wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Msaidie kijana ajue anaishije huko na harakati za hapa na pale huko.Tukomae tu... Jamaa asiogope ajitoe tu ata me nikuaga nawaza naendaje ishi nchi ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaidie kijana ajue anaishije huko na harakati za hapa na pale huko.Tukomae tu... Jamaa asiogope ajitoe tu ata me nikuaga nawaza naendaje ishi nchi ya watu
Maisha ni kawaida ila anavoenda asisahau kajiko ka gesi kadebe ka mchele kadebe ka harage kama unatumia ataakuja anishukuru maana kule mamantilie kupika ni chenga harafu mazingira ya migahawa kwa Mimi huwa yananishinda sijui wengine pia kwa mtafutaji kujipikia geto Inaharakisha saana malengo YakoMsaidie kijana ajue anaishije huko na harakati za hapa na pale huko.
Huyo bila shaka ni bachela mjuze akija wapi atumie nguvu zake kupata mkate wa kila siku ?Maisha ni kawaida ila anavoenda asisahau kajiko ka gesi kadebe ka mchele kadebe ka harage kama unatumia ataakuja anishukuru maana kule mamantilie kupika ni chenga harafu mazingira ya migahawa kwa Mimi huwa yananishinda sijui wengine pia kwa mtafutaji kujipikia geto Inaharakisha saana malengo Yako
Ehhh Zambia msosi sehemu nyingi ni changamoto sana atakomaa tuMaisha ni kawaida ila anavoenda asisahau kajiko ka gesi kadebe ka mchele kadebe ka harage kama unatumia ataakuja anishukuru maana kule mamantilie kupika ni chenga harafu mazingira ya migahawa kwa Mimi huwa yananishinda sijui wengine pia kwa mtafutaji kujipikia geto Inaharakisha saana malengo Yako
Zipo nyingi saana mzeh kama gelej kule mtu wa geleji anamiliki prado range Nk na nirahsi kwasababu Hawa jamaa Hawataki shida ya kudeal na magari mabovu hivyo sio shida wao kutelekeza gari gerej pia ufundi chelehani pia ni mzuri kule anaeza tafuta sehem akajieka tuu pia uvuvi ni shughuli ya mikono mfano kwa maeneo kama misisi kwa Lusaka kwa ndola ni kunakazi za viwandani maana ndio mji wa viwanda na migodi pia kilimo Cha bustan inabidi kabla hajalima atafute uhakika wa masoko ambayo ni supermarket maana watu wale vitu vingi Wana fata supermarket pia digital marketing pia Ina kuja vizuri pale mjini nakaz zngne nyingi za mikono kama lumberling kupanga mbao kwenye Magali kunyoa saloon mgaawani nk sehem za backup ni nyingi saanaHuyo bila shaka ni bachela mjuze akija wapi atumie nguvu zake kupata mkate wa kila siku ?
Yeye anasema biashara ila mjuze ikiwa biashara ikamkataa ni wapi akapate kibarua hata cha hali ya kawaida kikubwa aweze kuishi kwenye nchi ya watu bila kuathirika .
Chamsingi ni kupika geto tuuEhhh Zambia msosi sehemu nyingi ni changamoto sana atakomaa tu
Bila shaka anekusoma na pia basi Zambia kwa sasa ni kuzuri kuliko South ambako kutwa wanalia yaliyowakuta huku kwenye kipindi cha kutoka Ughaibuni.Zipo nyingi saana mzeh kama gelej kule mtu wa geleji anamiliki prado range Nk na nirahsi kwasababu Hawa jamaa Hawataki shida ya kudeal na magari mabovu hivyo sio shida wao kutelekeza gari gerej pia ufundi chelehani pia ni mzuri kule anaeza tafuta sehem akajieka tuu pia uvuvi ni shughuli ya mikono mfano kwa maeneo kama misisi kwa Lusaka kwa ndola ni kunakazi za viwandani maana ndio mji wa viwanda na migodi pia kilimo Cha bustan inabidi kabla hajalima atafute uhakika wa masoko ambayo ni supermarket maana watu wale vitu vingi Wana fata supermarket pia digital marketing pia Ina kuja vizuri pale mjini nakaz zngne nyingi za mikono kama lumberling kupanga mbao kwenye Magali kunyoa saloon mgaawani nk sehem za backup ni nyingi saana
Umeshajua kuongea kibemba au lugha yao nyingine?Yani kwelii kabisa Me Niko ivizia reg yani saivi niishi Kwa uhuru mambo ya passport siyataki
Wale watu hawajui kupika.Ehhh Zambia msosi sehemu nyingi ni changamoto sana atakomaa tu
Kwa south mzeh tatzo watu wanajazana kwa Zulu johbeg Capetown imeisha iyo huko usalama ni F vyumba na msosi ni ghali na kulupushani za Magali meupe ni mara kwa mara lakini yapo maeneo yenye pesa lakini ni maisha kawaida kama Kimberly diamond holes, olenje, brownmouthfontier kwenye mashamba ya maepo na mazabibu nk maisha ya kawaida na hakuna kulupushani saaanaBila shaka anekusoma na pia basi Zambia kwa sasa ni kuzuri kuliko South ambako kutwa wanalia yaliyowakuta huku kwenye kipindi cha kutoka Ughaibuni.
Kazi kwenu vijana Zambia kuchele
Shida nahisi wengi wanafuata currency kubwa ili hata akijimake basi apate cha kurudi nacho nyumbani .Kwa south mzeh tatzo watu wanajazana kwa Zulu johbeg Capetown imeisha iyo huko usalama ni F vyumba na msosi ni ghali na kulupushani za Magali meupe ni mara kwa mara lakini yapo maeneo yenye pesa lakini ni maisha kawaida kama Kimberly diamond holes, olenje, brownmouthfontier kwenye mashamba ya maepo na mazabibu nk maisha ya kawaida na hakuna kulupushani saaana
Huwa najiuliza ukiwa na passport yao haitasumbua kuitumia kwenye baadhi ya Airports ulizowahi kupita na passport ya Tanzania? Mimi kuna kipindi ilikuwa nipate hiyo reg ila nikaogopa kwasababu sijui lugha yoyote ya asili. Najua bemba kwa mbali kile cha kuombea maji.Harafu kupata reg. (yaan NIDA yao) nikitu simpo saana na ukishapata Ile reg unaeza kumiliki ardhi kupewa passport kupata lesen ya udereva nakuishi kama mzambia yaaan mfano kipindi Cha uchaguzi reg huwa zinapatikana Bure kabisa yaan pia ukiwa na reg. serikali Yao huwa inatoa misaada kwawatu kutokana na wanachofanya mfano mkulima atapewa mbolea mafundi wanapewa vitendeakazi nk hivyo kuipata iyo reg maisha Yako unaish Zambia na Tanzania kwamaamuzi Yako tuu
Ni maneno matatu tuu yakushika 1 ulishaniUmeshajua kuongea kibemba au lugha yao nyingine?
Natotela sana mukwai.... chawama. 😄🙌Ni maneno matatu tuu yakushika 1 ulishani
2 nakutemwa
3 ulifwibwino wakamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Vingine ili ujue unachofanya ni kujua rate ya kwacha baaas
Uko kote ni south kakamkuuShida nahisi wengi wanafuata currency kubwa ili hata akijimake basi apate cha kurudi nacho nyumbani .
[emoji23]Natotela sana mukwai.... chawama. [emoji1][emoji119]
Ukiwa na viela hakuna Cha kuulizana wanapika data tuu bas na ukitaka reg nenda vijijini mnunulie pombe chief mwanakaya halafu eleza shida zako utapewa jina utapewa baba utapewa mama then unarud mpya[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa najiuliza ukiwa na passport yao haitasumbua kuitumia kwenye baadhi ya Airports ulizowahi kupita na passport ya Tanzania? Mimi kuna kipindi ilikuwa nipate hiyo reg ila nikaogopa kwasababu sijui lugha yoyote ya asili. Najua bemba kwa mbali kile cha kuombea maji.
😄😄 hilo la machifu nalijua. Lakini je, nikiwa na passport yao kusafiri itakuwaje? Maana mimi nilibahatika kusafiri nchi kadhaa kwa passport ya TZ sasa nikiwa na yao si itashtukiwa?Ukiwa na viela hakuna Cha kuulizana wanapika data tuu bas na ukitaka reg nenda vijijini mnunulie pombe chief mwanakaya halafu eleza shida zako utapewa jina utapewa baba utapewa mama then unarud mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
Si wanakubadili jina mzeh[emoji1][emoji1] hilo la machifu nalijua. Lakini je, nikiwa na passport yao kusafiri itakuwaje? Maana mimi nilibahatika kusafiri nchi kadhaa kwa passport ya TZ sasa nikiwa na yao si itashtukiwa?
Finger prints?Si wanakubadili jina mzeh