Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Tangu lini nyie broiler mliokuzwa na pizza zilizopikia nyama za kusaga ambazo zimekaa kwenye jokofu mwezi mzima mkawa na akili timamu?

Kipimo sahihi ya kuonesha ujinga wenu, huwa hamjui muongee nini, na wakati gani na mapekeo ya watu kwa kile mlichokiongea yatakuwaje... Hamna ubongo wa kuwaza nyie zaidi ya kucheza gama la PS na kula burger.
Peleka stress zako huko mamaee🖕
 
Tangu lini nyie broiler mliokuzwa na pizza zilizopikia nyama za kusaga ambazo zimekaa kwenye jokofu mwezi mzima mkawa na akili timamu?

Kipimo sahihi ya kuonesha ujinga wenu, huwa hamjui muongee nini, na wakati gani na mapekeo ya watu kwa kile mlichokiongea yatakuwaje... Hamna ubongo wa kuwaza nyie zaidi ya kucheza PS na kula burger.
Una matatizo ya akili si bure
 

Attachments

  • 20241014_142758.jpg
    20241014_142758.jpg
    413.1 KB · Views: 1
Ila mostly napenda sana sana sana sana sana Ugali na mchuzi kama uliopo kwenye aviator yangu .

Sasa ule ugali unaukata kata unaudumbukiza kwenye mchuzi unakuwa kama nyama .

Tamu zaidi ya kumwaga *****.
Na kikuku cha kienyeji kdg
 

Attachments

  • 20240619_161513.jpg
    20240619_161513.jpg
    417.6 KB · Views: 2

Attachments

  • 20231226_145706.jpg
    20231226_145706.jpg
    416.2 KB · Views: 1
  • 20231226_145706.jpg
    20231226_145706.jpg
    416.2 KB · Views: 1
Naona kama ladha yake haiko mbali sana na ile ya njugu mawe.
Sio sn. Choroko ladha yake inafanana na dengu na hadesi km ushawahi kula
Zimekaa km choroko lkn ni rangi orange. Wahindi wanazipenda
 
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa najua kabeji ni vitunguu vikubwa. Sijawahi kubali hii kitu mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom