Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Ukweli mchungu.

Watu wengi wanatamani Sana kuwa matajiri lakini hawajui mbinu gani zinatumika.

Sisemi matajiri wote walikuwa mabahiri, la hasha Ila kikwetukwetu hii mbinu ya ubahili ndio njia nzuri ya kuelekea kuwa tajiri.
Ubahili nachukulia Kama kitendo Cha kutotumia pesa kwenye matumizi yasiyo ya lazima.

Hii njia nimeitumia miaka 10 Sasa na faida yake nimeiona. Kuwa mbahili sana, alafu utanishukuru baadae.

Pesa nilikuwa napata nzuri tu kwenye mishe zangu za gen supplies na kwenye construction Ila nilikuwa naishi maisha ya kawaida Sana, chumba na sebule kwa elfu 60 kimara huko ndani ndani. Ila kwa mwezi nilikuwa nakusanya faida mil 4, huu ni wastani.

Kuna mwezi napata kazi nyingi faida hadi m 8, 10 na Kuna mwezi napata mil 2 na Kuna mwezi hakuna kazi kabisa hivyo nafidia huo mwezi kwa mwezi niliopata zaidi

Ubahili unalipaje?
Baada tu ya kununua plots kadhaa jijini hapa, kila mwezi nikaanza ku-save mil 1.8 kwa ajili ya kujenga na mil 1.8 nyingine kwa ajili ya biashara ya hardware. Hivyo mwezi mzima nauendesha kwa laki 4 tu, inatoa 60 ya kupanga.

Hapo kulikuwa hakuna Cha kwenda kula bata wala kuhonga Wala kulakula ovyo(wengi mnaita eti kula vizuri). Na hakuna cha kununua gari Wala nini, nilikuwa na pikipiki boxer kwa ajili ya kuwahi mishe. Ila hata Sasa natumia ka-IST tu, hayo ma-prado baadae Sana huko.
Ndani ya miaka minne tu nikajikuta karibu ya mil 80(of course nilitumia mil 78) kwenye kujenga na zaidi ya mil 80 kwenye kuanzisha hardware.

Hivi Sasa hardware ndio inaendesha kila kitu changu na inalipa sana tena Sana. Hivyo nipate tender nisipate mambo ni byeeee.

Story itakuwa ndefu Sana, Ila ACHENI UJUAJI UBAHILI UNALIPA SANA.
ACHENI KULA BATA BILA KUWA NA MIPANGO

Next project ni hii dream house(namba mbili), location itakuwa Tegeta - wazo.
Hii natembea nayo kila mahali hadi kitandani ninayo, soon inazikwa kwa ground.

Architect ni mtaalam vantano, yupo sana kule IG, haikuwa yangu Ila niliipenda sana. Soon, soon.....

View attachment 1771255
We mchagga? Nakumbuka nilipokuwa chuo darasa nzima lilikuwa linakimbilia kwangu kunikopa hela, nilikuwa nawakopesha boom langu kwani nilikuwa nakula wali maharage na wao wakila wali kuku na bia. Na waliniona tajiri mkubwa wakifikiri nimetoka familia ya kisharifu sana kumbe nilikuwa bahili tuu.
 
Ukweli mchungu.

Watu wengi wanatamani Sana kuwa matajiri lakini hawajui mbinu gani zinatumika.

Sisemi matajiri wote walikuwa mabahiri, la hasha Ila kikwetukwetu hii mbinu ya ubahili ndio njia nzuri ya kuelekea kuwa tajiri.
Ubahili nachukulia Kama kitendo Cha kutotumia pesa kwenye matumizi yasiyo ya lazima.

Hii njia nimeitumia miaka 10 Sasa na faida yake nimeiona. Kuwa mbahili sana, alafu utanishukuru baadae.

Pesa nilikuwa napata nzuri tu kwenye mishe zangu za gen supplies na kwenye construction Ila nilikuwa naishi maisha ya kawaida Sana, chumba na sebule kwa elfu 60 kimara huko ndani ndani. Ila kwa mwezi nilikuwa nakusanya faida mil 4, huu ni wastani.

Kuna mwezi napata kazi nyingi faida hadi m 8, 10 na Kuna mwezi napata mil 2 na Kuna mwezi hakuna kazi kabisa hivyo nafidia huo mwezi kwa mwezi niliopata zaidi

Ubahili unalipaje?
Baada tu ya kununua plots kadhaa jijini hapa, kila mwezi nikaanza ku-save mil 1.8 kwa ajili ya kujenga na mil 1.8 nyingine kwa ajili ya biashara ya hardware. Hivyo mwezi mzima nauendesha kwa laki 4 tu, inatoa 60 ya kupanga.

Hapo kulikuwa hakuna Cha kwenda kula bata wala kuhonga Wala kulakula ovyo(wengi mnaita eti kula vizuri). Na hakuna cha kununua gari Wala nini, nilikuwa na pikipiki boxer kwa ajili ya kuwahi mishe. Ila hata Sasa natumia ka-IST tu, hayo ma-prado baadae Sana huko.
Ndani ya miaka minne tu nikajikuta karibu ya mil 80(of course nilitumia mil 78) kwenye kujenga na zaidi ya mil 80 kwenye kuanzisha hardware.

Hivi Sasa hardware ndio inaendesha kila kitu changu na inalipa sana tena Sana. Hivyo nipate tender nisipate mambo ni byeeee.

Story itakuwa ndefu Sana, Ila ACHENI UJUAJI UBAHILI UNALIPA SANA.
ACHENI KULA BATA BILA KUWA NA MIPANGO

Next project ni hii dream house(namba mbili), location itakuwa Tegeta - wazo.
Hii natembea nayo kila mahali hadi kitandani ninayo, soon inazikwa kwa ground.

Architect ni mtaalam vantano, yupo sana kule IG, haikuwa yangu Ila niliipenda sana. Soon, soon.....

View attachment 1771255
Ili uwe tajiri ni lazima ugrow capital. Njia yoyote utakayoitumia kugrow capital itakupa utajiri.

Full stop.
 
[emoji419]Nimejaribu kupitia mjadala vizuri kabisa nimekuja kushtuka sisi waafrika bado ubinafsi na umimi unatutafuna sana mtu anasema mm siwez kujibana amesahau kuna generation mtu anajiwazia yeye tu mtoa uzi simpingi hata kidogo lazma uumie na ujibane( ujinyime vitu visivyo vya msingi sana kma izo starehe) ili baada ya muda flani sio ww tu bali na familia yako ifaidi matunda ata kama ikatokea leo na kesho haupo(kifo akikwepeki) familia umeiacha vizuri

.NALOG OUT
 
Nashindwa nikujibu nini. Ila nna uhakika leo chakula hakipiti kwa hasira+chuki+wivu ulionao
Yani kusema ukweli ndio wivu..jf mnadanganyana sana...hamna uhalisia Yani...be realistic you fools...mmezoea Maisha ya short cuts....mnaona Kila kitu kweli...I was just alarming you ...fools ..
 
Ni ndoto yangu na pia napenda Sana ghorofa, nikipitaga kule mbezi beach kuona watu wako kwenye vighorofa roho inafurahi sana
Sasa ubahili wako ni upi? Yani ujibanebane weeeh then ujenge kwa milioni 200! Si ndio israfu yenyewe hiyo? Na kama unafanya kwa kuwa ni ndoto basi ni ili kuifikia hiyo ndoto yako tu ila huna ubahili wowote, maana hutofautiani na hawa wanaokula vizuri zaidi au kutumia katika starehe zaidi maana ndiyo maisha ya ndoto zao pia
 
Mkuu naungana na wewe. Kwa vijana wanaotafuta na hali yetu ya kiuchumi ilivyo vijana wa kibongo wanahitaji ubahili, ili watimize ndoto zao za kiuwekezaji na maisha. Ni ubahili na malengo yakitimia unakula bata. Big up.
 
Utazidi kufanikiwa sana isee....bora wewe huwa unafurahi.

Mengine huwa yanaloga.
 
Ukweli mchungu.

Watu wengi wanatamani Sana kuwa matajiri lakini hawajui mbinu gani zinatumika.

Sisemi matajiri wote walikuwa mabahiri, la hasha Ila kikwetukwetu hii mbinu ya ubahili ndio njia nzuri ya kuelekea kuwa tajiri.
Ubahili nachukulia Kama kitendo Cha kutotumia pesa kwenye matumizi yasiyo ya lazima.

Hii njia nimeitumia miaka 10 Sasa na faida yake nimeiona. Kuwa mbahili sana, alafu utanishukuru baadae.

Pesa nilikuwa napata nzuri tu kwenye mishe zangu za gen supplies na kwenye construction Ila nilikuwa naishi maisha ya kawaida Sana, chumba na sebule kwa elfu 60 kimara huko ndani ndani. Ila kwa mwezi nilikuwa nakusanya faida mil 4, huu ni wastani.

Kuna mwezi napata kazi nyingi faida hadi m 8, 10 na Kuna mwezi napata mil 2 na Kuna mwezi hakuna kazi kabisa hivyo nafidia huo mwezi kwa mwezi niliopata zaidi

Ubahili unalipaje?
Baada tu ya kununua plots kadhaa jijini hapa, kila mwezi nikaanza ku-save mil 1.8 kwa ajili ya kujenga na mil 1.8 nyingine kwa ajili ya biashara ya hardware. Hivyo mwezi mzima nauendesha kwa laki 4 tu, inatoa 60 ya kupanga.

Hapo kulikuwa hakuna Cha kwenda kula bata wala kuhonga Wala kulakula ovyo(wengi mnaita eti kula vizuri). Na hakuna cha kununua gari Wala nini, nilikuwa na pikipiki boxer kwa ajili ya kuwahi mishe. Ila hata Sasa natumia ka-IST tu, hayo ma-prado baadae Sana huko.
Ndani ya miaka minne tu nikajikuta karibu ya mil 80(of course nilitumia mil 78) kwenye kujenga na zaidi ya mil 80 kwenye kuanzisha hardware.

Hivi Sasa hardware ndio inaendesha kila kitu changu na inalipa sana tena Sana. Hivyo nipate tender nisipate mambo ni byeeee.

Story itakuwa ndefu Sana, Ila ACHENI UJUAJI UBAHILI UNALIPA SANA.
ACHENI KULA BATA BILA KUWA NA MIPANGO

Next project ni hii dream house(namba mbili), location itakuwa Tegeta - wazo.
Hii natembea nayo kila mahali hadi kitandani ninayo, soon inazikwa kwa ground.

Architect ni mtaalam vantano, yupo sana kule IG, haikuwa yangu Ila niliipenda sana. Soon, soon.....

View attachment 1771255
Nitafutie nikupe architect mzuri akuchoree ramani [emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ubahili wako ni upi? Yani ujibanebane weeeh then ujenge kwa milioni 200! Si ndio israfu yenyewe hiyo? Na kama unafanya kwa kuwa ni ndoto basi ni ili kuifikia hiyo ndoto yako tu ila huna ubahili wowote, maana hutofautiani na hawa wanaokula vizuri zaidi au kutumia katika starehe zaidi maana ndiyo maisha ya ndoto zao pia
kunwa soda mkuu nakuja kulipa uyo mtoa mada ajielewi
 
Ubahili sio kitu kizuri ,hata mwenyezi MUNGU ana upinga,kupata pesa nyingi kwa ubahili ni laana.
Kuweka akiba kwa kila pesa unayo ipata sio ubahili,ila ni busara.
Kuweka akiba hata mwenyezi ana ikubali.
Nini maana ya ubahili?
Ubahili ni kujinyima wewe binafsi,familia yako na watu wengine.

Watu bahiri wapo tayari kula kwa kutumangia harufu ya samaki au harufu ya nyama choma kwa kisingizio cha kubana matumizi.

Kutunza sehemu ya pato la fedha unayo ipata kwa ajili ya maendeleo ya mbeleni sio ubahili hiyo ni busara.

Kutunza pesa ni hekima na kutumia vibaya pesa ni ujinga ama upumbavu.

Ukiwa bahili unaweza kukusanya pesa nyingi ila usinufaike nayo wewe

Ukijinyima chakula bora kwa ubahili utakumbwa na maradhi ambayo yata hitaji pesa nyingi kwa ajili ya matibabu

Ukiwa bahili sana bila kumsaidia yeyote,kesho na kesho kutwa ukipata shida nawe hauta saidika,

Kumbuka ,pesa sio akiba pekee,unatakiwa kuweka akiba ya pesa na pia weka akiba ya matendo mema kwa jamii inayo kuzunguka,maana pesa yako sio kila kitu,kuna mahali tu uta wahitaji watu wengine.

Matumizi ya anasa ya pesa hata Mwenyezi MUNGU ameyapinga

Ubahili pia sio sahihi

Kutunza pesa kwa malengo ya baadaye bila kujinyima sana,na bila kuinyima jamii inayo kuzunguka

Hayo ndio matumizi sahihi ya pesa.
 
[emoji419]Nimejaribu kupitia mjadala vizuri kabisa nimekuja kushtuka sisi waafrika bado ubinafsi na umimi unatutafuna sana mtu anasema mm siwez kujibana amesahau kuna generation mtu anajiwazia yeye tu mtoa uzi simpingi hata kidogo lazma uumie na ujibane( ujinyime vitu visivyo vya msingi sana kma izo starehe) ili baada ya muda flani sio ww tu bali na familia yako ifaidi matunda ata kama ikatokea leo na kesho haupo(kifo akikwepeki) familia umeiacha vizuri

.NALOG OUT
Kweli wewe ni genius, Hawa wenzetu hawajui kitu kinaitwa kizazi. Kuna watu walipoteza maisha yao ili kizazi Cha leo tuishi vizuri.
 
Mkuu naungana na wewe. Kwa vijana wanaotafuta na hali yetu ya kiuchumi ilivyo vijana wa kibongo wanahitaji ubahili, ili watimize ndoto zao za kiuwekezaji na maisha. Ni ubahili na malengo yakitimia unakula bata. Big up.
Wanasema hawawezi wanataka kunywa Hennessy tu Sasa hivi
 
Back
Top Bottom