Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Nzuri ni ipi?Mbaya hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri ni ipi?Mbaya hiyo
Isiyochanganywa na nyanya chunguNzuri ni ipi?
Usije nimeghairi.Isiyochanganywa na nyanya chungu
Ngubiti 😂Mboga zipo nyingi mbona.
Ni kweli kabisa hii, kuna wanaume hawagusi hii kabisa, mzee wetu nilikuaga sielew kwanini alikua hali hii mboga nimekuja kujua badae.
Vijiti vya nini😂😂
Mbona nitakupenda hadi nikupende tenaNjoo nikupe mboga Fulani unawashwa mda wote jongea PM 😊😊😊
Unao kwako nije rafiki, napenda kambale miyeeAchana kabisa na ma chinese. 🤣 Kula kambale wale wa kukausha mfululizo utanipa majibu.
Hizi zimeniozesha sana meno sipendi hata kuziona.Ngubiti [emoji23]
View attachment 3140909
Nina watoto saba, na wajukuu. Na tuna ndelea kula chinese cabbage na mboga zingine za majaniEndelea kula, siku unataka mtoto ndio utanikumbuka
Utumbo wowote, chipsi, mikate, minyama nyama ya ng'ombe, kondoo, kuku wa kizungu na supu zake, noa kabichi huwa havipandi tangu nizaliwe.Utumbo ni mboga??
Mishemele na mishoga mingi sana imejificha JF kwa majina ya kike kike na picha zao, za kuambiwa....Faizafoxy ni mwanaume juzi kaja PM kanitia mikwara sana kumbe ile avatar ni ya mama yake
Wahenga tunatafuna nyanya chungu OG tena mbichi mchanganyiko na bamia 😁Yaani mi sitaki NYANYACHUNGU toka nimezaliwa huwa wakipika naanzisha fujo hata nyumbani wanajua hilo...
Hata wapike vipi ila sitaki mimi na madude yote yenye kufanana na NYANYACHUNGU kama bilinganya sijui an sitaki kabisa
Unaumwa wewe..Wahenga tunatafuna nyanya chungu OG tena mbichi mchanganyiko na bamia 😁
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Njia ya kuja huko jaman,Njoo PM Sasa tutete jambo
Nyama na Samaki sio mboga ni vitoeoNyama na samaki samaki