Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Ewaaa na cabbage nlikua nimesahau
Mimi kabichi hata isipoungwa naipenda sana.
Ikichemshwa na chumvi kwa mbaliii shawabashh!
Naipenda sana tangu Utoto wangu hadi nitakapokuwa mzee sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaa na cabbage nlikua nimesahau
😂 Wewe ungekua unakaa na mimi ungekua ushaniua. Nyanyachungu na jamii yake nazipenda kama napika nyama, samaki au dagaa napenda kuchanganya.
Hakuna chakula kibaya ni mapishi tu, hata cabbage kuna wanaojua kuipika vizuri.
Mimi sijui kuipika na wala sijisumbui kuinununua ila huwa naikuta mahali imepikwa nakula nafurahia.
😂 hayo madude kuna siku nilikula kakipande bila kujua na umeme ulikua umekatika nilikimbia kutema nikijua nimekula mdudu.Mi mwanamke akija nipikia NYANYACHUNGU namuacha hapo hapo kudadake
Tungekua tunakaa pamoja tungewezana sana.Hata mimi home kila tunapopika mboga ya mchuzi (kitoweo) kuweka ngogwe au bilinganya ni lazima.
Yani ni kanuni ya msingi kabisa.
Vinginevyo nyama au samaki inakuwa imepwaya kidogo bila nyanyachungu ? Wala bilinganya laini ?
Mmnh hapana aisee.
Yaani hiyo iko inherited from one generation to another.
Njoo kwangu nikupikie hizo za nazi kama hujaenda kutoa posa kwa mama Kel.😂 hayo madude kuna siku nilikula kakipande bila kujua na umeme ulikua umekatika nilikimbia kutema nikijua nimekula mdudu.
Sijui huko bara ila kwetu zenji zipo nyingi tu.Zinapatikana mkoa gani
Hata dagaa wa zanzibar wazuri sana.Labda dagaa wa kigoma ndo wazuri sio wa mwanza ukila Kila mtu anajua
Nzuri mno. Lkn kwa wewe usopenda mboga za majani sijui km utazipenda.Ni nzuri??
I
Nije au uje ?Njoo kwangu nikupikie hizo za nazi kama hujaenda kutoa posa kwa mama Kel.
Inaonekana mpishi mzuri sana angelNzuri mno. Lkn kwa wewe usopenda mboga za majani sijui km utazipenda.
Mfano wake km utafune spinach bila kupikwa.
Mie hupenda kula kwa kuku au nyama za kuchoma. Km upo on diet ndio nzuri maana unashiba kwa kula majani tu
Nzuri mno. Lkn kwa wewe usopenda mboga za majani sijui km utazipenda.
Mfano wake km utafune spinach bila kupikwa.
Mie hupenda kula kwa kuku au nyama za kuchoma. Km upo on diet ndio nzuri maana unashiba kwa kula majani tu
Uje weweNije au uje ?
Mbaya hiyoUje wewe
Mboga zipo nyingi mbona.Sasa na sisi wa kipato cha Dolar moja itakuwaje?? Maana ndo chakula affordable
Ni kweli kabisa hii, kuna wanaume hawagusi hii kabisa, mzee wetu nilikuaga sielew kwanini alikua hali hii mboga nimekuja kujua badae.Chinese ilitumika kufifisha nyege kwa wachina ili wasizaane😂 ila bongo mnaona ndio mboga ya kufakamia kibwege.
Vijiti vya nini😂😂😂Biringanya ❌ bomoa
😂Ndizi napenda mzuzu tu zingine ❌
😂Cabbage ❌
😂Dagaa inategemea na upishi, mpishi akiwa na CPA nakula zote kasoro kigoma zile kama vijiti vya ngubiti hapana.
😂Mboga za majani kwangu ni tembele, majani maboga, spinach OG, mnavu.✅
😂Nyanya chungu ❌
😂Maharage ila usiunge na chochote zaidi ya kitunguu maji✅
😂Macaroni au noodles ❌
😂Dengu❌
😂Kuna maharage flani ya gololi yakipikwa yanakuwa kama mahindi ya kande nimesahau jina lake.❌
😂Mlenda❌ naona kama nakula denda la ng'ombe
Kuna watu wanakula ugali na maziwa mtindii mnawezaje....??