Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Msaidie kijana ajue anaishije huko na harakati za hapa na pale huko.
Maisha ni kawaida ila anavoenda asisahau kajiko ka gesi kadebe ka mchele kadebe ka harage kama unatumia ataakuja anishukuru maana kule mamantilie kupika ni chenga harafu mazingira ya migahawa kwa Mimi huwa yananishinda sijui wengine pia kwa mtafutaji kujipikia geto Inaharakisha saana malengo Yako
 
Huyo bila shaka ni bachela mjuze akija wapi atumie nguvu zake kupata mkate wa kila siku ?

Yeye anasema biashara ila mjuze ikiwa biashara ikamkataa ni wapi akapate kibarua hata cha hali ya kawaida kikubwa aweze kuishi kwenye nchi ya watu bila kuathirika .
 
Ehhh Zambia msosi sehemu nyingi ni changamoto sana atakomaa tu
 
Huyo bila shaka ni bachela mjuze akija wapi atumie nguvu zake kupata mkate wa kila siku ?

Yeye anasema biashara ila mjuze ikiwa biashara ikamkataa ni wapi akapate kibarua hata cha hali ya kawaida kikubwa aweze kuishi kwenye nchi ya watu bila kuathirika .
Zipo nyingi saana mzeh kama gelej kule mtu wa geleji anamiliki prado range Nk na nirahsi kwasababu Hawa jamaa Hawataki shida ya kudeal na magari mabovu hivyo sio shida wao kutelekeza gari gerej pia ufundi chelehani pia ni mzuri kule anaeza tafuta sehem akajieka tuu pia uvuvi ni shughuli ya mikono mfano kwa maeneo kama misisi kwa Lusaka kwa ndola ni kunakazi za viwandani maana ndio mji wa viwanda na migodi pia kilimo Cha bustan inabidi kabla hajalima atafute uhakika wa masoko ambayo ni supermarket maana watu wale vitu vingi Wana fata supermarket pia digital marketing pia Ina kuja vizuri pale mjini nakaz zngne nyingi za mikono kama lumberling kupanga mbao kwenye Magali kunyoa saloon mgaawani nk sehem za backup ni nyingi saana
 
Bila shaka anekusoma na pia basi Zambia kwa sasa ni kuzuri kuliko South ambako kutwa wanalia yaliyowakuta huku kwenye kipindi cha kutoka Ughaibuni.

Kazi kwenu vijana Zambia kuchele
 
Kwa south mzeh tatzo watu wanajazana kwa Zulu johbeg Capetown imeisha iyo huko usalama ni F vyumba na msosi ni ghali na kulupushani za Magali meupe ni mara kwa mara lakini yapo maeneo yenye pesa lakini ni maisha kawaida kama Kimberly diamond holes, olenje, brownmouthfontier kwenye mashamba ya maepo na mazabibu nk maisha ya kawaida na hakuna kulupushani saaana
 
Shida nahisi wengi wanafuata currency kubwa ili hata akijimake basi apate cha kurudi nacho nyumbani .
 
Harafu kupata reg. (yaan NIDA yao) nikitu simpo saana na ukishapata Ile reg unaeza kumiliki ardhi kupewa passport kupata lesen ya udereva nakuishi kama mzambia yaaan mfano kipindi Cha uchaguzi reg huwa zinapatikana Bure kabisa yaan pia ukiwa na reg. serikali Yao huwa inatoa misaada kwawatu kutokana na wanachofanya mfano mkulima atapewa mbolea mafundi wanapewa vitendeakazi nk hivyo kuipata iyo reg maisha Yako unaish Zambia na Tanzania kwamaamuzi Yako tuu
Huwa najiuliza ukiwa na passport yao haitasumbua kuitumia kwenye baadhi ya Airports ulizowahi kupita na passport ya Tanzania? Mimi kuna kipindi ilikuwa nipate hiyo reg ila nikaogopa kwasababu sijui lugha yoyote ya asili. Najua bemba kwa mbali kile cha kuombea maji.
 
Ni maneno matatu tuu yakushika 1 ulishani
2 nakutemwa
3 ulifwibwino wakamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Vingine ili ujue unachofanya ni kujua rate ya kwacha baaas
Natotela sana mukwai.... chawama. 😄🙌
 
Huwa najiuliza ukiwa na passport yao haitasumbua kuitumia kwenye baadhi ya Airports ulizowahi kupita na passport ya Tanzania? Mimi kuna kipindi ilikuwa nipate hiyo reg ila nikaogopa kwasababu sijui lugha yoyote ya asili. Najua bemba kwa mbali kile cha kuombea maji.
Ukiwa na viela hakuna Cha kuulizana wanapika data tuu bas na ukitaka reg nenda vijijini mnunulie pombe chief mwanakaya halafu eleza shida zako utapewa jina utapewa baba utapewa mama then unarud mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😄😄 hilo la machifu nalijua. Lakini je, nikiwa na passport yao kusafiri itakuwaje? Maana mimi nilibahatika kusafiri nchi kadhaa kwa passport ya TZ sasa nikiwa na yao si itashtukiwa?
 
Back
Top Bottom