23]
Auncle wako,nashangaa baadae halooo mi ndioo yuleee nilipoteza simu😁😁😁
 
Kwahiyo wewe jamaa kazi yako nikutongoza wanawake tu hadi wake za watu, angalia sana utaumia,
Tatizo wake za watu hawavai hata Pete.. na ukiuliza kama Ameolewa anakataa katakata..
 
Kaandike kitabu tuite tuje tufanye uzinduzi
 
Tatizo wake za watu hawavai hata Pete.. na ukiuliza kama Ameolewa anakataa katakata..
wanadai watapitwa na fashion mpya za skin jeans na short clothes... Haya hilo tukawakubalia wavae... Sasa hapo kwenye "hapana kaka angu sijaolewa nipo single lakin sihitaji kuwa kwenye mahusiano" kidume nae akiskia neno single anapagawa na kurejea home kujisomea zile notes muhimu...
 
Wenyewe wanaita JIMBO lipo WAZI..
 
Wenyewe wanaita JIMBO lipo WAZI..
[emoji23] kumbe wakat huo mume wake kasema tu "samahan mke wangu hapa nina mawazo sina hela ya kukupa uende saluni ukaset nywele zako sijafanikiwa kupata nilipokuwa nategemea" hapo hapo akiulizwa na kijana mwenye kiduku anasema "JIMBO LIKO WAZI" Kumbe kisa mme hajampa ya saloon
 
Daah nilimpenda demu akiwa na masela kama wa4 hivi ni don anapesa na sikujua confidence yangu ndio silaha yangu ndio inayonipa raha na connection za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…