Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Attachments

  • Screenshot_20241101_133834_Chrome.jpg
    Screenshot_20241101_133834_Chrome.jpg
    100 KB · Views: 1
Ongezea na maharage. Kuna mboga zingine sio kwamba mtu huzipendi... tatizo ni kuwa zinakukumbusha nyakati mbaya sana ulizowahi kupitia kwenye umaskini. Form one hadi six nimekula maharage sana shule za bweni. Kwa sasa maharage nakula nikiwa na hamu sana. Kinachokera unakutana na Janabi anasisitiza ule supu ya maboga wakati mtu ndo utotoni hadi utu uzima umekuwa ukila maboga na mahindi ya kuchemsha.
 
Nyie watu mliotoka familia za "dady..dady!!....."mom..mumyy" mara nyingi huwa mna akili za kijinga sana na hamjijui kama ni wajinga.
Mtu kutopenda kitu ni ujinga??? Aisee
 
Njoo nikupe mboga Fulani unawashwa mda wote jongea PM 😊😊😊
Kumbe chines inaondoa nyege jaman, ndio maana kama nyege zimepungua jaman, ngoja nile mchicha ninavyooenda nyege jaman
 
Back
Top Bottom