Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

Tanga kuna mboga nyingi sana za ajabu ajabu, kuna bweta sijui nn zingine nimeshindwa mm
 
Pia Kuna mbonga inaitwa mchunga. I hate it. Ni chungu balaaa Mimi ilinishinda but sungura wanaopenda hatari mijani yake na wakwere ndo mbonga yao ya taifa
 
Back
Top Bottom