Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

hapana deni la taifa lina jumlisha serikali na sector binafsi hata uzalishaji unaangaliwa hivyo pia ni kanuni za uchumi na hii ni topic ndogo kwenye uchumi yuko sahihi mheshimiwa
Bas kina new ton waeleweshwe
 
Mbona mimi nimemuelewa!...Yaani mfano mzuri ni huu let say deni la nyumba x=Sh 15 mpangaji namba 1 sh 5,mpangaji namba 2 ni sh 10,kila mpangaji atalipa deni linalomuhusu mwenyewe bila ya kujumlisha deni la mwenzie yaani ndio kama hivyo Serikali italipa deni lake na sekta binafsi italipa deni lake kwahiyo jumla ndio deni la taifa(deni la nchi ya Tz )
Swali ni kuwa wapangaji wakishindwa kulipa, nani analipa?
 
Ukiona akina RostAm wanaambatana kwenye maziara huko Ughaibuni na uajemi ndio ujue wanaingia mikopo au bilateral agreement guarantee nyingine wanapewa na serikali.
 
Mwaka mmoja tu sekta binafsi imekopa trilioni 20, is it true. Yani spidi ya sekta binafsi kukopa inaizidi serikali?. Aisee
Hapana nadhani Mwigulu kakosea katika kuelezea Uma nimeangalia trend ya hili deni la sector binafsi kuanzia mwaka 2015.
Kipindi cha jk lilikua kama 2 billions usd,
Kipindi cha jpm hili deni lilikua about 4 billions usd. Ila kuanzia mwaka 2021 hili deni limeongezeka kutoka 4 mpka 7 billion usd.

Ongezeko la hzo billion 3 usd kipindi cha Samia nazani ndio juzi juzi ambayo Mwigulu anaongelea.
Hizo billion tatu imekuaje ziongezeke faster hivo kipindi cha Samia? kuna wengine watakwambia sera za Samia zinachochea biashara na uwekezaji kuliko za Magu. Wengine watakwambia kuna warambaji wanaramba asali.
 
Mmmhhh! Kazi kweli kweli, halafu bado hatujaendelea hadi sasa! Hii mikopo tunayochukua naona haitufai au inatumika vibaya au vyote viwili.
 
Sasa kama wanalipa wao kwann inaitwa deni la taifa, ivi wewe ukimdhamini mtu ameenda kukopa wewe ndo u adaiwa au yeye ndo anadaiwa?

Kwanini ijumlishwe kwenye deni la taifa?
Ni deni la taifa kwa sababu lina impact kwa taifa.
Uchumi ni kama mashine unatengenezwa na mifumo mbali mbali inayotegemeana.

Chukulia private sector kama biashara ambazo serikali inashare yake pale na hupata gawio in terms of tax.
Madeni ya hizi biashara ya athari kwenye faida ya hizi biashara ambayo huathiri pia gawio la serikali in terms of kodi.
Kama kodi ikipungua hupunguza uwezo wa serikali kulipa deni lake ambayo hupunguza kukopesheka kwa taifa pia.
Kwa maana io huwezi kulitenganisha deni la taifa na deni la sector binafsi kwa sababu deni la sector binafsi lina influence kwenye deni la serikali.
 
Nimeelewa kuwa mwigu na sa100 Kuna time wanakopa Kwa ajili ya SERIKALI.

Na Kuna time wanazikopea Kampuni zao BINAFSI Kwa dhamana ya Serikali .
Mabasi ya ESTHER ni mfano mzuri.

Symbion au Barick inaweza kukopa nje Kwa mabenki ya nje Kwa kuonyesha HATI na VIBALI vya uchimbaji na kudhaminiwa na Serikali.
 
Mbona mimi nimemuelewa!...Yaani mfano mzuri ni huu let say deni la nyumba x=Sh 15 mpangaji namba 1 sh 5,mpangaji namba 2 ni sh 10,kila mpangaji atalipa deni linalomuhusu mwenyewe bila ya kujumlisha deni la mwenzie yaani ndio kama hivyo Serikali italipa deni lake na sekta binafsi italipa deni lake kwahiyo jumla ndio deni la taifa(deni la nchi ya Tz )
Huyo mpangaji alikopa kama Nani wakati nyumba si yake?.. Ni Nani aliruhusu kama sio mwenye nyumba?

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hapana nadhani Mwigulu kakosea katika kuelezea Uma nimeangalia trend ya hili deni la sector binafsi kuanzia mwaka 2015.
Kipindi cha jk lilikua kama 2 billions usd,
Kipindi cha jpm hili deni lilikua about 4 billions usd. Ila kuanzia mwaka 2021 hili deni limeongezeka kutoka 4 mpka 7 billion usd.

Ongezeko la hzo billion 3 usd kipindi cha Samia nazani ndio juzi juzi ambayo Mwigulu anaongelea.
Hizo billion tatu imekuaje ziongezeke faster hivo kipindi cha Samia? kuna wengine watakwambia sera za Samia zinachochea biashara na uwekezaji kuliko za Magu. Wengine watakwambia kuna warambaji wanaramba asali.
. Maana yake - to a higher extent - sector binafsi inakua kwa kasi.
 
Huyo mpangaji alikopa kama Nani wakati nyumba si yake?.. Ni Nani aliruhusu kama sio mwenye nyumba?

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
Wawekezaji uchwara mf Barrick nk, huja na briefcase hawana hata 100 ya mtaji.

Wakishapewa HATI za uchimbaji madini zenye miaka 99 huzitumia kama dhamana kukopa mitaji mabenki ya kwao, ardhi yetu ndo dhamana.

Serikali inawadhamini Kwa ardhi yetu in other words.
 
Haeleweki kivipi ? Haujui ya kua kuna private sector wanakopeshwa na banks na tahasisi tofauti nje ya Nchi masharti ni kwamba serikali inawadhamini, madeni wanalipa hao waliokopeshwa
Unapoteza muda kumuelewesha punda huyo.Hanaga anachojua zaidi ya kula mabua na kubeba mizigo.Hachoki.
 
Back
Top Bottom