Ukiona jeans kali unanunu ni kwasababu hauna malengo yoyote , ndio maana hauwezi kuona umuhimu wa kusave,
mtu yoyte anyewaza kusave mara nyingi anakuwa na malengo aliyoplan kuyatimizia.
Nasio kuwa mtu kusaka short time& instant gratification..
Kuridhisha nafsi kwa matamanio ya muda mfupi,
Wakati uanedelea kula msoto wa kila siku..
Kuwa m'bahili haimaanishi usifanye matumizi..
Kuwa m'bahili ni kufanya matumizi ya lazima tu, kama chakula mavazi, malazi n.k "kwa budget", na kuondoa matumizi yote yasiyo ya lazima.