Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Ushauri sio mzuri kabisa huu, maisha ni kula maisha
Huu unahiri ni kujinyima raha za maisha tu

Wewe ni mlafi na mtumwa wa pesa na mali.
Endelea kuzikisanya then utakufa bila kula kadansee wala pipi za dunia

Kalaga baho
Sahau kuwa tajiri
 
Mkuu wewe umekuja na Definition yako na mtazamo wako pia ila mimi ndivyo nilivyelewa, ubahili sio kushindia kashata na kahawa tu, ubahili ni kuacha mbwembwe zisizo na msingi.
Haswaa, watu hata hawaelewi
 
Okey okey ila hizo hela iki invest vzr utajenga kwa raha sana nafikiri tu mm sijajenga bado naona hela yangu nimeioata kwa shida isije ikaishia kwenye nyumba....
 
..huyu anajifanya kufundisha watu Maisha hana chochote anatafta akili humu jf ili atoke..hakuna bahili ameanza Kama yeye akawa bilionea Kwa Hali ya umaskini wa bongo....wenye hela wengi wamerithi...au wameanza miaka mingi ( si Kwa umri wake)..au wamefanya biashara haramu..au wameiba serikalini(ufisadi)...n.k ...tz tunaijua...huyu amezidisha chumvi...na Kama ni bahili basi si matumizi ya mil 80 au 70 anazosema amejengea...Kwa umri wake hakuna uhalisia....anatafta mawazo ya kutoka tumsaidie .
 
Brother,
Bandiko lako linaonyesha una stress nyingi. Hebu kanywe maji then urudi!
 
..huyu anajifanya kufundisha watu Maisha hana chochote anatafta akili humu jf ili atoke..hakuna bahili ameanza Kama yeye akawa bilionea Kwa Hali ya umaskini wa bongo....wenye hela wengi wamerithi...au wameanza miaka mingi ( si Kwa umri wake)..au wamefanya biashara haramu..au wameiba serikalini(ufisadi)...n.k ...tz tunaijua...huyu amezidisha chumvi...na Kama ni bahili basi si matumizi ya mil 80 au 70 anazosema amejengea...Kwa umri wake hakuna uhalisia....anatafta mawazo ya kutoka tumsaidie .
Nashindwa nikujibu nini. Ila nna uhakika leo chakula hakipiti kwa hasira+chuki+wivu ulionao
 
Watu wana-fight, na hakuna sababu ya msingi ya kumfanya kijana kama mtoa post asiwe na mafanikio aliyonayo katika umri huo yaani! Upo sahihi, ni kama ana stress na wivu unachangia.
Ndio Hawa wanaosema Fred vunjabei anauza madawa, kisa tu maisha aliyonayo.
Juzi wakati anasaidi dili la jezi la bilioni 2 Kuna watu walikasirika Sana, povu likawatoka. Ooh anatoa wapi pesa, Mara 40 yake itafika tu.
Hawa ndio wabongo
 
Na ndio maana vijana wengi wa TZ wanakufa masikini. Husda, kijicho na majungu huchangia pakubwa sana.
 
sidhani kama mleta mada alikuwa na maana ya ubahiri kama ubahiri tunaoujua sisi. Kwamba ulale chini kwenye sakafu bila godoro kwa ajili ya kuweka savings za kujenga ghorofa! Nilivyomuelewa mimi ni ubahiri wa kujinyima au kukwepa matumizi yasiyo ya umuhimu. Mfano siamini kwamba nikitaka niwe na hali nzuri kiuchumi lazima niache kunywa beer. Lakini, naweza kuamua kupunguza bia kumi mpaka nne. Naweza kuacha kununulia watu pombe just for the sake! Naweza kuacha kununua nguo kwa sababu tuu nina pesa. Wengi wetu humu tuna nguo hatujawahi kuzivaa mwaka mzima. tuna pair nyingi za viatu hazivaliwi. Na mengine mengi.

RAI YANGU: Tunatafuta maisha kula maisha. lakini kiuhalisia matumizi mengi tunayoyafanya hayana ulazima. Wengi tunaenda bar unanunua pombe just ku-show off. Lakini unaweza ukaenda bar ukanywa beer zako mbili tatu ukaendelea na mishe. Unaweza ukaishi na ukashiriki shughuli za kijamii bila kuhatarisha savings zako na malengo yako.

Point kubwa ni savings. ujue mipaka ya matumizi yako.
 
Rahisi sana lakini jiandae kuja kutibu vidonda vya tumbo utapokuwa tajiri kwa baadaye.
Kuna totauti kati ya kuto kula vizuri(Quality) na kuto kula kushiba (Quantity)...vidonda vya tumbo vinasababishwa na kutokula kwa wakati au kuto kushiba.

Unaweza ukatumia 2500 kwasiku usipate vidonda vya tumbo na mtu akala 10,000 kwaaiku akapata suala ni Quatity sio Quality ya msosi.

Ninauwezo wa kula 2500 maisha yangu yote na sipati vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom