comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Mimi sijui nikoje hakuna mboga ambayo sili zote napiga, au kwakua nimekulia mkoani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naichukua hii!!....Usipokula chakula kama dawa utakula dawa kama chakula
Asubuhi kula kama Mfalme, mchana kama mwanamfalme, usiku kama ombaomba
Robo 2 ya tumbo weka chakula, robo 1 weka maji, robo 1 nyingine bakisha hewa
Hakuna chakula kibaya duniani, wabaya ni wapishi na mapishi yao
Katika maakuli hizo ni kanuni za muhimu sana
Hii imeenda bila pingamizi loloteWakati nalelewa nilikua sili kabeji,nyanya chungu,dagaa na vingine yani nilikua nachagua vyakula ila sasa hivi nakula mpaka mahindi ya kukaanga kwa hyo usijali life ndio linakuchagulia ulaje
Mbona sioni na hakuna mtu wa kumuuliza hapa njianiKunja Kona Kuna sehemu utaiona inaitwa PM
Napenda pkpk boxer miyeeeNgoja nije kukuchukua na pikipiki uko wapi
Naipenda sana hiyoo uje unichukue unipeleke nikaote motooKuna TVS bibiye
Unakosa vitu vitamu kisamvu kitamu balaa upate kilicholala jamanKatika list yako ni kisamvu na dagaa wamwanza tu ndo sioendi
Umewahi jaribu choroko?Mimi njugu mawe hata ile harufu yake sipatani nayo.
Nimejaribu kula vyakula vyote ambavyo nilivokuwa mdogo vilikuwa vinanishinda...vote nimeviweza kasoro njugu mawe. Yaani mie nyumbani kwangu sijawahi kuzipika ht Kwa bahati mbaya
Kama nilivyosema nyie huwa ni wajinga na hamjijui kama ni wajinga.Mtu kutopenda kitu ni ujinga??? Aisee
Tangu lini nyie broiler mliokuzwa na pizza zilizopikia nyama za kusaga ambazo zimekaa kwenye jokofu mwezi mzima mkawa na akili timamu?We mwenyewe mjinga kutukana hovyohovyo