Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

Mabinti/wanawake wengi wanaharibikia vyuoni
Wengi wanaanzia kula paipu za kijeshi mashambani wakiwa kwa mujibu, wakitoka hapo wanakuja kukamatwa na ma lecturer. Pigwa sana.

Halafu yakibaki makapi, kuna ndezi wanakuja kuoa na kujifanya wamepata wife material, unakuta ndezi mpaka anakopa afanye harusi itakayoacha historia pasi na kujua anaoa COPY
 
Mimi demu nikishajua demu aliendaga kwa mujibu na ngebe zinanikata ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
 
Dahh! Chuo gani mkuu?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Tafuta mikoa 10 yenye baridi la kutosha yaan kuna wakati kunapigwa ukungu saa 2 asubuhi hatuonani na tushazoea baridi semester zote ni mwendo wa baridi tu jua likiwaka ni kidogo baada ya kuvipata kaguakagua utakikuta kitakua ndio hicho
 
Shule za Dar ni vijiji vilivyo ndani ya jiji, zina mambo ya hovyo sana kuliko hata shule za mkoani sometimes
 
Kama sio IJA Lushoto basi ni Mzumbe ya Mbeya hii. Iringa nakataa sababu kungekuwa na stori za ukimwi mwingi
 
Tafuta mikoa 10 yenye baridi la kutosha yaan kuna wakati kunapigwa ukungu saa 2 asubuhi hatuonani na tushazoea baridi semester zote ni mwendo wa baridi tu jua likiwaka ni kidogo baada ya kuvipata kaguakagua utakikuta kitakua ndio hicho
Ahh! Kulaleki! Hiyo Musti Mbeya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Umeongea unwell mtupu baadhi ya mabinti wanatamani kuzaa kwa sababu kaona marafomi zake wana watoto au wadogo zake wamezaa, kwa hiyo utakuta anafata mkumbo bila kuangalia kesho yake yeye na mwanae, akishazaa tu ndiyo akili inamjia kuna malezi ya mtoto ili aishi maisha bora.
 
Shule za Dar ni vijiji vilivyo ndani ya jiji, zina mambo ya hovyo sana kuliko hata shule za mkoani sometimes
Huyu LIKUD anaongea vitu kinadharia sana angekuwa field ajionee hizo shule anazozipigia upatu....yahn shule za msingi kwa hii sera ya elimu bure ndio zimeharibika sana kuanzia 2016 kurudi nyuma hapo shule za msingi za serikali zilikuwa zina afadhali...

lakini Magufuli alipoleta elimu bure kisiasa na kuzia motisha kwa walimu za hapa na pale ndio aliharibu.

Miaka hii watoto wapo wengi wanabanana wengine wanakaa chini darasa moja watoto 200 mwalimu lazima wakushinde...tofauti na miaka yetu ya nyuma darasa lina wanafunzi 50.
 
Yeah Iko hivo ...
 
Na hakuna kufeli na kurudia darasa, ndio kabisaa kipaumbele cha shule zetu ni kuwa vituo vya kukuza vijana kiumri na sio kimaarifa tena.
 
Kuna wengine hata kabla hajaenda chuo,huku mtaani tayari kazalishwa. Kuna ndugu yangu alizaa na demu,sasa baba wa huyo demu akamwambia unatakiwa uende chuo maana mwaka jana hukuenda sababu za kiuchumi,hapo akaona sasa hili balaa,kumbe hakumwambia baba yake kuwa ana mtoto na alizalia kwa mama yake mdogo.
Akaona dawa ndogo tu,akamleta mtoto home kwetu,na mbali kutoka kanda ya ziwa hadi nyanda za juu kusini,alipofika alimpigia simu maza kuwa yeye ni mgeni wake. Alimleta mtoto akiwa anakaa hata kutambaa bado,akamwacha yeye huyo kwao.
Sasa mtoto amekua na sasa yupo darsa la 3,akaja kumchukua eti ooh likizo sasa nataka ndugu zangu wakamfahamu upande wa baba,kumbe ilikuwa gia ya kumchukua moja kwa moja,hadi leo hajarudi na mtoto
 
Duuh kwa hiyo umeamua kuwashushia bomu la atomic kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ