Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Huku sasa ndio kunaitwa kujipendekeza.

Wahuni wanatakiwa wakujue tu ya kuwa wewe ni adui yao na upo kinyume nao basi.

Mimi nimeishi na nimekulia mitaa ya wahuni hawana wanalojia kwangu zaidi yule bro ni USTADH tu, nimemaliza na wananiheshimu balaa, mpaka nasikia habari kwao kwamba wanasema "Yule bro Hana shida na mtu kabisa.".

Tuna mambo mengi ya kufanya.
 
Hawa unawajua
1)Mzee kikwete unamjua je..
2) January makamba ..
3).samia bushiri☠☠☠☠
4)mafwele☠☠☠☠
5)kinana
6)nape
7)tulia
8)rostam aziziβ˜ β˜ β˜ β˜ πŸ’€πŸ’€
9)gsm
10)riziwan 🚬
11)ABDULβ˜ β˜ β˜ β˜ πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸβ˜ 
Nk
Ni wahuni hata kuwakuta jela ni ngumu...wapo juu ya haki yote na sheria yote ....kwao UZALENDO NI MAVII NA MZALENDO NI ADUI
 
Bongo kuna wahuni ama kuna watu waliopigwa na maisha!.
muhuni unatakiwa uwe na pesa, sasa muhuni unagongea fegi mara jero mixer kukaba watu wasio na pesa! muhuni hata pisto huna!.
muhuni unakunywa ma taputapu!
Kwani definition ya uhuni nini tuanzie hapo
 
Andika wosia
 
Sasa hizo mbinu ulizoorodhesha zote ni km unajipendekeza kwao?? 😹

Wewe ishi maisha yako hakikisha hukosi bisibisi na utafute pumzi ili wakikuotea umkande mmoja ili awape taarifa wenzake.!!
 
Mkuu umesema ulanzi nimepata arosto ,huku mvua kubwa inabonda Sana nampigia Bibi muuza ,anasema tusubiri mvua iishe tukutane kwake .

Hana baya huyo jamaa
Mkuu ulanzi hiyo pombe ni majuzi tu uliniambia kuwa inalegeza magoti , bora utemane nayo unywe pombe ya watu wenye akili kama wewe😁
 
Unarudi home saa 8 usiku na mbavu zako za mbuzi unamtisha panya road aliyejikataa na wako 40 are you serious. Watakugawana nyama hata mfupa hautaonekana.
 
Sasa hizo mbinu ulizoorodhesha zote ni km unajipendekeza kwao?? 😹

Wewe ishi maisha yako hakikisha hukosi bisibisi na utafute pumzi ili wakikuotea umkande mmoja ili awape taarifa wenzake.!!
Wewe igiza maisha upige bisibisi kama unakoroga sotojo la biryani 😁😁.. Ila jua tu muhuni ukishamrushia silaha na ikamkosa kinachofuata atakupiga kwa hasira na kujihami. Najua wajua kifuatacho ITV. . Tunakuimbia pambio saint peters 😁😁
 
Sasa hizo mbinu ulizoorodhesha zote ni km unajipendekeza kwao?? 😹

Wewe ishi maisha yako hakikisha hukosi bisibisi na utafute pumzi ili wakikuotea umkande mmoja ili awape taarifa wenzake.!!
Mkuu niliona reply humu watu wanadai wewe ndio labella the mafia huko x πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
me kuna kipindi nililazimika kukaa keko miaka fulani hivi
nilikiwa natumia mbinu moja matata sana
nilikuwa nanunua bangi kwao
so nikawa najuana na PUSHA MKUU mwenyewe
Kiuharisia BANGI sivuti niliachana nayo MIAKA MINGI sana ila nilikuwa natengeneza SAFE DEFFENCE
Mbinu nyingine ndio hiyo nilikiwa napiga DOJO nao so nikawa safe kipindi chote cha kuishi KEKO hakuna sehemu watu wamepinda kama keko
halafu kulikuwa na STAREHE sana miaka hiyo tofauti na ss hivi kunepoa sana
 
Hao ni vibaka na sio wahuni
 
Kuna mitaa niliwahi kuishi aisee wale vibaka wakikukaba km huna pesa adhabu inaongezeka.. wanakupeleka kwenye mto wanakwambia oga na maji yalivyo y’a baridi sasa usiku weeh.!! 😹😹😹

Ikiwa km unadhurula usiku uwabebee wazee wa kazi hata buku kumi, lasivyo kuoga kunakuhusu.!! 🀣🀣🀣
 
Sasa hizo mbinu ulizoorodhesha zote ni km unajipendekeza kwao?? 😹

Wewe ishi maisha yako hakikisha hukosi bisibisi na utafute pumzi ili wakikuotea umkande mmoja ili awape taarifa wenzake.!!
Na hiyo ni Moja ya mbinu, lakini siyo mbinu pekee ya kutamba Kwa wahuni
 
Mkuu niliona reply humu watu wanadai wewe ndio labella the mafia huko x πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
X ndio wapi? 😜

JF bado hujawazoea? Wewe wape picha story watajazia wenyewe.!! Huko X sina account kwanza.. 🀣🀣🀣
 
Hamna haja ya kutumia nguvu hizo
Ukitumia nguvu watakuzulu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…