Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahahhaa kama mke wa filikunjombe..namwangaliaga nasema nhiii!🤣Katika Maisha utajua una pesa kiasi gani lkn huwezi kujua umebakiza siku ngapi za kuishi.
Ubahili Ni ujinga tu.
Utamuachia mke mijippesa halafu wahuni tu wanakuja kulala nae na kutumia pesa uliyokataa kuitumia kwa upumbavu
Umeona eeeh. Ongeza na mke wa mzee nyingi.Hahahhaa kama mke wa filikunjombe..namwangaliaga nasema nhiii!🤣
Ipi mbinu nzuri ya kuwa tajiri wa roho kama mzee Reginald Mengi na MO Dewji?Nimeambiwa niandae walau m200,
Hahaaahahahhaa!Umeona eeeh. Ongeza na mke wa mzee nyingi.
Mimi naamini katika kuzitafuna mwenyewe.
Ubahili sio kitu kizuri ,hata mwenyezi MUNGU ana upinga,kupata pesa nyingi kwa ubahili ni laana.
Kuweka akiba kwa kila pesa unayo ipata sio ubahili,ila ni busara.
Kuweka akiba hata mwenyezi ana ikubali.
Nini maana ya ubahili?
Ubahili ni kujinyima wewe binafsi,familia yako na watu wengine.
Watu
Roho za kimasikini bana..Katika Maisha utajua una pesa kiasi gani lkn huwezi kujua umebakiza siku ngapi za kuishi.
Ubahili Ni ujinga tu.
Utamuachia mke mijippesa halafu wahuni tu wanakuja kulala nae na kutumia pesa uliyokataa kuitumia kwa upumbavu
The thing is..Roho za kimasikini bana..
Sawa mkuu.. jitahidi uwe na nidhamu ya pesa ndio ubahili unaozungumziwa hapa.The thing is..
Huwezi kuthibiti mawazo ya watu, lakini unaweza kuamua jinsi ya kuyafanyia kazi.
Umenielewa Sana, hao wengine ni majanga hata uwaeleweshajeSawa mkuu.. jitahidi uwe na nidhamu ya pesa ndio ubahili unaozungumziwa hapa.
Matumizi mabovu ya pesa yataendelea...
kumfanya mtu kuwa mtumwa wa kutumikia pesa maisha yake yote, badala ya kutumia pesa kumtumikia yeye.
Ni kweli kabisa!Nafikiri Pesa ina Nidhamu yake, haijalishi unapata kiasi gani ila nidhamu muhimu sana.. Mtu anayepata 500K anaweza kuwa Tajiri kutokana na nidhamu yake zaidi ya anayepata 1M asiye na nidhamu.
Hili swala la Nidhamu ya Pesa ni swala moja safi la kufanyia kazi.
Mkuu unamawazo ya hovyo sana, kufa kila mtu atakufa tu, hata asipojenga hiyo nyumba atakufa tu.Ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata
Ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Mkuu nimefurahi sana hapa kusikia ukiowaona wengine wapo kwenye dream house zao roho yako inafurahi then inakupa nguvu zaidi ya kupambana bila shaka...ooh kama hivyo ndivyo jinsi ulivyo basi utabaki kuwa juu sanaNi ndoto yangu na pia napenda Sana ghorofa, nikipitaga kule mbezi beach kuona watu wako kwenye vighorofa roho inafurahi sana
mzee hizi ela sio tu ubahili ila ni investment kwenye mambo yako ya maendeleo/....sio unanunua malaya elfu 50 pombe unapiga laki na wadau kibao unawanywesha then unategemea utafanya maendeleohela yake matumizi mkuu
Maendeleo ni nini,,,kabla sijawa na hela nilikuwa na ndoto nikipata hela nile pombe na wana niende club ninunue malaya,mzee hizi ela sio tu ubahili ila ni investment kwenye mambo yako ya maendeleo/....sio unanunua malaya elfu 50 pombe unapiga laki na wadau kibao unawanywesha then unategemea utafanya maendeleo
Ukiona jeans kali unanunu ni kwasababu hauna malengo yoyote , ndio maana hauwezi kuona umuhimu wa kusave,
mtu yoyte anyewaza kusave mara nyingi anakuwa na malengo aliyoplan kuyatimizia.
Nasio kuwa mtu kusaka short time& instant gratification..
Kuridhisha nafsi kwa matamanio ya muda mfupi,
Wakati uanedelea kula msoto wa kila siku..
Kuwa m'bahili haimaanishi usifanye matumizi..
Kuwa m'bahili ni kufanya matumizi ya lazima tu, kama chakula mavazi, malazi n.k "kwa budget", na kuondoa matumizi yote yasiyo ya lazima.
Yeto ambiere, herehoa?Mwigine akikaa na hela mfukoni mbinu za ukusanyaji zinayeyuka, inampasa aponde Raha zikiisha na akili inajiongeza kusaka zingine .
Naona mnakuja kwenye njia zetu, karibuni upareni.
Haya ndio mawazo ya kimaskini, Utafutaji unajitoa mhanga na lolote liwe hatimaye unauona mwangaUkisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata
Ni kama mzoga kuliwa na siafu tu