Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Karibu Sana Mkuu... Ila Dar sio kuzuri saana.... Hivyo Linda Rinda Lako...
 
Tatizo la wanawake wazuri bwana ukishamkojole mara tatu tuu...ghafla unaona tako lake la kushoto limepinda.🀣🀣🀣🀣

Hivi na nyie wanawake mkishagegeduana na sie mara tatu uhandsome wetu unabadili kuwa sura ya mbuzi? Nauliza tuu rafiki yangu Mideko na @ kelsea
 
hela za korosho matopeni
 
Usijichanganye lakini
 
Tembea kidogo. Njoo Arusha
Arusha ya kawaida sana.. Pisi za kawaida mnoo..

Dsm aisee kuna ukanda wa kuanzia Ubungo sogea Mcity mpaka Mwenge.. alafu shuka na ITV, Bamaga mpk Makumbusho.. rudi Sinza.

Huo ukanda achana nao... kuna stendi mbili MWENGE na MAKUMBUSHO kama una shingo ndefu unaweza izungusha 360Β°.. Dar kuna Pisi Tz nzima inakusanyika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…