Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Peleka stress zako huko mamaeeπŸ–•
 
Una matatizo ya akili si bure
 
Ila mostly napenda sana sana sana sana sana Ugali na mchuzi kama uliopo kwenye aviator yangu .

Sasa ule ugali unaukata kata unaudumbukiza kwenye mchuzi unakuwa kama nyama .

Tamu zaidi ya kumwaga *****.
Na kikuku cha kienyeji kdg
 

Attachments

  • 20240619_161513.jpg
    417.6 KB · Views: 2

Attachments

  • 20231226_145706.jpg
    416.2 KB · Views: 1
  • 20231226_145706.jpg
    416.2 KB · Views: 1
Naona kama ladha yake haiko mbali sana na ile ya njugu mawe.
Sio sn. Choroko ladha yake inafanana na dengu na hadesi km ushawahi kula
Zimekaa km choroko lkn ni rangi orange. Wahindi wanazipenda
 
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa najua kabeji ni vitunguu vikubwa. Sijawahi kubali hii kitu mpaka kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…