The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kuna utaratibu waliuanzisha nadhani mwaka huu, kwamba katika hela unayopata au unayotunza kwenye akaunti yako, wao wanachukua kiasi kingn cha fedha (kuna namna wanakokotoa wajue ni asilimia ngapi wachukue)toka kwa akaunti yako wakidai kua wanakuhifadhia pia lakini ukiitaka utakipata, lakini huo utaratibu haujawekwa wazi vizuri.Mkuu elezea inakuaje hapo,kwamba nmb wanafanyaje?
Kipindi cha mwanzo salio halisi na lililopo yalikua sawa ila saiv lile lenye access kwa kuitoa linakua pungufu.