Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Leo nimesikia mbunge akihoji kwanini pesa za mwenge hazifanyiwi auditing miaka yooote toka umeanza kukimbizwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kukimbilia huku fanyakazi kwa viwango
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi anakagua ksa sululu kupima ugumu wa barabara.
Hili lilofanyika huko Njombe.
Hakuna anayejua vigezo vya ukaguzi huo kitaalam.
Naamini hawa vijana wakimbiza mwenge hawana utaalam wowote zaidi ya uzalendo mkubwa kwa nchi yao.
Wao si maafisa wa TAKUKURU inayotembea.
Waratibu wa mbio wawape wakimbiza mwenge ujumbe wa kuleta mshikamano, amani ya nchi nakwa ujumla kuleta matumsini kwa wananchi.
Hayo ndiyo yalikuwa majukumu ya kwanza toka enzi za Mwalimu.
Hawa jamaa akili zao matope kabisa ndio mana mkesha wa mwenge wanaccm wanapigana miti kwa kasi ya 5G,asubuhi mzigo wa used condom hukutwa kwenye eneo la tukio
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi anakagua ksa sululu kupima ugumu wa barabara.
Hili lilofanyika huko Njombe.
Hakuna anayejua vigezo vya ukaguzi huo kitaalam.
Naamini hawa vijana wakimbiza mwenge hawana utaalam wowote zaidi ya uzalendo mkubwa kwa nchi yao.
Wao si maafisa wa TAKUKURU inayotembea.
Waratibu wa mbio wawape wakimbiza mwenge ujumbe wa kuleta mshikamano, amani ya nchi nakwa ujumla kuleta matumsini kwa wananchi.
Hayo ndiyo yalikuwa majukumu ya kwanza toka enzi za Mwalimu.
Miradi ya pesa nyingi sheria haiwaruhusu kupeleka mwenge ushawahi kuwaona wanazindua barabara za TANROADS?SGR wasipelekwe kabisa wanaweza kutia aibu huko kuanza kugonga mataluma na sururu
We nawe n popoma km Hilo likimbiza mwenge.Kwa hili namtetea, Upigaji ni mwingi sana brother. Tena bora enzi za mwenda zake..Saa hii yaani ni full upigaji tu...tulioko huku tunaelewa sana..Niishie hapa tu nisiende mbali zaidi.
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi anakagua ksa sululu kupima ugumu wa barabara.
Hili lilofanyika huko Njombe.
Hakuna anayejua vigezo vya ukaguzi huo kitaalam.
Naamini hawa vijana wakimbiza mwenge hawana utaalam wowote zaidi ya uzalendo mkubwa kwa nchi yao.
Wao si maafisa wa TAKUKURU inayotembea.
Waratibu wa mbio wawape wakimbiza mwenge ujumbe wa kuleta mshikamano, amani ya nchi nakwa ujumla kuleta matumsini kwa wananchi.
Hayo ndiyo yalikuwa majukumu ya kwanza toka enzi za Mwalimu.
Kwa vigezo vipi unavyo vijua?Barabara ipo chini ya viwango...
Umepatia kabisa mkuu.Katika hali isiyokuwa ya Kawaida ( japo Mhusika alijiona ni Mwerevu wakati kumbe ni Popoma tu ) Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge huku akikodolewa Macho na Wenzake ( hasa wana CCM wengi ) aliamua Kukagua Uimara wa Barabara ya Lami iliyojengwa na Kutumia Sululu ( huku akiichimba ) na siyo Kifaa Maalum kutoka kwa Mtaalam wa Masuala ya Ujenzi.
Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania wenzetu kutokana na Upopoma wao wanataka Kutuaibisha na Kutudhalilisha Watanzania wote mpaka tunaonekana ni wa hovyo hovyo ( Mazuzu ) kama Wao?
Tangia lini Ubora wa Lami tena iliyojengwa Kiubora na Kiukamilifu ikajaribiwa Uimara wake kwa Kuichimba na Sululu huku anayefanya Upopoma ( Upuuzi ) huu akiwa ni Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge nchini na akiwa amevalia Sare za Mbio hizo za Mwenge?
Halafu tukiwasema mnatuchukia sana.