Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Kuzaa ni asili ya kiumbe yeyote
Wakimbizi wanazaliana kambini, huko Sudan, Djibouti, Afghanistan Kuna vita ila watu wanazaliana
Wewe unamlaumu mama ati Kwanini alikuzaa
Kwaiyo Kwa umasikini wake hakupaswa kukuzaa jitu jinga kama wewe unalalamika mama yako ambaye ni Mzee.
We kijana kimbia na wakati fursa zipo
Wewe nani kakwambia Mimi nina Mama masikini km Mama yako? Hunijui hunifahamu still unaniongelea nani kakwambia nina Mama masikini? Mama yangu japo sio tajiri km Mo au Bakhresa ila ana uweza wa kukulisha wewe na ukoo wako mzima, stupid
 
Tuliambiwa kuwa YESU anakaa kwa baba yake na hawajawahi kutuambia kuwa alishatoka kwa baba yake. Sasa nakuuliza swali ya kwamba; Yesu na huyo kijana wako ni nani anamzidi mwingine umri?
 
Wewe nani kakwambia Mimi nina Mama masikini km Mama yako? Hunijui hunifahamu still unaniongelea nani kakwambia nina Mama masikini? Mama yangu japo sio tajiri km Mo au Bakhresa ila ana uweza wa kukulisha wewe na ukoo wako mzima, stupid
Sasa Kwanini ilinganishe familia yako ya kitajiri ambayo ina uweZo wa kuwapa viwanda mmiliki na familia za hali ya chini
 
Sasa Kwanini ilinganishe familia yako ya kitajiri ambayo ina uweZo wa kuwapa viwanda mmiliki na familia za hali ya chini
Ndio nimesema kufukuza watoto nyumbani kwa vigezo vya kijinga huku hujamtengenezea mazingira mazuri huo ni ukichaa mtoto hajakuomba umzae wewe ungemfukuza tangu akiwa na mwaka 1 pale pale ungetimua sio kafika miaka 18,20,25,30,35 eti hapa sitaki ukae ondoka hapa nyumbani sio kwenye wewe ni mzazi gani kwanini hukumtimua akiwa mdogo kabisa?
 
Mpe mtaji afanye kaz ya ndoto yake
Matajiri hufanya hivyo ila masikini wamekomaa mtaji wako ni elimu mtaji wako ni elimu, oya acheni huo ujinga mtoto anatengenezewa mazingira ya kua na mazingira mazuri zaidi baadae watoto wa matajiri hawaishi kimasikini sababu hawajakuzwa na ideology za kimasikini kwamba mtaji wako ni elimu mtaji wako ni elimu, mpe mazingira mtengenezee future yake maana wewe ndie uliemleta hakujileta mwenyewe
 
Ndio nimesema kufukuza watoto nyumbani kwa vigezo vya kijinga huku hujamtengenezea mazingira mazuri huo ni ukichaa mtoto hajakuomba umzae wewe ungemfukuza tangu akiwa na mwaka 1 pale pale ungetimua sio kafika miaka 18,20,25,30,35 eti hapa sitaki ukae ondoka hapa nyumbani sio kwenye wewe ni mzazi gani kwanini hukumtimua akiwa mdogo kabisa?
Akikulea imetosha
Umekuwa mkubwa kapambane autafute vyako
Unataka akulee wewe mpaka lini?
Akupe mtaji Gani, wakati wewe kijana ndo ungepambana uwape mtaji
Yaani kijana una nguvu na elimu unataka wazazi wazee wakutafutie mitaji
Nyie Mitanganyika mmekosa akili
 
Ideology za poor family ndio maana unakuta ukoo mzima wote masikini, yaan ukoo mzima hakuna hata tajiri mmoja unajiuliza hawa tatizo lao nini kwani? Kumbe ndio hizo za roho za korosho kutupiana uchawi mnachojua kuwangiana tu shenzitaipu
 
Watu wengi wametokea family masikini na wamefika mahala hata nyie mbumbumbu mnaojiona mmetoka family za kitajiri hamwezi kufika
 
Watu wengi wametokea family masikini na wamefika mahala hata nyie mbumbumbu mnaojiona mmetoka family za kitajiri hamwezi kufika
Wewe fukara ngoja nikuache uendelee kuambukiza ufukara wako kwa mafukara wenzio, sitokujibu tena.
 
Tafuta hela mkuu , Watoto hawafukuzwi Kama Nyau.
tatizo mitoto ya kitanganyika haikai nyumbani iishi vizuri, inakaa kukupigiabtiming ya mali zako. kuna mzee alikuwa wodini katundikiwa drip huku akipumua kwa shida mara akasikia kijana wake na mamayake wanaulizana kwani kadi ya bank na nssf ziko wapi sidhani kama atafikisha asubuhi, mzee akalia kimoyomoyo
 
yaani umasikini umezidi hadi kuwa fukara kha
Fukara anaambukiza watu ufukara baada aombe mbinu za kujikomboa kutoka kwenye ufukara anawaambukiza watu ufukara alionao kwa makusudi
 
Back
Top Bottom