Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Una matatizo ya akili wewe...
Kuna vitu ukipenda usije jitangaza hadharani kwa watu utapigwa 😂😂😂
Mkuu mtu kujiita poor brain ni moja ya dalili ya matatizo ya akili, na watu wenye matatizo ya akili wengi hudhani kila kitu kinaenda kwa ugomvi na kwa kupangia watu maamuzi yao, Milembe pale mkuu jaribu kuanza kwenda kuchungulia
 
Unataka kutetea NYANYACHUNGU au unataka kuanzisha ligi mkuu..

Mbona una maneno ya hovyo mkuu..
Kwahyo mi kutopenda NYANYACHUNGU unasema niende Mirembe...
Mkuu hili ligi ni vile sijui uliko ila....😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Anhaa daah kweli nilikuwa mgeni wa hii mboga, hicho kiazi ni kitamu Angel?
Hapana.sio kitamu km carrots. Chenyewe kinawashawasha kdg
Reddish
 
Attachments

  • Screenshot_20241101_133834_Chrome.jpg
    Screenshot_20241101_133834_Chrome.jpg
    100 KB · Views: 1
Aiseee umesema njugu mawe mate yamenitoka ...
Aiseee napenda njugu mawe mimi hatareere na nusu hasa watie nazi alafu ziwe na mchuzi mzito kama futari ila ni mboga aiseee hapo utaniuwa kabisa
Khaaaaaaa. Mie majugu mawe yamenishinda.
Na sijui kwa nini yakaitwa majugu mawe 🤣
 
Back
Top Bottom