MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mzazi mpumbavu ndo anaweza kuchukua huu ushauri. Kumfukuza mwanao kwako kwa hii dunia ilivyo ni kama kumweka kwenye msitu wenye wakali ukitegemea awe salama.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Dogo me ni tajiri wala sio masikini kama unavo bwabwajaAcha kuzaa kama panya fala wewe , kama huna uwezo wa kuandaa misingi ya kiuchumi kwa kizazi chako ,funga zipi hiyo zezeta wewe.
Masikini Mna zaa watoto mnakuja kuwatesa tu na kuongeza idadi ya ombaomba na vijakazi wa kutumika kufaidisha mabwenyenye na kuendeleza circle ya unyonyaji na utumwa kwenye dunia hii .
Hata Yesu alirudi kwa Baba yake... Unataka huyo wako aende kwa nani!??.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
unamfukuza mtoto ajitegemee, huku hujamuandalia mtoto mazingira ya kujitegemea? ajitegemee na nini? halafu ukipatwa na tatizo unahitaji hela kwa mtoto huyohuyo ambaye hana kitu halafu unaanza kujilizaliza et anakuacha uteseke SHENZI KABISA!Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
Nimependa ya Mzinga wa Nyuki ? Ila sio Criminal case hiyo ? 😂😂😂Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
HatuhamiMawazo ya kitajiri ndo haya
Uvivu hautakiwi
Kijana una akili na nguvu unataka ulishwe na wazazi wako wazeee
Tutawatimua majumbani kwetu
Mama yako ana hekimaunamfukuza mtoto ajitegemee, huku hujamuandalia mtoto mazingira ya kujitegemea? ajitegemee na nini? halafu ukipatwa na tatizo unahitaji hela kwa mtoto huyohuyo ambaye hana kitu halafu unaanza kujilizaliza et anakuacha uteseke SHENZI KABISA!
Hiki kitu ndo alinifanyia mama yangu nikiwa na miaka 22 mwaka 2022 na ndio kilichoniondoa nyumbani.
kwahilo simshukuru hats kidogo je kama Mambo yangeenda tofauti ingekuwaje, hakuna kazi ningekuwa ombaomba mwizi/kibaka au jambazi angefurahi?Mama yako ana hekima
Mshukuru alikusaidia sana
Thubutu yake! King Charles alikaa kwa wazazi wake miaka 75 kabla ya kurithi Ufalme!!...Hivi ungejaaliwa kuwa na fedha nyingi ? Ungewaza kumfukuza home mwanao wa kumzaa?
Malkia Elizabeth aliweza kumlisha mwanae Charles! Tafuta hela!!W
Watoto wazembe lazima wafukuzwe
Umri umeenda miaka 38 unataka Mzee wa miaka 70 ndo akulishe
Maisha ni vita laZima uvipiganekwahilo simshukuru hats kidogo je kama Mambo yangeenda tofauti ingekuwaje, hakuna kazi ningekuwa ombaomba mwizi/kibaka au jambazi angefurahi?
Ile familia ya kufalmeThubutu yake! King Charles alikaa kwa wazazi wake miaka 75 kabla ya kurithi Ufalme!!
shujaa kivipi sijafanikiwa kimaisha nimepambana sana mwisho nikakata tamaa pengine nishakuwa mlevi sina mbele wala nyuma halafu anategemea baadaye nije nimtunze, na wakati ananitoa pale nyumbani nilikuwa naona kabisa anauwezo wa kunisaidia mtaji na niliondoka sina hata 100 sasa wakulaumiwa hapo ni nani? halafu we mzee wewe ni mzee wa onyo na kama bado hujelewa na hapo basi akili ni zero.Maisha ni vita laZima uvipigane
Mama anaona Kwa umri wako kukuacha ni kukupoteza
Labda anaona hatakuwa na wewe milele na labda anategemea wewe ndo uwe shujaa wa kukomboa familia nauda wote upo unamsubiri yeye akulishe na mandevu yako, hapo ilikuwa laZima akufukuze