Kijana kichaa pekee ndio ataishi kwenye Chumba cha hivi mwenye akili timamu atapasafisha tu, ila km kijana wako ni anaugua mental illness lazima atakaa humo kwenye stoo1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
Vichaa ni wengi sana ukiwa na wazazi vichaa pekee ndio wataanza kufikiria kua mtoto kukaa nyumbani kwao na umri umeenda ni kitu kibaya, watoto wa matajiri wote unaowajua wewe wanaishi na wazazi wao, ila mitoto ya masikini na yenye wazazi vichaa ndio inaambiana kukaa na wazazi ni suala baya, nani alianzisha huo upuuzi mimi wanangu nitaishi nao mpaka nife sitowafukuza kwao, shenzitaipu ni kwao nyumba yangu ni nyumba yao pumbavu nifukuze bila kutengeneza mazingira mazuri, hivi hamjifunzi kwa Waarabu na Wahindi? Ngozi nyeusi laana kweliIle familia ya kufalme
Sasa wewe mama muuza supu unajilinganisha nayo
Inatakiwa kupambana ili uje uwe shujaa wa kuwakomboa wazazi
Wazazi walifanya uaminifu kukulea
shenzi zako, Azim Dewj hadi leo anaishi kwao, Saratoga hadi leo anaishi kwao,Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
kabisa, mtoto wa oilcom hadi leo anaishi kwao japo sasa hivi nitajiri kuliko babake, gsm anaishi na wadogo zake hadi leo nani matajiri sawa na yeye, bhakresa bintiyake bado anaishi kwao pamoja na kuwa ana mume na watoto.Vichaa ni wengi sana ukiwa na wazazi vichaa pekee ndio wataanza kufikiria kua mtoto kukaa nyumbani kwao na umri umeenda ni kitu kibaya, watoto wa matajiri wote unaowajua wewe wanaishi na wazazi wao, ila mitoto ya masikini na yenye wazazi vichaa ndio inaambiana kukaa na wazazi ni suala baya, nani alianzisha huo upuuzi mimi wanangu nitaishi nao mpaka nife sitowafukuza kwao, shenzitaipu ni kwao nyumba yangu ni nyumba yao pumbavu nifukuze bila kutengeneza mazingira mazuri, hivi hamjifunzi kwa Waarabu na Wahindi? Ngozi nyeusi laana kweli
Hakuna anayependa hilo, mtu yoyote alifikia umri wa kuwa mtu mzima privacy ni kitu anakipa kipaumbele kwa sana.Sipendi mtu ani pekue wakat sipo
Kusaidiwa siyo haki yakoshujaa kivipi sijafanikiwa kimaisha nimepambana sana mwisho nikakata tamaa pengine nishakuwa mlevi sina mbele wala nyuma halafu anategemea baadaye nije nimtunze, na wakati ananitoa pale nyumbani nilikuwa naona kabisa anauwezo wa kunisaidia mtaji na niliondoka sina hata 100 sasa wakulaumiwa hapo ni nani? halafu we mzee wewe ni mzee wa onyo na kama bado hujelewa na hapo basi akili ni zero.
Mzee ana miaka 70 ukaishi kwake akulishe libaba miaka 38
Hakika kwetu sisi wazazi hutegemea kuja kuwa wakomboziOkay, hii haifanyi kazi kwa raia wenye uchumi wa mwisho katika madaraja maana hawa watu huwa wana namna tofauti sana ya kuyachukulia maisha, lakini pia kabila ama jamii ya watu hao huamua pia.
Kwa wale waliopo katika uchumi wa kati na ule wa juu, kukaa pamoja ni jambo jepesi.
Kusaidiwa siyo haki yako
Pambana msaada kama kuupata utakutana nao vitani
Kama umekata tamaa na umeligundua acha kukata tamaa pambana upya kila kitu kinawezekana
😄kwa hii mbinu ni lazima ahame!!!7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
Hapa tunasema uzembe na uvivuKwahiyo kwako wewe swala la kusaidia watoto wako wakati wanafanya build-up za maisha yao unaona sio wajibu wako.?
Sasa kuna hii mitoto ya mamantilie eti inashauri watoto wafukuzwe makwao nyie wangese wakati mnatombana huyo mtoto aliwashika miguu mtombanee vizuri ili mumpate? Mtengenezeeni mazingira mazuri kisha mkiona inabidi ndio mumwambie aende, sifukuzi mtoto wangu mimi ataishi kwangu hata akiwa na miaka 100kabisa, mtoto wa oilcom hadi leo anaishi kwao japo sasa hivi nitajiri kuliko babake, gsm anaishi na wadogo zake hadi leo nani matajiri sawa na yeye, bhakresa bintiyake bado anaishi kwao pamoja na kuwa ana mume na watoto.
Wakati huo mama yako anafanya nini yeye haioni mifano ya wamama wengine wanachofanya kwa watoto wao kuwajenga, kuwaendeleza, kuwasimamia na kuwaimarisha mpaka wanasimama wenyewe kwanini yeye asikujenge mtoto wake kwenye mazingira mazuri au ndio mnaishi km watoto wa Nguruwe au Bata?Hapa tunasema uzembe na uvivu
Yaani upo tu nyumbani unalewa na kubet afu unamlaumu mama ako mwenye miaka 75 ati kwanini hakukupa kiwanda kama Mo Dewji
ila wew kabila lako ni MUHA, usinibishie.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mzig
,
hiyo ya kuweka mzinga wa nyuki imenichekesha sana..!!
Kuzaa ni asili ya kiumbe yeyoteWakati huo mama yako anafanya nini yeye haioni mifano ya wamama wengine wanachofanya kwa watoto wao kuwajenga, kuwaendeleza, kuwasimamia na kuwaimarisha mpaka wanasimama wenyewe kwanini yeye asikujenge mtoto wake kwenye mazingira mazuri au ndio mnaishi km watoto wa Nguruwe au Bata?