Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Humu kuna ma great thinkers wa kila namna mkuu , hata wa kulila tunda kimasihara pia wapo , punguza pressure bwashee.
 
Bongo kuna wahuni ama kuna watu waliopigwa na maisha!.
muhuni unatakiwa uwe na pesa, sasa muhuni unagongea fegi mara jero mixer kukaba watu wasio na pesa! muhuni hata pisto huna!.
muhuni unakunywa ma taputapu!
Wahuni tanzania wapo CCM kina Abdul ...Rostam azizi...Samia bushiri...mzee kikwete ...kina mafwele nk
 
Humu kuna ma great thinkers wa kila namna mkuu , hata wa kulila tunda kimasihara pia wapo , punguza pressure bwashee.
Sawa. Ngoja niwe mpole
Ukweli sikuzote hua haupendwi ila mngejua watu wa North korea ama Afghanistan wanavyotaman platforms kama hii.. mngekua mnakemea wajinga wachache wanaoharibu atmosphere ya humu
 
Sawa. Ngoja niwe mpole
Ukweli sikuzote hua haupendwi ila mngejua watu wa North korea ama Afghanistan wanavyotaman platforms kama hii.. mngekua mnakemea wajinga wachache wanaoharibu atmosphere ya humu
Mkuu tatzo la sisi watu weusi ni malezi wala sio mada kama hizi,nipo platform nyingi tu za kimataifa , kuna wakati wa mada za ovyo na mada za kuwa seriously.
 
Tanzania hamna wahuni - Ila kuna watu ambao hawana Afya nzuri ya akili .

Bimafsi nimekaa uswahili miaka 4 nilikuwa siwapi hela Ila nilikuwa najaribu kuwajenga kiakili .

Na wachache walionisikiliza waliacha sigara , bangi na pombe na baadhi yao wapo jeshini , wengine wanaemdesha daladala na mmoja anacheza Azam.

Niliwaambia Energy au nguvu haitokani na kuvuta bangi, kunywa pombe wala sigara .

Hizo jero jero sikuwahi kuwapa Ila kuwanunulia chakula , kuwapa Unga ,magodoro ya kulalia .

Ukiishi Thug life -unakuwa mbele ya muda Active smart na hustler na sio Kama hawa ndugu zetu wa uswahilini ambao wapo Addicted with alcohol, Weed and cigarettes.

But a lot of mother F they entertain this shit Kwa kuwapa hela ya kunywa pombe ,sigara na madawa na kuhusahu kuwa wanaongeza chumvi ktk kidonda
 
Mkuu upo smart sana, najivunia nchi yangu kuwa na watu kama wewe .
 
Sawa. Ngoja niwe mpole
Ukweli sikuzote hua haupendwi ila mngejua watu wa North korea ama Afghanistan wanavyotaman platforms kama hii.. mngekua mnakemea wajinga wachache wanaoharibu atmosphere ya humu
Usiwe serious sana mkuu
Hawa wahuni wapo mtaani wanasumbua watu
Mara kadhaa panya road wamekuwa agenda hadi wameongelewa bungeni.
We hutaki watu wajadili mambo yaliyo kwenye jamii Yao,
 
Bado tunaendelea kusema wenye Akili ni wawili tu kule

Akili za mwanautopolo hizi jameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…