Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Karibu sana wazo mitaa ya mashamba ya jeshi...nyakalekwa
Kino done
Wazo done
Kigamboni nakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ilaubahiri kweli inasaidia+matumiz yasiyo na tija tupa kule+washkaji,ndg wa mizinga wakatie line

Ova
Jitahidi uwe bahili kwa kadri utavyoweza, usikubali kuitwa mwana na machawa
 
Well said boss, hata mimi sio bahiri kivile ila kupitia kubana salary na viposho vya hapa na pale nimejikuta angalau nina saving ya maana kwa bank. Zaman nilikuwa mpuuz natumia kila kitu nabaki empty
Jitahidi uongeze ubahili zaidi, utanishukuru baadae.
Mwisho wa mwaka unaweza kuta una mil 5 hivihivi ukafanyia Jambo lako la maana Sana.
#kuwa bahili sana#
 
yaani ulale sehem ya hovyo ushindwe kula vizuri eti kisa baadae uje kuwa tajiri uo ni ukichaa,, hela unatafuta za nini sasa uku unaishi kwa kujitesa,,,

kula vizuri vaa vizuri lala sehemu nzuri,,, Ishi vizuri
Kuwa bahili kwa kadri utavyoweza
 
yaani ulale sehem ya hovyo ushindwe kula vizuri eti kisa baadae uje kuwa tajiri uo ni ukichaa,, hela unatafuta za nini sasa uku unaishi kwa kujitesa,,,

kula vizuri vaa vizuri lala sehemu nzuri,,, Ishi vizuri
Imagine[emoji134][emoji134]
 
Hili wazo la ubahili ni zuri ila uhalisia wake unategemea background ya mtu na mtu. Wengine ndio wategemezi wa wadogo zao na sio marafiki,hivyo mnyororo wa utegemezi haukatiki kirahisi.
Unaweza kuwapunguza marafiki lakini sio ndugu. Kama ndugu aliwahi kukusaidia buku ya daftari basi tayari ni kitanzi kingine.
Afrika ngumu sana hii.
 
Mwana hana baya
 
Achana na kufa, kuwa bahili Sana utanishukuru baadae
Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha


Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
 
Jitahidi uongeze ubahili zaidi, utanishukuru baadae.
Mwisho wa mwaka unaweza kuta una mil 5 hivihivi ukafanyia Jambo lako la maana Sana.
#kuwa bahili sana#
Endelea kuwa bahili tu hata mzee zakaria alikuwa bahili ila kansa ya koo ikamchukua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mie nakitu kimoja! Naamini falsafa ya kutafuta maisha na kula maisha!

Nipate million 4 kwa mwezi halafu nile bamia kila siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚??? Never on earth!!!

Maendeleo ntafanya ila lazma million moja niende nayo sawa! Hizo tatu zitaenda kwenye maendeleo! Yani nisivae vizuri wala kula wine kidogo! Unaweza ukafa kabla hata ya hio dream house yako haijaisha na hela bank ikataifisha!
 
We uko kama mimi...nijitese eti kwa ajili ya future, siijui kesho yangu asee
 
Mkuu principle ya utajiri ni kutumia pesa upate pesa, hiyo ya ubahiri kulala kwenye ngozi ya ng'ombe ni principle ya kizamani sana na inakufanya uwe tajiri uliyepitwa na wakati...
Principle ya utajiri nj kutumia pesa BIG YES, Ila pesa imatumiwa kwenye investment na ndio maana hapo nimekueleza kuwa nilitumia m80 kuanza na hardware.
Pia, hakuna niliposema ulale kwenye ngozi ya ng'ombe na ndio maana unaona hapo nimekuambia natamani kujenga hilo ghorofa
 
Umesahau kutuambia tuwe tayari kuachwa na Pisi kali nyingi sana mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa bahili, utanishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…