Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Mzazi mpumbavu ndo anaweza kuchukua huu ushauri. Kumfukuza mwanao kwako kwa hii dunia ilivyo ni kama kumweka kwenye msitu wenye wakali ukitegemea awe salama.
 
Malezi ya mtoto wako yatampa shauku ya kuanza maisha yake pindi akimaliza masomo , mwingine ataomba mtaji ili aanze mapambano ambayo ulimuanzishia ili approve kwamba wewe ni superhero wake na ajivunie kuona namna anavyofanikiwa ukiwa unamuona. Kumfukuza mtoto ni umasikini wa kiakili na kushidwa kumuandaa mtoto
 
Acha kuzaa kama panya fala wewe , kama huna uwezo wa kuandaa misingi ya kiuchumi kwa kizazi chako ,funga zipi hiyo zezeta wewe.
Masikini Mna zaa watoto mnakuja kuwatesa tu na kuongeza idadi ya ombaomba na vijakazi wa kutumika kufaidisha mabwenyenye na kuendeleza circle ya unyonyaji na utumwa kwenye dunia hii .
Dogo me ni tajiri wala sio masikini kama unavo bwabwaja
Kutafuta utajiri ni vita kubwa na ya kutosha,
Wengi wanakaa nyumbani hadi 35+ wannahofu ya kuuvaaa mtaa
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Hata Yesu alirudi kwa Baba yake... Unataka huyo wako aende kwa nani!??.
 
FB_IMG_1752943937932.jpg
 
Kuna baadhi ya nchi duniani huwa wanaishi familia yote pamoja kwa mda mrefu sana.

Yaani unakuta mpaka babu yupo hapo.
Sasa kwa watoto kama umewaandaa kujitegemea au kuwa na biashara ulizowasaidia kugungua, shida iko wapi?

Kama mzazi mwenyewe huna hela basi waache labda wao ndio watakulisha

Au unawatoa ili ukodishe vyumba vyao kwa elfu 60 upate za matumizi?
Kweli utaishi kwa kodi?

Mzazi ukifeli kimaisha usilaumu watoto
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
unamfukuza mtoto ajitegemee, huku hujamuandalia mtoto mazingira ya kujitegemea? ajitegemee na nini? halafu ukipatwa na tatizo unahitaji hela kwa mtoto huyohuyo ambaye hana kitu halafu unaanza kujilizaliza et anakuacha uteseke SHENZI KABISA!

Hiki kitu ndo alinifanyia mama yangu nikiwa na miaka 22 mwaka 2022 na ndio kilichoniondoa nyumbani.
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Nimependa ya Mzinga wa Nyuki ? Ila sio Criminal case hiyo ? 😂😂😂
 
unamfukuza mtoto ajitegemee, huku hujamuandalia mtoto mazingira ya kujitegemea? ajitegemee na nini? halafu ukipatwa na tatizo unahitaji hela kwa mtoto huyohuyo ambaye hana kitu halafu unaanza kujilizaliza et anakuacha uteseke SHENZI KABISA!

Hiki kitu ndo alinifanyia mama yangu nikiwa na miaka 22 mwaka 2022 na ndio kilichoniondoa nyumbani.
Mama yako ana hekima
Mshukuru alikusaidia sana
 
Haya ya kulishwa sikia kwa mwenzio kama wewe hayajakikuta kabisa. Omba dua yasije kukuta ya kulisha pia. Bila shaka Mungu ni fundi wa yote. Kwa neema zake atupe njia sahihi zenye mapito mema yaliyojaa nuru zake.
 
Wazee wengi waliozaa vijana TZ ni waoga wa maisha

Sijui nini kilisababisha, no my consern, so shemfull
 
kwahilo simshukuru hats kidogo je kama Mambo yangeenda tofauti ingekuwaje, hakuna kazi ningekuwa ombaomba mwizi/kibaka au jambazi angefurahi?
Maisha ni vita laZima uvipigane
Mama anaona Kwa umri wako kukuacha ni kukupoteza
Labda anaona hatakuwa na wewe milele na labda anategemea wewe ndo uwe shujaa wa kukomboa familia nauda wote upo unamsubiri yeye akulishe na mandevu yako, hapo ilikuwa laZima akufukuze
 
Thubutu yake! King Charles alikaa kwa wazazi wake miaka 75 kabla ya kurithi Ufalme!!
Ile familia ya kufalme
Sasa wewe mama muuza supu unajilinganisha nayo
Inatakiwa kupambana ili uje uwe shujaa wa kuwakomboa wazazi
Wazazi walifanya uaminifu kukulea
 
Maisha ni vita laZima uvipigane
Mama anaona Kwa umri wako kukuacha ni kukupoteza
Labda anaona hatakuwa na wewe milele na labda anategemea wewe ndo uwe shujaa wa kukomboa familia nauda wote upo unamsubiri yeye akulishe na mandevu yako, hapo ilikuwa laZima akufukuze
shujaa kivipi sijafanikiwa kimaisha nimepambana sana mwisho nikakata tamaa pengine nishakuwa mlevi sina mbele wala nyuma halafu anategemea baadaye nije nimtunze, na wakati ananitoa pale nyumbani nilikuwa naona kabisa anauwezo wa kunisaidia mtaji na niliondoka sina hata 100 sasa wakulaumiwa hapo ni nani? halafu we mzee wewe ni mzee wa onyo na kama bado hujelewa na hapo basi akili ni zero.
 
Back
Top Bottom