Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Mtumbike hio ni noma😁 mikono mfululu
 
Hio ndio definition ya muhuni smart by humphrey polepole.

Kuna uhuni wa aina mbili, uhuni smart halafu kuna uhuni wa kisela mavi. Mtoa mada amemaanisha jinsi ya kuishi na wahuni wasela mavi.
 
mtu bee univue kiatu? sio kinyonge labda ukutane na offsa la kuvimba ( mkate)... Unachoreshwa tu hata mida mida tutaishi mwanangu 👊👊 lazima ulegeze nafsi kunjani
Nimecheka mno
 
Mkuu Kenzy unajikuta Mnyamweeeezii hizo lifestyle Ni kama wale vijana wa Newjersely Driver😀
 
Mkuu Kenzy unajikuta Mnyamweeeezii hizo lifestyle Ni kama wale vijana wa Newjersely Driver😀
mi mnyamwezi ati... mambo gani ya kujiita muhuni halafu unakaba masikini..? ndio maana watu wanachoma moto!..
uhuni unatakiwa uwe na faida tena muhumu akistaafu uhuni unaacha legacy mtu anaacha mtaani kwake hata kajenga kiwanja cha basketball hapo baade vipaji vitachipuka tu! na watu watakukumbuka!
 
Aaah wapi mimi ni mwendo wa kuwatia ngwala tu!
 
Ha
Hakika mkuu
 
Dawa ni chuma tu unatembea nacho wanakiona. Ndo yalikuwa maisha yetu Keko Magurumbasi enzi za mwishoni mwa 1999. Kila ukipita shikamooo nyingi. Sahizi tunazeeka na utemi wetu
Halafu wababe wa miaka ile ndio walikuwa wababe kweli, jambazi ni jambazi kweli....jitu la Miraba minne

Sasahv Panya road ni vitoto vya Form IV ya miaka hii hata 25 hawana
 
hao ni watemi..

Nakumbuka Kama miaka Minne nyuma kuna mwanadada nilienda kumtembelea mitaa ya external kwa upande wa chini..
Sasa pale kuna mto, Ila kabla ya kuvuka kuna wahuni wametandaza kigunia

Kwa hiyo kila anaepita 200 per day na mwenyeji wangu alikuwa analipa maana hata night kali.. Huwa anavuka fresh na wanamsindikiza hadi kwake. Ila wanaogoma, kuibiwa na kupigwa ngeta ni kugusa 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…