Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

We c receiver ...mtoto wa kike ..hata wakat wa sex unapokea ..sitakushangaa ukila bata , maana kwa wenye pesa we ndo bata mwenyewe wanae-mla ...ongeza bidii Kwenye ulaji bata ......
[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Haha..watu wameelewa vizuri tu, shida ni utamaduni wa kusave hawana...
mtu ukimwambia hizo habari sijuiu anakuonaje..

Pili, kitendo cah mleta mada kuongelea pesa anazoingiza, na ndoto anazofikilia kuzitimiza

zinawafanya wengi humu kuingiwa na chuki, hasira kutokana na stress za maisha , hii inapelekea mtu kuwa na mtizamo hasi kwenye kila jambo/wazo.
 
ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata

ni kama mzoga kuliwa na siafu tu

😁😁😁
 
Nilichojifunza mimi katika maisha,ubahiri nao unakuachia makovu mengi tu,ambayo ukiishakuwa tajiri yanakuwa hayafutiki,mfano watoto wanakuwa wamepata elimu duni,wamekua bila mlo kamili,n.k
Rudia kusoma tena alichokiandika mtoa.. mada huu ubahili unaouzungumzia wewe sio
 
Nakubaliana nawe 110%..
Ila ubahili usizidi mpaka unajinyima chakula au mambo muhimu..
 
tulikua na timu ya mpira kitaa,tukawa tunapitisha bakuli kwa street hoods,tumefika kwa dingi mmoja wa kipare don sana,mihotel,hardware,project kibao dooh cha ajabu alichomoa "jelo" tu akatuchangia watu waling'aa sharubu mana walijua si chini ya fifte itamtoka....nikajua kweli Niki wa Pili hakukosea "Siri ya utajiri ni ubahili"
 
Kabisa
 
Maudhui ya huu uzi wako yapo kwenye mstari wa mwisho kabisa wa bandiko.... huku mwanzo unajua mwenyewe na mola wako.
 
Hivi kwanini wabongo tuko so negative hivi jamani?? Shida iko wapi?khaa
Dada .....Hilo ni tangazo la biashara kwa njia kiujanja ujanja km matangazo mengine . Hiyo mwishoni ndio namba ya simu kwa style nyingine, huwezi kuelewa km akili yako inafikiri taratibu sana,..au (slow learner) ..... hayo maelezo mengine ni mbwembwe za kufikisha ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…