Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

Mkuu Kama shule ilikupiga kusho huwezi elewa chochote. Hii ni lecture ya mwaka wa pili wanaodoma B.A economics au finance.

National debt= public debt + private companies' debts.

Hivyo alichosema mwigulu ndoshule yenyewe.
Na nyie msiwe mnakariri kwa sababu ulisoma darasani. Kwanza kwanini hamkuuliza mkanganyiko huo mkiwa darasani, au ndio kumeza kila kitu ili ufaulu?
 
Mfano wangu unaeleweka acha ligi!! Hitimisho la hapo ni kwamba kila mtu atalipa deni linalomuhusu bila kujali jumla iliyojumlishwa kwa wote
kwamba mpangaji anakopa kwa dhamana ya mwenye nyumba😃😃 kweli kibongobongo tunanenepa kutokana na sarakasi kama hizi sio kwamba tuna maisha
 
Hapana nadhani Mwigulu kakosea katika kuelezea Uma nimeangalia trend ya hili deni la sector binafsi kuanzia mwaka 2015.
Kipindi cha jk lilikua kama 2 billions usd,
Kipindi cha jpm hili deni lilikua about 4 billions usd. Ila kuanzia mwaka 2021 hili deni limeongezeka kutoka 4 mpka 7 billion usd.

Ongezeko la hzo billion 3 usd kipindi cha Samia nazani ndio juzi juzi ambayo Mwigulu anaongelea.
Hizo billion tatu imekuaje ziongezeke faster hivo kipindi cha Samia? kuna wengine watakwambia sera za Samia zinachochea biashara na uwekezaji kuliko za Magu. Wengine watakwambia kuna warambaji wanaramba asali.
Ehe hii trend inafikirisha kwa kweli halafu samia anasema tuipende Nchi hata kama hatumpendi yeye
 
Hakuna mahala namuelewaga mimi huyu mbwiga. Sijui ksbb simkubali kabisa. Sijui hata hizo nyazifa amepandeje mpaka kufikia hiyo wizara nyeti?. Maana ni empty huyu. Bahati mbaya huyu TRAP NA TRAT anajiona anajua,huku akiwa empty. Naamini uchawi upo,huyu atakuwa anawaendea mahala. Mchawi wake huyu lazima amlipe vizuri
 
Mimi naona hayo makampun binafsi Mwigulu aliwachukulia mkopo maana kila unaposikia mkopo kutoka Ujeruman, China na World Bank Mh Mwigulu yupo mbele ya kamera au hizo sekta binafsi ni Mwigulu mwenyewe...?!! Hatujalewa kabisa labda waongee tena.
 
Back
Top Bottom